Sasa kwa kuwa mnataka tuseme ni Mtanzania haya, ninajua kwa vile tuna hulka ya kutaka sifa hata pale tusipostahili. Sent from Yahoo! Mail on Android |
From: Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>;
To: Wanabidii googlegroups <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: RE: [wanabidii] MTANZANIA WAZIRI RWANDA????
Sent: Thu, Feb 28, 2013 5:42:28 AM
Kweli kabisa Bariki. Unajua sisi Watanzania ni mabwege kama ninavyosema kila siku. Sasa haoa tumekalia kubisha bila hata ushahidi. Tumeshaambiwa ni Mtanzania, sasa cha ajabu ni nini? Mbona China ina mchezaji wa soka kijana mwenye asili ya Tanzania? Mbona hata Uingereza inaye pia. Mbona aliyeijenga Uganda Revenue Authority alikuwa Mtanzania? Mbona Rais wa Zambia wa sasa ni Mtanzania na Nyaronyo alishatupa hadithi yake na ndugu zake wanaishi Kigamboni? Mbona aliyejenga mahakama za Shelisheli alikuwa jaji wa Tanzania? Mbona aliyeijenga Idara ya Magereza ya Namibia ni Mtanzania anaandikia Daily News kama mwanasafu? Mbona Kenya imewahi kuwa na Mkuu wa Majeshi mwenye asili ya Tanzania? Mbona Kamanda mmoja wa Polisi wa Kampala enzi za Amina alikuwa Mtanzania? Mbona Mkuu wa Teknolojia wa Rais Obama ni Mtanzania mwenye asili ya Kihindi? Mbona Hungaria na madaktari mabingwa machachari wawili ambao baba yao alikuwa waziri Tanzania? Kuna mifano mingi tu na hata babu yake Obama alislimu kuwa mwislamu wakati akiishia Zanzibar kama mpishi wa Waingereza. Tuacheni ubishi wa kibwege. Matinyi. Date: Thu, 28 Feb 2013 08:29:34 +0300 Subject: Re: [wanabidii] MTANZANIA WAZIRI RWANDA???? From: bmwasaga@gmail.com To: wanabidii@googlegroups.com Huyu Profesa alipoenda Kigali kuanzisha KIST alikuwa pamoja na wenzake wawili. Kwa mujibu wa Mtanzania mmoja ambaye ni mmoja wa Wakurugenzi kwenye Wizara za huko, alisema kwamba hawa Watanzania watatu walifanya mambo makubwa sana kwenye sekta ya Teknolojia kiasi kwamba kuna wakati mhe. Ngeleja alienda Rwanda kujifunza namna ambavyo wenzetu wamepiga hatua kwa upande wa Umeme wa Jua na akaitaka Serikali ya huko itusaidie huo utaalamu. Alichokutana nacho ni kwamba waliofanikisha hayo ni Watanzania wenzake. Sasa kama huyu ni Mnyarwanda tutabaki tunapiga kelele tu lakini ukweli uko wazi. 2013/2/28 ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk>
-- Bariki G. Mwasaga, P.O. Box 3021, Dar es Salaam, Tanzania +255 754 812 387 -- Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out. |
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 comments:
Post a Comment