Wednesday 27 February 2013

Re: [wanabidii] Slaa apinga madiwani wa CHADEMA kufukuzwa

Migogoro mingi ndani ya vyama vya upinzani ina mkono wa nambari one,
wapo watu wanaolipwa ili kuhakikisha migogoro ndani ya vyama hivi
haiishi. Ni juu ya wanachama kubaini vyanzo vya migogoro na kuwatambua
fisi waliovaa ngozi ya kondoo ndani ya vyama vyao

2013/2/27 isack mchungu <isackmn1965@gmail.com>:
> OK, tunashukuru kw taarifa ila CHADEMA ifike wakati sasa mjaribu kuacha
> migogoro isio na tija, kila mara kumekuwa na mambo ya kutimuana kwani
> hamuwezi kumaliza tofauti zenu kwa njia ya vikao na mkaweka mambo sawa
> inashindikana nini mpaka kufika kote huko? jifunzeni kukosoana na
> kusameheana ili chama kiende mbele.
>
> 2013/2/26 Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
>>
>> CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Makao Makuu kimepinga
>> maamuzi ya Kamati ya Utendaji ya Chama hicho Wilaya ya Musoma cha
>> kuwavua Uanachama madiwani wawili wa viti maalum Habiba Ally Zeddy na
>> Mariam Daudi Chacha na hivyo kupoteza sifa ya kuwa madiwani kwa mujibu
>> wa Katiba ya Chama hicho.
>>
>> Katika barua iliyotumwa na Afisa Sheria /Chama hicho Ester Daffi
>>
>> yenye kumbukumbu namba C/HQ/M/MARA/10/101 ya tarehe 22/2/2013 kwa
>> niaba ya Katibu Mkuu wa Chama hicho Willbord Slaa ilisema kama kuna
>> utovu wa nidhamu kwa wahusika ilitakiwa kuzingatia masharti ya Katiba
>> na Kanuni hasa kanuni ya Uendeshaji kazi za Chama ibara ya 6.5.2
>> pamoja na Kanuni ya 8.0 (a) na (b) ya nidhamu kwa madiwani.
>>
>> Katika barua hiyo ilidai suala hilo lilitakiwa kutolewa taarifa Makao
>> Makuu kwa ajili ya kuwasilishwa kwenye Kamati Kuu kwa ajili ya maamuzi
>> kwa kuwa mamlaka ya kuwavua Uanachama yanapaswa kuzingatia kanuni
>> tajwa ya katiba ya Chama hicho.
>>
>> Alisema Makao Makuu ya Chama hicho imepinga maamuzi hayo kutokana na
>> madiwani hao kukata rufaa kupinga maamuzi hayo katika barua yao ya
>> rufaa iliyotumwa kwa njia ya nukushi tarehe 21/2/2013 na kuipitia kwa
>> kina na kisha kutoa maamuzi hayo kwa mujibu wa katiba.
>>
>> Ilidaiwa katika barua hiyo ambayo nakala yake imepelekwa kwa
>> Mkurugenzi wa Manispaa ya Musoma ilisema kamati ya Utendaji ya Chadema
>> Wilaya ya Musoma haikuzingatia barua kutoka Ofisi ya Katibu Mkuu wa
>> Chama hicho ya tarehe 16/2/2013 yenye kumbukumbu namba C/HQ/M/MARA/
>> 101.
>>
>> Katika barua hiyo iliyokuwa na kichwa cha Habari (MGOGORO NDANI YA
>> HALIMASHAURI YA MANISPAA YA MUSOMA) ilidai tarehe 15/2/2013 Mkao Makuu
>> ilipokea taarifa kutoka kwa Mstahiki Meya wa Manispaa ya Musoma Alex
>> Kisurura kuhusu mgogoro unaoendelea ndani ya ya Halimashauri hiyo
>> ukihusisha baadhi ya Viongozi wa Chama wa Jimbo.
>>
>> Katika barua hiyo ilidai Halimashauri ya Manispaa ya Musoma inaongozwa
>> na (CHADEMA) na kwa mujibu wa kanuni ibara ya 3.1 (a) (c) (g) na (i)
>> ya kanuni za kusimamia Shughuli,Mwenendo na Maadili ya Halimashauri
>> zilizo chini ya Chadema,Ofisi ya Katibu Mkuu kwa azimio la Kamati Kuu
>> ndiyo msimamizi wa shughuli za Halimashauri za Chadema Nchini.
>>
>> Barua hiyo ilida Agenda kuhusu mgogoro ndani ya Halimashauri au
>> kutofautiana kwa Meya na madiwani na au Uongozi wa Chama isijadiliwe
>> mpaka mchakato wa ndani ya Chama utakapokamilika au kwa maelezo kutoka
>> Makao Makuu na pindi itakapokwenda kinyume hatua za kinidhamu kwa
>> mujibu wa Katiba na Kanuni za Uendeshaji Kazi za Chama zitachukuliwa
>> dhidi ya wote watakaokiuka maelezo yaliyotolewa.
>>
>> Akizungumza na blog hii mara baada ya kupokea barua ya majibu ya rufaa
>> kutoka Mkao Makuu ya Chadema,Diwani Habiba Ally Zeddy alisema licha
>> kushinda rufaa yao ya kuvuliwa Uanachama Makao Makuu inapaswa
>> kuangalia kwa karibu mwenendo wa Chama hicho Wilaya ya Musoma.
>>
>> Alisema maamuzi ya kuvuliwa Uanachama waliyofanya Kamati ya Utendaji
>> na kutangazwa katika Vyombo vya Habari ni kama wamezalilishwa kwani
>> hadi sasa licha kutolewa maamuzi ya kuvuliwa hakuna barua yoyote
>> waliyopewa kuhusu kuvuliwa Uanachama na kukosa sifa ya kuwa madiwani.
>>
>> --
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment