Wednesday 27 February 2013

RE: [wanabidii] MTANZANIA WAZIRI RWANDA????

Kweli kabisa Bariki.
 
Unajua sisi Watanzania ni mabwege kama ninavyosema kila siku. Sasa haoa tumekalia kubisha bila hata ushahidi.
Tumeshaambiwa ni Mtanzania, sasa cha ajabu ni nini?
 
Mbona China ina mchezaji wa soka kijana  mwenye asili ya Tanzania?
Mbona hata Uingereza inaye pia.
Mbona aliyeijenga Uganda Revenue Authority alikuwa Mtanzania?
Mbona Rais wa Zambia wa sasa ni Mtanzania na Nyaronyo alishatupa hadithi yake na ndugu zake wanaishi Kigamboni?
Mbona aliyejenga mahakama za Shelisheli alikuwa jaji wa Tanzania?
Mbona aliyeijenga Idara ya Magereza ya Namibia ni Mtanzania anaandikia Daily News kama mwanasafu?
Mbona Kenya imewahi kuwa na Mkuu wa Majeshi mwenye asili ya Tanzania?
Mbona Kamanda mmoja wa Polisi wa Kampala enzi za Amina alikuwa Mtanzania?
Mbona Mkuu wa Teknolojia wa Rais Obama ni Mtanzania mwenye asili ya Kihindi?
Mbona Hungaria na madaktari mabingwa machachari wawili ambao baba yao alikuwa waziri Tanzania?
Kuna mifano mingi tu na hata babu yake Obama alislimu kuwa mwislamu wakati akiishia Zanzibar kama mpishi wa Waingereza.
 
Tuacheni ubishi wa kibwege.
 
Matinyi.

Date: Thu, 28 Feb 2013 08:29:34 +0300
Subject: Re: [wanabidii] MTANZANIA WAZIRI RWANDA????
From: bmwasaga@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

Huyu Profesa alipoenda Kigali kuanzisha KIST alikuwa pamoja na wenzake wawili. Kwa mujibu wa Mtanzania mmoja ambaye ni mmoja wa Wakurugenzi kwenye Wizara za huko, alisema kwamba hawa Watanzania watatu walifanya mambo makubwa sana kwenye sekta ya Teknolojia kiasi kwamba kuna wakati mhe. Ngeleja alienda Rwanda kujifunza namna ambavyo wenzetu wamepiga hatua kwa upande wa Umeme wa Jua na akaitaka Serikali ya huko itusaidie huo utaalamu. Alichokutana nacho ni kwamba waliofanikisha hayo ni Watanzania wenzake.

Sasa kama huyu ni Mnyarwanda tutabaki tunapiga kelele tu lakini ukweli uko wazi.

2013/2/28 ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk>
Si kwamba ni mtanzania ni kwa kuwa maisha yake kwa sehemu kubwa ameyafanyia hapa Tanzania. YEYE ni mnyarwanda kwa kuzaliwa. Wako wengi hawa na baada ya mauaji yale ya kimbare wengi walirudi kwao. Wengine ninaowafahamu mimi mmoja aliwahi kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya miundombinu huko huko. Kwa kuwa jukwaa hili linasomwa na watu wengi sitaweza kumtaja jina. Mwingine alikuwa msaidizi wa City engineer wa Kigali.
Kwa hiyo utaona kwamba wapo wengi tu na siyo huyo mmoja tu. Ukija kada za kati ndio usiseme. Walipokuwa hapa waliitwa Wahangaza lakini kwao huko ni watusi wa kuzaliwa. Jambo la msingi hapa ni kwamba Sisi wote ni waafrica na ni binadamu na wanachokifanya ni kwa manufaa ya wananchi wenzao.
Sent from Yahoo! Mail on Android

From: Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>;
To: <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: Re: [wanabidii] MTANZANIA WAZIRI RWANDA????
Sent: Thu, Feb 28, 2013 4:11:02 AM

Poa tu mbona sie wanyarwanda kibao wanapiga kazi ngazi mbalimbali
mambo yakawaida kama home hawakuthamini na huna utamaduni wa ndio mzee
basi bt at end of day taifa linapoteza

On 2/27/13, haulledict <haulledict@yahoo.co.uk> wrote:
> Wandugu nimeiona habari hii mtanzania awa waziri nchini Rwanda
> http://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/409120-mtanzania-apewa-uwaziri-rwanda.html
>
>
> HAULLE, Evaristo
>
> P. o.Box 2284
> IRINGA- TANZANIA
> Web: www.kasenyendatanzania.com
> I cant teach you violence  because I dont know, I can only teach you not to
> bow your heads before any one, even at the cost of your life - Gandhi
>
> --
> Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
> International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Bariki G. Mwasaga,
P.O. Box 3021,
Dar es Salaam, Tanzania
+255 754 812 387

0 comments:

Post a Comment