Wednesday 27 February 2013

Re: [wanabidii] Madudu yaliyomng’oa Papa Benedict Vatican - Mwanzo

Hakika umenena. Ni viongozi wachache,wenye hofu ya Mungu, ndio wanaoweza kuchukua maamuzi kama ya Papa Benedict.
 
From: Alois Komu <fr.komu@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, February 27, 2013 6:39 PM
Subject: Re: [wanabidii] Madudu yaliyomng'oa Papa Benedict Vatican - Mwanzo
hakika jambo usilolifahamu ni kama usiku wa giza.
ndugu zangu tunahangaika kubuni majibu kwa nini astaafu wakati mwenyewe ameweka bayana afya, na umri ndio sababu kubwa.hayo mengine ni mchezo wa maigizo kwa walio wana kanisa kwani hayana tija wala mashiko.
  mwenye kuujua ukweli wote ni yeye na amesema!kwa nini tunalazimishia vijisababu vingine. mimi nauita huu ni unyenyekevu wa hali ya juu na huu utamfanya afike mbinguni mapema sana.
  kwetu sisi tujifunze kwake, tusiwe ving'ang'anizi wa madaraka. kama umefikia umri wa kustaafu ondoka bila kuulizwa. hata huko nyumbani umeshakuwa mzee huwezi kuiongoza familia bado unashikilia mimi nimesema. hatufikishi jamii kunakatakiwa. huu ni mfano sio wa wale walio na ofisi za huduma tu au ktk familia zetu.
  huwezi hilo subiria kufia ofisini kwa aibu zako ukiogopa watasema nimeshindwa...kukubali ukomo ni busara.

--- On Wed, 2/27/13, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com> wrote:

From: Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Madudu yaliyomng'oa Papa Benedict Vatican - Mwanzo
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wednesday, February 27, 2013, 4:29 PM

The flute and the pipe - not two, not one!
2013/2/27 Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
Nadhani ni uvivu tu. It is a matter of taking a phone and calling any Catholic padre to get the information straight.
em
2013/2/27 Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com>
Maskini mwandishi huyu wa mtanzania,anaandika habari juu ya Vatican lakini hajui hata Holy See ni kitu gani anaandika eti kitu kinachoitwa holy see.jamani Abduldelloh,fundisha watu wako hawa.
2013/2/27 Magiri paul <kiganyi@gmail.com>
SIKU moja kabla ya kung'atuka kwa kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Benedicto XVI, kwenye wadhifa wake, imeripotiwa kuwa uamuzi wa kuachia ngazi aliufikia baada ya kubaini vitendo vya usaliti, ufisadi na ushoga ndani ya kanisa ambavyo kutokana na umri wake mkubwa hakuwa na uwezo na nguvu za kukabiliana navyo.
Gazeti la Italia, La Repubblica, limekariri taarifa za kiintelijensia za ndani ya kanisa hilo, zilizokuwa zikieleza kuwa makachero wa Vatican, walimfikishia Papa Benedicto ripoti yao ya uchunguzi ya mwenendo wa mlolongo wa matukio ya usaliti, ulaji rushwa na kashfa ya chini kwa chini ya uwepo wa vitendo vya ushoga katika Vatican.
Katika taarifa yake hiyo, gazeti hilo liliripoti kuwa, Papa Benedicto baada ya kuichambua ripoti hiyo na kubaini uwezekano wa kuibuka mgogoro wa kikanisa iwapo hatua za kushughulikia kashfa hizo hazitachukuliwa huku yeye mwenyewe akijitathimini afya yake na kubaini hataweza kuhimili vishindo vya kukabiliana na kashfa hizo, Februari 11 mwaka huu, alitangaza kujiuzulu.
http://wotepamoja.com/archives/11596#.US3QqYqm9BY.gmail --
Jobs in Africa - http://www.wejobs.blogspot.com/
International Jobs - http://www.jobsunited.blogspot.com/
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
-- Jobs in Africa - http://www.wejobs.blogspot.com/ International Jobs - http://www.jobsunited.blogspot.com/   Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.    

-- Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com   Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.    

0 comments:

Post a Comment