Tuesday, 26 February 2013

Re: [wanabidii] FW: [Mabadiliko] Kamati ya Mtinginjola Idd TFF kuishnei - Tumeambukizwa Ugonjwa Mbaya Sana.

tenga anataka kuingiza soko letu tena katika vurugu, hata mm nilikua nasubiri tu nisikie tamko la serikali, huu usaniii wao kwa karne hii haiwezekani wangekua wamefanya kipindi kilkeee cha 1947 tungewaelewa hivyo, lakini sasa hadanganyiki mtu, telecomference si mkutano, katiba imechakachuliwa? hivi michezo nayo jamani kumbe kuna usanii wa kama siasa uchwara jamani?

--- On Tue, 2/26/13, Selemani Rehani <srehani@hotmail.com> wrote:

From: Selemani Rehani <srehani@hotmail.com>
Subject: [wanabidii] FW: [Mabadiliko] Kamati ya Mtinginjola Idd TFF kuishnei - Tumeambukizwa Ugonjwa Mbaya Sana.
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Tuesday, February 26, 2013, 3:06 AM

Uchaguzi huu wa TFF umenifanya niweza ku-prove hypothesis yangu. Naomba ni-share nanyi ili mnipe mawazo yenu kama nipo sahihi. Hypothesis yangu ni kuwa. Unapokuwa na Chama Tawala, chochote kile, kilichopoteza dira, kimegubikwa na vitendo vyote vichafu kama vile rushwa, wizi, majungu, kupakana matope, kuchafuana, kuzushiana uongo n.k. basi utamaduni huu haushii tu kwa chama hicho tawala, bali husambaa katika kila segment ya jamii. Husambaa katia serikali, wizara, idara, mahakama, vyombo vya usalama, Bunge, vyombo vya habari, taasisi, agencies mbalimbali, mashirika, asasi za kiraia, vyama vya michezo na wakati mwingine hata vyama vya upinzani. Ninachotaka kusema utamaduduni huu wa kupindisha mambo na kufanya mizengwe ni ugonjwa ambao unaambukiza. Mgonjwa namba moja ni chama tawala na sasa ametuambukiza gonjwa hili, tumeambukizwa gonjwa baya kutoka chama tawala, gonjwa hili linatafuna hata vyama vyetu vya vinavyohusika na michezo na jamii nzima kwa ujumla. Nikiangalia uchaguzi wa TFF ninaona kuna a lot of similarities na chaguzi zote zinazofanyika ndani ya CCM. Eti CCM wanapofanya uchaguzi, Mwenyekiti wao, anawaambia TAKUKURU waende kuwakamata watoa rushwa. Halafu bado kinakaa madarakani??!! Duh!!! Gonjwa hili tumerithi au tumeambukizwa kutoka chama tawala. Hatuwezi kufanya mambo yetu kwa kufuata sheria na kanuni kwani chama kilichopo madarakani kinaonyesha mfano mbaya. Chama Tawala ni taasisi muhimu sana katika kunyoosha mustakabali wa Taifa lolote lile. Chama legelege huzaa serikali dhaifu , taasisi dhaifu, asasi za kiraia dhaifu na hata vyama vinavyosimamia michezo dhaifu. Tusubiri mizengwe ya uchaguzi wa Chaneta unaokuja.
 
Selemani
 
Subject: Re: [Mabadiliko] Kamati ya Mtinginjola Idd TFF kuishnei
To: mabadilikotanzania@googlegroups.com
From: zittokabwe@gmail.com
Date: Mon, 25 Feb 2013 16:55:39 +0000

Kanyabuleza

Kwa hiyo tusubiri FIFA kuja kutuamulia masuala yanayohusu taratibu zetu za ndani?

Katiba ya TFF ilichakachuliwa, sio suala la FIFA hilo. Waziri yupo sawa ila kachelewa tu kwa uzembe wa kusimamia mambo

Zitto
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

From: Kanyabuleza <kanyabuleza@gmail.com>
Sender: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Date: Mon, 25 Feb 2013 17:50:29 +0100
To: mabadilikotanzania@googlegroups.com<mabadilikotanzania@googlegroups.com>
ReplyTo: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Subject: Re: [Mabadiliko] Kamati ya Mtinginjola Idd TFF kuishnei

Hatua nzuri ila waziri kachemsha Kama TFF na Idd  kwa kuwa FIFA wanakuja kutoa suluhu juu ya hili na kwa sasa uchaguzi umesimamishwa sioni sababu ya Waziri kuingilia TFF ilihali akijua kufanya hivo kuna atahari kwa uwezekano wa Tanzania kufungiwa!

2013/2/25 A S Kivamwo <kivamwo@yahoo.com>

Wadau ee

Ile kamati ya Idd Mtinginjola leo imepigwa chini pamoja na yale maamuzi yake yenye utata ya ubabaishaji katika kuwapata viongozi wapya wa TFF.

Waziri wa michezo Fenella Mkangala ameagiza itumike katiba ya 2006 ambayo imekuwa ikifagiliwa na akina Michael Wambura na wadau wengine wa michezo nchini. Waziri huyo amesema hiyo katiba ya ki-janja -janja ya 2012 ya akina Tenga na wenzie haifai na ilikiuka sheria za msajili wa vyama vya michezo. Aidha kina Tenga wali-bugi kwa kudanganya kuwa eti mkutano mkuu wa TFF umefanyika kupitia Teleconference!!

Mambo ya ulaji bwana katika soka yananiacha hooooooiii!

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
 
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
 
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
--
Kanyabuleza.K

Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment