Thursday 28 February 2013

Re: [wanabidii] Re: CHADEMA SASA IMEJAA HAITOPOKEA WANACHAMA WA VYAMA VINGINE

Kaka Nyaronyo

Ukitaka kukuta points za Yona kwenye wana bidii usubiri a-copy na
ku-paste zile tafiti anazozileta. Zaidi ya hapo uwe tayari kupokea
pumba dhidi ya Slaa. Na ole wako uhoji pesa za FOS alizotia kwapani.

On 2/28/13, nyaronyo kicheere <kicheere@yahoo.com> wrote:
> bandugu,
> hivi ni siku gani nitafungua mtandao nikute yona ametoa hoja ya maana, hoja
> ya kufikirisha, hoja ya kushawishi, hoja ya kuaminisha, hoja angalau ya
> kuunganisha wananchi?
> yona eti anasema, nanukuu:
>
> "> >> CHADEMA haina haki ya kuchagua wanachama wa kujiunga na chama hicho
>> >> mtu atajiunga tokea popote atakapojisikia yeye na kugombea nafasi
>> >> yoyote ndani ya chama hicho kama katiba inavyosema lakini hili la
>> >> kukataza wakina fulani wasijiunge au wasigombee ni muendelezo wa
>> >> ubaguzi ambao siku zote tumekuwa tukiulalamikia ."
>
> hivi bandugu kati ya chama tawala ccm na vyama vingine chama kinachoendesha
> sera na siasa za ubaguzi ni kipi? mbaguzi ni nani kati ya watawala akina
> mchemba, ndugai, nnauye, unhonourable honourable speaker, wataalamu wa
> ndiyooooooooooooh hata penye wizi na ubadhirifu na hao chadema ni nani
> mbaguzi?
>
> walioanza kwa kudai cuf ni chama cha waislamu kana kwamba watanzania
> waislamu hawana haki ya kuchagua chama cha kujiunga nacho ni nani kama siyo
> limbukeni wa ccm?
> wanaodai chadema ni chama cha kaskazini kana kwamba kaskazini hawastahili
> kuchagua chama cha kujiunga nacho ni nani kama siyo malipyoto wa ccm?
> wanaodai chadema ni chama cha wachaga hata pale wakurya wanapokipigania
> chadema tarime na musoma mjini ni nani kama siyo bondia tyson, lukuvi,
> nnauye, mchemba na ndugai wa ccm?
> waliotangaza bila aibu mchana kweupe kwa kuwagombanisha wachaga na wakurya
> kwa kudai hadharani kuwa mbunge wao kauawa na wachaga ni nani kama siyo
> akina joseph makamba wa ccm na wenzake waliobobea katika fitna?
> hebu nenda masasi leo kaulize wanaotangaza kuwa bodaboda walioandamana na
> kusababisha nyumba kadhaa kuchomwa moto eti ni watu wa kuja eti siyo wenyeji
> wa masasi ni nani? hivi mmatumbi wa kilwa leo anakuwa mtu kuja kusini huko
> huko? eti mmakonde wa newala anakuwa mtu kuja mkoani kwake wilayani
> masasi!!!!! anayetangaza hivyo akiwagawa wananchi wa masasi eti ili aendelee
> kuungwa mkono, ni nani kama siyo mbumbumbu wa ccm. leo maandamano ya
> bodaboda kuyaita maandamano ya gesi kwa lengo gani kama siyo kuwagawa watu
> wa kusini wote kwa kuwaunganisha na kuwalundika katika kundi moja la kupinga
> gesi ni nani nani anawagawa kama siyo wezi, wahujumu na mafisadi wa ccm?
>
> maro, chuki zako kwa slaa zisikuzuie kufikiri; tafadhali nenda aste aste
> kicheere, tungi, kigamboni tanganyika territory
>
> -- On Thu, 2/28/13, msiwahili@gmail.com <msiwahili@gmail.com> wrote:
>
>
> From: msiwahili@gmail.com <msiwahili@gmail.com>
> Subject: Re: [wanabidii] Re: CHADEMA SASA IMEJAA HAITOPOKEA WANACHAMA WA
> VYAMA VINGINE
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Thursday, February 28, 2013, 8:00 AM
>
>
>
> Yona ana Slaa-phobia. Alikuwa ana-criticize ishu za Chadema hususan kauli ya
> Mbowe lakini akilini mwake anamuwaza Slaa.
>
> Yona, Slaa amekufanyia nini?
>
> Mwamba.
> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>
>
> From: Peter Lwegasira <petermakatu@yahoo.com>
> Sender: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Thu, 28 Feb 2013 06:16:58 -0800 (PST)
> To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
> ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] Re: CHADEMA SASA IMEJAA HAITOPOKEA WANACHAMA WA
> VYAMA VINGINE
>
>
>
> Wewe umeanzisha mada kwa kusema NANUKUU Mwenyekiti wa CHADEMA amesema chama
> chake hakitapokea wanachama wa vyama vingine. MWISHO WA KUNUKU. Sasa Dr.
> Slaa anaingiaje kwenye hii mada?
>
>
>
>
>
>
> From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
> To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> Sent: Thursday, February 28, 2013 5:11 PM
> Subject: [wanabidii] Re: CHADEMA SASA IMEJAA HAITOPOKEA WANACHAMA WA VYAMA
> VINGINE
>
> Ndugu Joseph
>
> Dr Slaa alishindwa kura za maoni kugombea ubunge akajiondoa CCM na
> kwenda CHADEMA akaupata ubunge na mwaka 2010 akagombea urais kwa chama
> hicho ingawa amekiri kuendelea kuwa na kadi ya CCM .
>
> Kama yeye alikuwa huru kiasi hicho kutoka CCM kwenda CHADEMA na
> kugombea ubunge kwanini leo aunge mkono sera ya kunyimwa uhuru kwa
> watanzania wengine kujiunga na chadema dakika aitakayo ? ndio nauliza
> hofu ni yeye kuondolewa kwenye urais mwaka 2015 ?
>
> On Feb 28, 5:02 pm, paul lawala <pasamila292...@gmail.com> wrote:
>> Yona na wewe unaweza kuomba uanachama
>>
>> 2013/2/28 Mohamedi Mtoi <mouddym...@gmail.com>:
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>> > Akili ya Yona imejaa haipokei wala kutoa ukweli.
>>
>> > On 2/28/13, Yona F Maro <oldmo...@gmail.com> wrote:
>> >> CHADEMA haina haki ya kuchagua wanachama wa kujiunga na chama hicho
>> >> mtu atajiunga tokea popote atakapojisikia yeye na kugombea nafasi
>> >> yoyote ndani ya chama hicho kama katiba inavyosema lakini hili la
>> >> kukataza wakina fulani wasijiunge au wasigombee ni muendelezo wa
>> >> ubaguzi ambao siku zote tumekuwa tukiulalamikia .
>>
>> >> Maajabu kuliko yote ni kwamba katibu mkuu wa CHADEMA Dr Slaa nae
>> >> alianguka kwenye kura za CCM akakimbilia CHADEMA alitumia haki yake
>> >> kikamilifu iweje leo mtu huyu huyu anyime wenzake fursa hiyo ? au hofu
>> >> ni kuondolewa kwenye kugombea urais kwa tiketi ya CHADEMA Mwaka 2015 ?
>>
>> >> On Feb 28, 3:30 pm, Jovias Mwesiga <ngo...@gmail.com> wrote:
>> >>> Kweli tunatafsiri tofauti kha!!!
>>
>> >>> On Thu, Feb 28, 2013 at 5:01 AM, Yona F Maro <oldmo...@gmail.com>
>> >>> wrote:
>>
>> >>> > Ndugu zangu
>>
>> >>> > Mwenyekiti wa CHADEMA amesema chama chake hakitapokea wanachama wa
>> >>> > vyama vingine .
>>
>> >>> > Kwa maana hiyo CHADEMA sasa imeshajaa wale wanachama wa vyama
>> >>> > vingine
>> >>> > wanaotaka au kupanga kuhamia siku zijazo wachague vyama tofauti .
>>
>> >>> > --
>> >>> > Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
>> >>> > International Jobs -www.jobsunited.blogspot.com
>>
>> >>> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> >>> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya
>> >>> > kudhibitisha
>> >>> > ukishatuma
>>
>> >>> > Disclaimer:
>> >>> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for
>> >>> > any
>> >>> > legal
>> >>> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>> >>> > must
>> >>> > be
>> >>> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> >>> > agree
>> >>> > to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> >>> > ---
>> >>> > You received this message because you are subscribed to the Google
>> >>> > Groups
>> >>> > "Wanabidii" group.
>> >>> > To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it,
>> >>> > send
>> >>> > an
>> >>> > email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> >>> > For more options, visithttps://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>> >> --
>> >> Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
>> >> International Jobs -www.jobsunited.blogspot.com
>>
>> >> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> >> ukishatuma
>>
>> >> Disclaimer:
>> >> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> >> legal
>> >> consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>> >> must be
>> >> presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> >> agree to
>> >> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> >> ---
>> >> You received this message because you are subscribed to the Google
>> >> Groups
>> >> "Wanabidii" group.
>> >> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>> >> an
>> >> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> >> For more options, visithttps://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>> > --
>> > "Tukosoane, Turekebishane, Tuwajibishane, ndipo Tusameheane". Regia
>> > Mtema.
>> > --
>> > Mobile: +255 (0) 713 24 67 64
>> > Alternative: +255 (0) 784 24 67 64
>> > Skype: Mohamedi.Mtoi
>> > Twitter: @mohamedimtoi
>> > Facebook:http://www.facebook.com/mouddymtoi
>> > --
>>
>> > --
>> > Jobs in Africa -www.wejobs.blogspot.com
>> > International Jobs -www.jobsunited.blogspot.com
>>
>> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> > ukishatuma
>>
>> > Disclaimer:
>> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> > legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>> > facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies
>> > that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>> > Guidelines.
>> > ---
>> > You received this message because you are subscribed to the Google
>> > Groups "Wanabidii" group.
>> > To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>> > an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> > For more options, visithttps://groups.google.com/groups/opt_out.
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
"Tukosoane, Turekebishane, Tuwajibishane, ndipo Tusameheane". Regia Mtema.
--
Mobile: +255 (0) 713 24 67 64
Alternative: +255 (0) 784 24 67 64
Skype: Mohamedi.Mtoi
Twitter: @mohamedimtoi
Facebook: http://www.facebook.com/mouddymtoi
--

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment