Tuesday 26 February 2013

Re: [wanabidii] WATOTO WADOGO NA SHULE ZA BOARDING

Endeleeni kupeleka watoto wadogo Boarding. Msije mkasema hamkuambiwa........

2013/2/26 deuce cadico <dcadico@gmail.com>
       Ndugu zangu Mimi kwa hili la kupeleka watoto umri wowote boarding huwezi kunishauri hata kidogo kwa sababu nimeliona uzuri wake. Shule ni boarding jamani kwa familia zetu za kiswahili ukitaka mtoto kweli apate Elimu mpeleke boarding. Na ukitaka faida zake nitakupa ingawa kila jambo lina uzuri na ubaya sasa ukiegemea kuangalia ubaya tu huwezi kuona uzuri na ukiangalia uzuri tu pia huwezi ona ubaya wake.Tuseme labda kama ni hali ya UCHUMI ndiyo ina gomba.

2013/2/25 Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>
Sababu zile zile zinazofanya tuogope kuzaa watoto wengi kwa sasa mojawapo ikiwa ni gharama ya kuwatunza kama mmoja wetu alivyotfakari nasi mwanzoni mwa mwaka na upande mwingine tuangalie athari za jamii miaka ijayo kwa watoto hawa kuwa kwenye shule hizo. Miaka ya zamani watu waliwapeleka watoto wao kwenye shule za bording kule utamaduni ulikoanzia ( ulaya) hasa kama unataka kumuandaa mtoto kuwa kwenye maisha ya utume. Shule nyingi zilikuwa chini ya makanisa.

Nikiwa mdogo mama laitaka nisome nyakaoja iko mwanza sijui sasa hivi iko kwenye hali gani lakini si wote nikimaaanisha na kaka zangu walipelekwa pale mjmba wangu alikataa kwa mujibu wa mama sababu ni kuwa bado niko mdogo lakini nilipokuwa mkubwa nilisoma bording schools ni tofauti na hata sasa naona mjomba alikuwa sahihi baada ya kuona wapwa zangu waliopelekwa shule za bording wakiwa wadogo na kulazimika kuwachomoa mapeema.

Pressure ya maisha imekuwa kubwa na jamii sikuhizi hailei watoto kama enzi zile tukiwa wadogo familia kama familia zijipange. Mipango miji ifikirie na vituo vya kulelea watoto tuweze kuwa na vituo vya kuangalia watoto kwa wafanyakazi wasio na wadada wa kuangalia watoto nyumbani na pengine mzazi mmoja atleast miaka 5 to 8 asadake kuona viachanga hivi vinaanza kukua. Ni mtazamo tu si lazima niwe sahihi jamani

2013/2/25 John George <georgejn2000@gmail.com>
Si vizuri kuwahukumu watu bila kujua sababu. Fanyeni utafiti mjue ni
kwa nini watu wanapeleka watoto wadogo shule za bweni. Ninavyofahamu
siku hizi hakuna wasaidizi wa kazi za nyumbani, baba, mama wote hutoka
asubuhi. nani atampokea mtoto akitoka shuleni wakati muda wa kazi
mwisho saa kumi na moja kwa walio wengi. Labda mngeshauri mmoja wa
wazazi aache kazi awe analea watoto.

On 2/25/13, Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com> wrote:
> Ulimbukeni kitu kibaya sana. Wengi wamepeleka watoto boardin schools
> hasa nje ya nchi miaka 10 au 15 iliyopita wanaweza kutupa expirience
> yao. SHULE si kujua kingereza watoto wa kike wanaanza ujasiriamali wa
> miili wakiwa wadogo na ushoga ndo usisikie. Nimesema ulimbukeni kwani
> imekuwa kawaida hasa akina mama kutaka kujionyesha kuwa mume anazo
> watoto wanasoma boardin school. MTAWAJUA lini watoto wenu? Mnatafuta
> hela kwanguvu wakati mnatengeneza bomu la kusambaratisha mali
>
> On 2/24/13, Emma Kaaya <emmakaaya@gmail.com> wrote:
>> Shalom
>>
>> Siku hizi imekuwa ni kama fasheni kwa wazazi kuwapeleka watoto wadogo
>> shule za kulala. Watoto wengine wanapelekwa huko wakiwa wadogo sana,
>> miaka minne au mitano. Huwa najiuliza sana, ni nini hasa
>> kinachopelekea wazazi kufanya uamuzi kama huo? Ni ubize au kwenda na
>> wakati? Wengine wanajitetea kuwa wanafanya kazi mchana kutwa na
>> wanarudi nyumbani usiku hivyo mtoto hashindi nao hivyo ni sawa tu
>> kumpeleka boarding, mimi sikubaliani na hili. Hata kama unarudi
>> nyumbani usiku angalau unaweza kupata muda wa kuongea na mtoto wako
>> na kuangalia afya yake na kujua anaendeleaje na sio kumpeleka shule ya
>> kulala na mnaonana mara moja kwa wiki au mwezi kabisa.
>>
>> Mtoto anatakiwa ajifunze maadili ya familia yake na za kiMungu akiwa
>> na wazazi wake na afahamu jinsi ya kuishi na wazazi, ndugu, jamaa na
>> marafiki kwanza kabla ya kumpeleka kufundishwa na watu wengine? Je,
>> unadhani unamjengea nini mtoto wako kwa kumuacha kuishi na kulelewa na
>> watu tofauti wa wazazi wake katika umri mdogo kiasi hicho? Je,
>> unajuaje kama watoto wenzie hawamfundishi mambo yasiyofaa maana
>> haonani nawewe kila siku? Ni rahisi kugundua kama mtoto ana tatizo au
>> hofu fulani kama unakaa naye nyumbani kuliko kumuona mara moja kwa
>> mwezi.
>>
>> Unafanya kazi kwa bidii kwa sababu ya maisha bora ya mtoto wako, sasa
>> kwa nini umjengee msingi mbovu kwa sasa kwa kisingizio cha kujenga
>> maisha bora ya baadaye? Mtoto umleaavyo ndivyo akuavyo, hata kama
>> umeenda kusoma mbali, ni vyema akikaa na mzazi mmoja kuliko kukaa
>> kwenye jumuia ya watu tofauti wenye maadili tofauti. Ni wakati sasa
>> wazazi tukabili na kutekeleza majukumu yetu hata kama ni magumu kiasi
>> gani na sio kuwasukumia watu wengine.
>>
>> Kumbuka mtoto ana haki ya kudeka kwa mzazi wake japo isizidi sana,
>> sasa huko boarding atamdekea nani jamani???

>>
>> --
>> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>>
>>
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Wasalaam
 
Denis Matanda,
Mine Supt,
Nzega - Tanzania.
 
" Low aim, not failure, is a crime"

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment