Tuesday, 26 February 2013

Re: [wanabidii] Mkutano wa CHADEMA Wadoda waamua Kutumia Wajukuu

Maro yaani wewe nadhani una walakini katika mindset yako. Hapa kwenye jukwaa wengi wanakulalamikia. Kwani mkutano wa CDM na watoto ni kudoda kwa chama? Haya ni maoni finyu ya CCM. Wao mwanachama ni mtu mzima tu. Kaulize hao wanaoua nchi walianzia wapi na CCM? Mwalimu alianza kuwandaa wakiwa watoto bahati mbaya tu kwamba sasa baadala ya kuendelea kuwa mamba wamekuwa kenge wa chama chako Maro.

--- On Sat, 2/23/13, weston mbuba <matutetz@yahoo.com> wrote:

From: weston mbuba <matutetz@yahoo.com>
Subject: Re: [wanabidii] Mkutano wa CHADEMA Wadoda waamua Kutumia Wajukuu
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Saturday, February 23, 2013, 1:08 AM

Hao watoto ni wanamapinduzi. CHADEMA ni chama makini ambacho kimeanza kuwekeza kwa watoto. Miaka 10 ijayo hawawatakuwa watu wazima wakiwa wanatiririkwa UCDM damuni mwao. CCM wameua chipukizi yao.Timu inayofanya vizuri ni ile inayowekeza kwa watoto. Ndio kinachofanywa na CDM.

--- On Fri, 2/22/13, Yona Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:

From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
Subject: [wanabidii] Mkutano wa CHADEMA Wadoda waamua Kutumia Wajukuu
To: "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, February 22, 2013, 12:36 PM

Ndugu zangu

Hapo ni Picha ya mkutano  Mmoja wa CHADEMA uliofanyika saa chache zilizopita ambapo waliamua kutumia watoto wadogo kupiga nao picha baada ya kuona hali nguvu .

--
www.wejobs.blogspot.com Jobs in Africa
www.jobsunited.blogspot.com International Job Opportunities
--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
 
0 comments:

Post a Comment