Tuesday, 26 February 2013

Re: [wanabidii] Mke mwema hutoka kwa Bwana, sio kwa Kupoke Facebook wala kwa Kum-follow Twitter

EMMA, umeleta mambo mazuri sana, hii mada inamgusa kila mtu awe ameoa/kuolewa, ni jambo lisilokificho kuwa kila anaeingia humu hutarajia furaha ya milele kumbe sio, wanasahau kuwa NDOA ni kama safari,ukisafiri lazima ufuate njia ambayo wakati mwingine unaweza ukafika mahali ukakuta imepinda ukajiuliza kwanini njia hii hapa imepinda wakati ingeweza kunyooka? ukashindwa kupata jibu, so na maisha ya ndoa ni kama njia kuna sehemu yatanyooka ukaona maisha ndo haya, kuna sehemu utakuta yanateremka ukaona raha,kuna wakati yatapanda mlima ukatoka jasho mpaka ukakaa chini ukajuta kusafiri, kuna wakati utakutana na kona ukaponea chupuchupu kuporomoka kwenda korongoni ukajuta kuzaliwa.
  
   ATAKAEKUWA mvumilivu ndie atakayefika mwisho wa safari yake yaani pale kifo kinapokuja, dunia ya leo si kama ile ya zamani, enzi za wazazi wetu,enzi zile kulikuwa na missingi ya maandalizi ya kijana kwenda kwenye ndoa, siku hizi hakuna, siku hizi mambo hayo tunayaita MAMBO YALIOPITWA NA WAKATI, zamani familia ndo ilikuwa inaongoza vijana kupata wachumba, siku hizi vijana wanajiongoza, unaenda bar unakula bia mbili tatu unakutana na binti/kijana pale mnanunuliana bia kesho mnatangaza ndoa!!! au mnakutana njiani kila mtu hana hata historia ya mwenzake wala hata hamhangaiki kuulizana mwenzagu wewe ukoo wako upi aah aah! kesho yake mnatangaza ndoa! ujinga!! wengi wetu tumeshindwa kujua thamani ya kile kitu tunachoenda kuingia[NDOA] thamani yake ni nini?? ndo maana tunajitwaliwa wanawake/wanaume bila kuweka uthabiti katika jambo hili.
 
   Zamani, enzi zetu ,kijana ukitaka kuoa umempata mchumba umeulizia habari za ukoo wake mambo yooote muhimu mfano, habari za maradhi ya kurithi, ulevi, uchapakazi au uvivu,umalaya, maana kuna koo zingine zina kashifa za umalaya! na mambo mengine ya mahusiano, ukishajirisha na hayo unalipeleka jina la huyo mwenza kwa wazazi kupata ushauri, wazazi nao watafanya tafiti zao kuhusu  mambo mbalimbali kuhusu ukoo unaotaka kuoa then wanakwambia endelea na mipango, au unaambiwa tumechunguza ukoo ule haufai kabisaa kwa sababu yule binti unataka kuoa bibi yake mzaa baba alijinyonga, balaaa hilo la kujinyonga litahamia kwenye familia yako japo sio leo but lazima itajajitokeza, sisi kama wazazi wako tunakushauri katafute mchunba katika nyumba ya ukoo fulani, na kijana unawasikiliza wazazi.
 
  SASA siku hizi ndg zangu mambo yamekuwa si mambo! utashangaa mzazi uko sebleni unaangalia Tv pengine washika bunduki wanakipiga na mashetani wekundu, anaingia mwanao wa kike kaongozana na kijana, unatambulishwa tu, BABA HUYU ANAITWA ABDALLAH KINGWENDU  NI MCHUMBA WANGU NIMEONA NIMLETE NIJE KUMTAMBULISHA KWENU!!! mzazi jicho linakutoka kama umetumbukiziwa maji ya ndimu,unajifanya aaahaaa karibu bwana hapa ndo nyumbani!!! kwishenei! mzazi unakuwa huna cha kusema maana wameisha chaguana na wazazi hamkushirikishwa.
   Nimegusiwa kuhusu uthamani wa ndoa, thamani ya ndoa siku hizi haipo vijana wengi hawajui thamani ya ndoa, ndoa kimekuwa kitu cha fasheni tu, haina thamni hata kwa waliooana, hawajui kabisa kama ndoa ni kitu cha thamani,utasikia wanasema NDOA KITU GANI,siku moja nilisikia kwenye radio furani wakiongelea mada ya MUME NA KAZI KIPI BORA.asilimia kubwa ya wanawake wa makamo ya kati walioolewa walisema KAZI NI BORA KULIKO MUME!! you see!!!! katika hali kama hii usitegemee maisha yapo hapo hakuna!
     
   Tusipotafuta wenzi wetu kwa kufuata njia zilizobora ikiwa ni pamoja na kshirikisha familia katika masuala ya kuoa/kuolewa ile dhana ya mke mwema mtu hupewa na bwana itakuwa haipo, tutakuwa tunapewa wenzi wetu na pombe au tamaa za mwili,usitegemee kabisa kwamba utakutana na mwenziwako katika siku 90 ukawa umemfahamu vilivyo la hasha, suala la uchumba linapaswa kufanywa kwa umakini kwa pande zote mbili, ikumbukwe kuwa kipindi cha uchmba ndicho kila mhusika anajaribu kuficha kila tabia mbaya alionayo, kila aina ya uchafu utafichwa mpaka pale suala linapokuja kukamilika, ni bora tukawa na subira katika suala hili maana maandiko yanasema KILA MWENYE KUVUTA SUBIRA MIMI NIMEMBARIKI, ni bora ukamchumguza mwenzio bila hata kumwambia nia yako kwake.
 
     Na baada ya hapo tunayaishi vipi sasa maisha ya ndoa, NAAM WANAWAKE MUWATII WAUME ZENU, NANYI WANAUME WAPENDENI WAKE ZENU ASEMA BWANA MUNGU WETU, nyumba ambayo mungu amewabaliki wawili kuwa pamoja na baraka za wazazi lazima itawaliwe na upendo na unyenyekevu!! sasa siku hizi si mwanaume si mwanamke ndani ya nyumba woote wababe! mtaachaje kupigana ngumi na ubabe wa kila aina wakati uchumba wenu umeanzia bar? kwanza mmeingia kwenye ndoa kama fasheni, kwamba na mimi nionekane nilishawahi kuolewa kwa ndoa ya kanisani!

On Mon, Feb 25, 2013 at 9:06 AM, Yona Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:
Hapana Mke / Mume mwema hutoka kwa mwenza mwenzake kama ni mume au mke huyo huyo .

Tumeshawahi kuona watu wanaingia kwenye ndoa kila mtu na yake hawaelewani maugomvi na visa tele ,siku zinavyoenda wanaelewana wanaendelea kuish pamoja mpaka kifo kinapowatenganisha .

Kwa wale waliofunga ndoa kwa kula viapo serikalini na majumba ya ibada au popote pale kuna kipengele kinasema ( Kwa Ubaya , Uzuri , Afya na Maradhi , Shida na Matatizo , Dhiki na Furaha , Milima na Mabonde ntaendelea kuwa wako milele daima ) Hayo maneno yanakusanya vyote vinavyoweza kutokea mbele ya safari au hata ambavyo vimetokea .

Mimi binafsi sishauri watu kuachana haswa wakishafunga ndoa kwa sababu mengi yanaweza kurekebishwa na haswa kwa kujishusha .ingawa sikatai kwamba kuna watu wanaingia kwenye ndoa au mahusiano kwa ajili ya kutafuta vitu fulani fulani wakipata hivyo wanaona heri wakimbie zao na kwenda kule wanakodhani kuna furaha zaidi .

On Mon, Feb 25, 2013 at 8:50 AM, Illuminata Ndile <INdile@pedaids.org> wrote:

Majirani mlioniskia nacheka nimechekeskwa na diaolgue hii hapo chini.

It has made my day, ebu chekeni na nyinyi

From: wanabidii@googlegroups.com [wanabidii@googlegroups.com] on behalf of nevilletz@gmail.com [nevilletz@gmail.com]
Sent: Monday, February 25, 2013 8:17 AM

To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Mke mwema hutoka kwa Bwana, sio kwa Kupoke Facebook wala kwa Kum-follow Twitter

Denis,
Ukiona mke au mume kimeo ujue ulioa au kuolewa na mwenzi wa jirani yako. Kama kweli umepata mke au mume kutoka kwa Mungu, hawezi kuwa kimeo! Ha ha ha!
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

From: denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>
Date: Mon, 25 Feb 2013 04:08:33 +0000
Subject: Re: [wanabidii] Mke mwema hutoka kwa Bwana, sio kwa Kupoke Facebook wala kwa Kum-follow Twitter

Na huyo bwana anakupaje mke? Wewe hujui kama kila kitu chako kimeshapangwa na kuwa kinachosubiriwa tu ni utimilifu wa andiko?

Ukiona una mke au mume kimeo jua ndo ulichopangiwa na umshukuru mungu wako kwa kila jambo.......

On Feb 24, 2013 9:44 PM, "De kleinson kim" <dekleinson@gmail.com> wrote:
Unahangaika weeee na ndoano yako ukijua unavua samaki, kuja kushtka
linaibuka kenge na tayari ushalivua, ha ha haaaaaaa

--
*"Anyone who conducts an argument by appealing to authority is not using
his intelligence; he is just using his memory." Leonardo daa Vinci
*

--
Jobs in Africa - www.wejobs.blogspot.com
International Jobs - www.jobsunited.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

www.wejobs.blogspot.com Jobs in Africa
www.jobsunited.blogspot.com International Job Opportunities

0 comments:

Post a Comment