Wednesday 27 February 2013

Re: [wanabidii] Re: Mh. Bernard Membe-Rais Mtarajiwa:Hii Imekaaje???

Tamthilia zingine bwana!@#$$%^^&&******

2013/2/27 Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>


Bwana HK mi nilidhani we utanielewa kiraisi kumbe sivyo.Nilijua nimeliongelea hilo kwa namna ambavyo,wachache watanielewa.Anyway,ngoja nifafanue,wewe unajua kabisa ktk CCM kuna kitu kinaitwa maslahi ya chama na maslahi ya taifa.Mtu hawi kiongoz
wa kitaifa kwa sababu ana haki ya kugombea au anapendwa bali kwa kuwa mfumo unamuhitaji.Nafikiri uliona hivyo kwa Salmin,Mwinyi na Mkapa.Ninachozungumzia,walioshikilia control balance ya mfumo,wasiwarubuni wananchi kwa maslahi yao binafsi.Sasa,ukiona hujanielewa,acha tu utaelewa wakati ukifika kama utakuwa na uzima.ngupula

------------------------------
On Tue, Feb 26, 2013 18:42 EET Said Issa wrote:

>Thank you Dr Kigwangalla!
>
>...bin Issa.
>(Zanzibar Ni Kwetu)
>
>
>________________________________
> From: "hkigwangalla@gmail.com" <hkigwangalla@gmail.com>
>To: wanabidii@googlegroups.com
>Sent: Tuesday, February 26, 2013 8:35:44 AM
>Subject: Re: [wanabidii] Re: Mh. Bernard Membe-Rais Mtarajiwa:Hii Imekaaje???
>
>
>Hoja dhaifu kbisa toka kwa Ngupula. Kwani wazanzibar wamezuiliwa kugombea Urais?
>Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>________________________________
>
>From:  Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>
>Sender:  wanabidii@googlegroups.com
>Date: Mon, 25 Feb 2013 09:49:42 +0000 (GMT)
>To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
>ReplyTo:  wanabidii@googlegroups.com
>Subject: Re: [wanabidii] Re: Mh. Bernard Membe-Rais Mtarajiwa:Hii Imekaaje???
>
>Jamii ya wakristo wote na wengi ya wenye mapenzi mema na nchii tunajua Bernad Membe ni pandikizi la JK na waislam katika kutaka kuwarubuni wakristo ili waseme mkristo mwenzetu huyo.Na njia nyingine ni kutaka kumleta mgombea kutoka zanzibar kwa kigezo cha sasa ni zamu ya Zanzibar. Huyo Membe mtampitishia wapi?. Ukiona kobe yuko kimya ujue anatunga sheria. Hasira na uvumulivu wa watu wengi sasa vyote vinahamia 2015. Nina uhakika kwa 100% Membe hafiki popote katika mbio za urais....na hapo ndipo watu wajue kuwa unafiki na undumilakuwili vyaweza kukufanikisha kwa mkate wa siku moja na sio raha ya milele. Ngupula
>
>
>________________________________
> From: "nevilletz@gmail.com" <nevilletz@gmail.com>
>To: wanabidii@googlegroups.com
>Sent: Monday, 25 February 2013, 11:08
>Subject: Re: [wanabidii] Re: Mh. Bernard Membe-Rais Mtarajiwa:Hii Imekaaje???
>
>
>He he heeeeee! Haya nami nakuja na ajenda ya kumuunga mkono Capt. John Komba kuwa Rais, hapo vp?
>
>Haya bwana ila jambo moja muhimu, kwanza Membe hajawahi kutangaza rasmi kuutaka urais, lakini pia hata mchakato ndani ya chama chake bado, kwahiyo hata kama Magic FM wangekuwa wakimuunga mkono walipaswa kusubiri mchakato ndani ya chama chake na pia wajitokeze wa upande mwingine.
>
>Kama wanamuunga mkono wanafanya hivyo against who na
> kwa vigezo gani? Nadhani wamepotoka kama alivyopotoka Dk Kigwangala maana hata yeye hiyo 60 pc sijui kaipata vipi! Au ndo utabiri mbadala wa Shehe Yahya?
>Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania
>________________________________
>
>From:  lilian timbuka <liliantimbuka@yahoo.co.uk>
>Sender:  wanabidii@googlegroups.com
>Date: Mon, 25 Feb 2013 07:41:02 +0000 (GMT)
>To: <wanabidii@googlegroups.com>
>ReplyTo:  wanabidii@googlegroups.com
>Subject: Re: [wanabidii] Re: Mh. Bernard Membe-Rais Mtarajiwa:Hii Imekaaje???
>
>Jibu lako Rehema si sahihi, Magic kitaaluma, wanaupotosha umma, labda Meena nisaidie katika hili tafadhali
>
>--- On Mon, 25/2/13, Rehema Kikwete <rehemaki@gmail.com> wrote:
>
>
>>From: Rehema Kikwete <rehemaki@gmail.com>
>>Subject: [wanabidii] Re: Mh. Bernard Membe-Rais Mtarajiwa:Hii Imekaaje???
>>To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
>>Date: Monday, 25 February, 2013, 7:16
>>
>>
>>sioni ubaya kwa chombo cha habari kutangaza kuumuunga mkono fulani
>>
>>On Feb 25, 10:00 am, Constantino Kudoja <c.kud...@zantel.co.tz> wrote:
>> Wanabidii,
>> Leo asubuhi saa 12:00 nilikuwa nasikiliza taarifa ya habari kutoka redio Magic FM.Walikuwa wakielezea mkutano wa Mh. Bernard Membe na Mh. Yousuf bin Alawi bin Abdulla wa Oman.Katika taarifa hiyo mtangazaji alimtaja Mh. Membe kama Rais Mtarajiwa.Hivi wanabidii hii imekaaje?Ni sahihi walivyofanya hawa Magic FM?
>>
>> Best Regards.....*,
>> Constantino Kudoja
>> Senior Power Plant Technician-BO
>> Zanzibar Telecom Limited
>> P.O.Box 77052
>> Dar EsSalaam
>> Tel. 077 3131164
>
>--
>Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
>International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.



--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
 

0 comments:

Post a Comment