Wednesday, 27 February 2013

Re: [wanabidii] Tetemeko la ardhi mkoa wa kigoma

Niliikuta ya Nguvu za Giza kuwa maelezo ya madhara ki-ikologia Mbeya ndio maana nikaitumia hapa. Cheka lakini ipo. Vimondo vya kudondoka ziwani tukiwa tumelala inaweza ikatokea. Mitumbwi ya kusafiri usiku kuvusha magendo hata ya silaha na mali za magendo ipo. Wakizama, mtaokota maiti na vitu msivyovielewa.

Nguvu za giza na mabadiliko kiikolojia:
Timu ya bongo na wazungu wa kidenishi ilifika kijiji kimoja Mbozi Mbeya 1992 ambapo tukifanya evaluation of Danida funded water supply. Sisi wabongo tulishindwa jinsi ya kueleza wazungu yaliyokuwa yakisemwa kama maelezo kwa nini hatutoweza kuwa na kikao na viongozi wa kijiji na kuwa na shughuli husika. Kutafsiri hiyo kwa kizungu kwa wenzetu tulipata kigugumizi na kutunga uongo kwamba kuna kifo ya kiongozi maarufu wa zamani. Uombe asiwepo anayeelewa Kiswahili hata kama kuongea hawezi kwani atawaeleza wenzake ukweli. Ila uongo mtakatifu si mbaya kwa kuweka heshima ya pahala, familia au nchi.

Maelezo:- Kuna wachawi wawili vingunge ambao walikuwa wakishindana kwa uchawi na kutupiana makombora. Siku hiyo makombora yao yalikutana agani yakagongana na kuleta mtafaruku. Upepo mkubwa ukaja, wingu lilitanda ghafla angani, radi ikapiga lakini kikubwa ni mvua ya mawe ilinyesha. Mvua ilinyesha hapo tu roketi zao za vindumba zilipogongana na kuharibu mahindi la mzee mmoja hapo kijijini. katika tafiti watu walijua ni nguvu za giza na kuwaita wahusika. Wahusika wakakubali kuwa walipambana na kuleta uharibifu na kukubali kumlipa muathirika fidia ya kuharibu mazao yake. Ndio hicho kikao tulichokuta tulidhania wakitusubiri kumbe ni cha mengineyo. Matukio kama hayo ya upoepo mkali halafu ni nyumba moja tu pananyesha na kueezuliwa bati na kuchakazwa, au shamba kuwa na mawe ya barafu na kila kitu kuwa kimepondwa wanayajua kuwa ni ya hivyo na kupiga mbiu wahusika wajitoe kabla manyaunyau (mfano wake) hajaitwa. Nao kujitoa kwao huonekana kama sifa ya kujidai maana huko watu huogopana kutokana na nguvu hizi za giza.

Mabomu mengine ni toka ukoloni mizinga iliyopotelea misituni, maeneo ambayo sasa ni vijiji ambapo wanapookota na kudhania ni kitu cha thamani na kukipeleka nyumbani au kukipasua kujua kulikoni-hupasuka kwa kishindo na kuua. Likiwa kubwa majini si linaweza
kuleta mtetemeko kama zile cheche za rasha rasha ya kimondo zilivyowasha moto na mshindo wa chenyewe kilipoingia ziwani kuleta tetemeko Russia lililoangusha majumba na mamia kuathirika? Ndio nikachukua mfano ule. Kimondo kilichoanguka miaka ya zamani ambacho baadhi ya sehemu zake ipo juu ya ardhi kama jiwe huko Mbozi-Mbeya.

Labda ndio maana kuna wenye uwezo wa kuzaliwa au kujifunza wa kuleta mvua ya mawe kutokana na kuwa kuna Kimondo!!

--- On Wed, 27/2/13, James Malima <james.malima@gmail.com> wrote:

From: James Malima <james.malima@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Tetemeko la ardhi mkoa wa kigoma
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Cc: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, 27 February, 2013, 17:54

Duh! Hiyo kali. Sijui unawaza nini? Afadhali usingejisumbua kuwaza lolote kati ya hayo uliyotuandikia hapa, unless kama ulitaka tucheke kama nilivyofanya mimi.

Sent from my iPhone

On 27 Feb 2013, at 15:57, Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk> wrote:

Isije ikawa another Tsunami chini ya Ziwa au mabomu makubwa yaliotumbukia humo baada ya wapiganaji kuzama na mtumbwi wakihama toka eneo moja kwenda kwingine waacha yapotelee ziwani yanapasuka sasa au kimondo hakikuonekana kikidondoka au warukao kwa ungo wamepambana kugombania himaya?!

--- On Wed, 27/2/13, Ismael Kimirei <kiakimirei@gmail.com> wrote:

From: Ismael Kimirei <kiakimirei@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Tetemeko la ardhi mkoa wa kigoma
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wednesday, 27 February, 2013, 12:18

Asante Marcus. Basi lilikuwa dogo sana. Ngoja tusubiri riport zaidi labda twaweza pata na magnitude yake.
Kim
        On 2/27/2013 2:40 PM, Marcus FALINZUNGU wrote:
Ni kweli lilitokea muda huo. Mimi nilikuwa ofisini kwangu, Mnarani CARITAS HOUSE, ila sina hakika na ukubwa (Magnitude yake).    ------------------------------  Marcus Falinzungu  WFP Kigoma  Mob: +255 754 929460               +255 655 929460  -----------------------------    -----Original Message-----  From: wanabidii@googlegroups.com [mailto:wanabidii@googlegroups.com] On Behalf Of Ismael Kimirei  Sent: Wednesday, February 27, 2013 2:02 PM  To: wanabidii@googlegroups.com  Subject: Re: [wanabidii] Tetemeko la ardhi mkoa wa kigoma    Nipo Kigoma. Mida hiyo unayoisema nilikuwa maeneo ya Mwanga. Sikusikia hata tremor ya suruali. HIlo tetemeko gani linachagua eneo dogo tu kiasi hicho? Lilikuwa na uzito gani?    On 2/27/2013 1:03 PM, Juma Mzuri wrote:  
Tetemeko la ardhi limetokea saa 6.18 mchana MKOANI Kigoma, hasa maeneo   ya Ofisi za Mkuu wa Mkoa. Hamna madhara yaliyotokea hadi sasa    
--  Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com    Kujiondoa Tuma Email kwenda   wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha   wanabidii+ukishatuma    Disclaimer:  Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.  ---  You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.  To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.  For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.      

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment