Tuesday, 26 February 2013

Re: [wanabidii] TCRA imevifungia vituo viwili vya radio,,,,,,,, radio IMAM na radio NEEMA FM,PIA IMEKIFUNGIA KIPENGELE CHA POWER BREAKFAST CHA CLOUDS FM KILE CHA ASUBUHI,,,,,,,,,,,

Wakataze pia matangazo katika magazeti na mabango ya waganga wa kienyeji yanayohamasisha imani za kishirikina. Wasifungie Radio tu za Uchochezi na upotoshaji amani, ushirikina nao unakua kwa kazi na kuna vyombo vinauboresha. Ni chanzo cha mauaji na ukatili ya aina nyingi kwa watoto, wazee jinsia zote watu wa umri mbalimbali.

Magazeti yanapata fedha kwa kutangaza uganga ambao ni kinyume na sayansi na maadili. Utaona kwa mfano
"Dawa ya kupasi mtihani, kupata ajira, bosi au mume, mke akusikilize wewe tu. Dawa ya kuboresha maeneo au maumbile ya chini; kuongeza nguvu ya tendo la ndoa za me au ke urudie mara nyingi; dawa ya bahati ya fedha; kukuza/kuboresha nyota, kutoa nuksi, kuboresha uzazi n.k.

Mtu au mwanafunzi atapasi vipi mtihani kama hasomi; atapataje kazi kama hana ujuzi interview atajibu vipi maswali; hali lishe nzuri ataboresha vipi viungo kutwa kunywa ujimbi. Hata kutibu ukimwi na maradhi sugu mengine yanatajwa na hakuna uthibiti wa taasisi ya madawa ya kienyeji ya Muhimbili.

Watu wataacha vitu vya maendeleo na kulisha wenza vitu vya uovu na kuwapa madhara. Maana wanataja dawa kama Sheba sheba ambapo mume/mkeo aliyekuacha akila atakurudia chini ya masaa 3 na hatokuacha tena!! (regardless ya matatizo yenu yaliyosababisha kutengana). Jee haya si mafundisho mabaya? Pengine ushauri wa wazee, social welfare etc ungesaidia kuliko madawa. Inaandikwa 'Dawa ya Utajiri bila ya masharti ipo wahi sasa'!! Dawa ya Mkula Majin- hutoa majini, kupatanisha ndoa, kukuza biashara; Dawa ya Chuma Ulete; kupendwa kazini, tego na shamba na nyumba; pete ya bahati ya mali na mafanikio siku 3; kumfunga mume asitoke; fumanizi na tego Mganga toka Nigria mwanamke anatibu mvuto, ndoa, TV asili, Pesa za Majini na Akili Darasani.

Mungu atuonyeshe haya nimeyanukuu katika magazeti yeu ya hao waandishi na wamiliki wa Kitanzania ambao tukikaa tunalaumu tu serikali lakini tunatumia nafasi tunazopewa vibaya na kupindisha maadili ya nchi. Soma magazeti ya Kiswahili sehemu ya matangazo madogo madogo na makubwa. Angalia mojawapo NIPASHE ukurasa 18 23/2/2013; KIU Febr 22-24/2013; Tanzania Daima  date Febr 22 page 10---mfano Dr... jee umedhulimiwa unadai hulipwi, gari haiuziki, Jee, unataka kufaulu mitihani, njoo haraka sasa (simu imewekwa na magazeti mengine mengi. Mtanzania haina vitu hivi. Pamoja na kuganga njaa-hizi dawa za cuma ulete ndio zile mtu anaambiwa aweke kiganja ktk box halafu aweke box tupu kadhaa hela zijae kwa chuma ulete au biashara ya kugangwa na ndio kukatwa mikono au viungo watu.

Hii si chuki kwa magazeti lakini maadili na kuliokoa taifa linaloelekea kukuza Imani za kishirikina. Kisha tunalaumu matukio yanayotokea na kusema serikali haichukui hatua-mauaji ya albino, kubakwa na kukatwa vitu etc wakati sisi wenyewe pia tunachangia ktk hata kuutangaza ushirikina mradi bora mkono uende tumboni-yaani pesa iingie regardless ya ethical implication!?

Tuondoe vibanzi machoni , akilini na mikononi mwetu pia. Wizara ya Utamaduni na kamati zake za utamadui iangalie haya ya magazetini na ya mabango ya barabarani.

--- On Tue, 26/2/13, Emmanuel Sulle <esulle17@gmail.com> wrote:

From: Emmanuel Sulle <esulle17@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] TCRA imevifungia vituo viwili vya radio,,,,,,,, radio IMAM na radio NEEMA FM,PIA IMEKIFUNGIA KIPENGELE CHA POWER BREAKFAST CHA CLOUDS FM KILE CHA ASUBUHI,,,,,,,,,,,
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, 26 February, 2013, 12:20

TCRA wamesikia japo kwa kuchelewa vilio vya wadau mbalimbali waliokuwa wanalalamikia matangazo yenye kuchochea udini na kadhalika.

On Tue, Feb 26, 2013 at 2:12 PM, Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com> wrote:
wamepata kisingizio cha kwa neema redio,ambayo imeanza juzi tu kurusha vipindi juu ya uchinjaji.miaka yote imani Fm wanakashfu na kutukana huwa wanawachekea tu.sasa wamepete kijisababu kuwa tumefungia moja ya kiislamu na moja ya kikristo.tunasubiri na gazeti la annur lifungiwe.watasubiri siku gazeti la kikristo litakapoandika vibaya ndo utasikia mfano wanafungia annur na msema kweli

On Tue, Feb 26, 2013 at 2:30 PM, <gm26may@gmail.com> wrote:

Ni kweli wamechelewa sana

Na vingine vilivyobaki vichunguzwe kwa makin na bila upendeleo wala uoga
$
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

-----Original Message-----
From: Reginald Miruko <rsmiruko@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tue, 26 Feb 2013 14:26:29
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] TCRA imevifungia vituo viwili vya radio,,,,,,,, radio
 IMAM na radio NEEMA FM,PIA IMEKIFUNGIA KIPENGELE CHA POWER BREAKFAST CHA
 CLOUDS FM KILE CHA ASUBUHI,,,,,,,,,,,

Wamechelewa sana

On 26/02/2013, isack mchungu <isackmn1965@gmail.com> wrote:
> MIMI naunga mkono kufungiwa maana mwaka 1994 radio zilichangia kuhamasisha
> mauaji ya kimbali,TCRA bigup!!
>
> 2013/2/26 samson charles <samchaz307@gmail.com>
>
>> Mamlaka ya mawasiliano Tanzania, TCRA kupitia kitengo cha maudhui
>> imevifungia matangazo kwa muda wa miezi sita vituo vya radio viwili
>> nchini
>> kwa kukiuka maadili ya utangazaji.
>>
>> Vituo hivyo ni pamoja na Kwa Neema FM ya Mwanza iliyofungiwa kwa
>> kuendesha
>> mjadala uliokuwa ukihusiana na watu wa dini gani wenye haki ya kuchinja
>> wanyama kati ya waislam na wakristu hali iliyosababisha mgongano wa
>> waumini
>> wa dini hizo.
>>
>> Kingine ni Imani Radio FM ya mjini Morogoro ambayo imefungiwa kwa kosa la
>> kupinga zoezi la sensa mwaka jana na kuwashawishi waumini wa dini ya
>> kiislam wasijiandikishe.
>>
>> Nayo Clouds FM imepigwa faini kwa kuendesha mjadala kuhusiana na ushoga
>> pamoja na kuwa na kipengele kwenye kipindi cha Power Breakfast kiitwacho
>> 'Jicho la Ng'ombe' ambacho wametakiwa wakifute kutokana na kuendeshwa
>> kinyume na maadili.
>>
>>
>> On Tue, Feb 26, 2013 at 1:30 PM, lesian mollel
>> <aramakurias@yahoo.com>wrote:
>>
>>>   duh hata power breakfast jamani? nini kosa la rediozote hizi na
>>> kipindi hichi cha cloudz? its bettre tuwekewe hy press release hapa
>>> wakuu
>>>
>>> --- On *Tue, 2/26/13, malosha zephania edward
>>> <emalosha84@yahoo.co.uk>*wrote:
>>>
>>>
>>> From: malosha zephania edward <emalosha84@yahoo.co.uk>
>>> Subject: Re: [wanabidii] TCRA imevifungia vituo viwili vya radio,,,,,,,,
>>> radio IMAM na radio NEEMA FM,PIA IMEKIFUNGIA KIPENGELE CHA POWER
>>> BREAKFAST
>>> CHA CLOUDS FM KILE CHA ASUBUHI,,,,,,,,,,,
>>> To: wanabidii@googlegroups.com
>>> Date: Tuesday, February 26, 2013, 5:22 AM
>>>
>>>
>>>   Mbona hakuna maelezo ya kutosha wana jamii
>>>
>>>
>>> --- On *Tue, 26/2/13, samson charles <samchaz307@gmail.com>* wrote:
>>>
>>>
>>> From: samson charles <samchaz307@gmail.com>
>>> Subject: [wanabidii] TCRA imevifungia vituo viwili vya radio,,,,,,,,
>>> radio IMAM na radio NEEMA FM,PIA IMEKIFUNGIA KIPENGELE CHA POWER
>>> BREAKFAST
>>> CHA CLOUDS FM KILE CHA ASUBUHI,,,,,,,,,,,
>>> To: wanabidii@googlegroups.com
>>> Date: Tuesday, 26 February, 2013, 10:05
>>>
>>>
>>> --
>>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>> facts
>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>> you
>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>> Guidelines.
>>> ---
>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>> Groups
>>> "Wanabidii" group.
>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>> an
>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

>> --
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>>
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>

--
RSM

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment