Sunday, 8 July 2012

[wanabidii] SHIRIKA LA MAENDELEO BUMBULI: TAAFIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Salamu Wanabidii,

Leo Mbunge wa Bumbuli, Mheshimiwa January Makamba alikutana na Waandishi wa Habari kuzungumzia utekelezaji wa ahadi yake kwa Wana Bumbuli mwaka 2010 ya kuanzisha shirika litakaloratibu shughuli za maendeleo katika jimbo. Pia alizungumzia miradi na mipango ya Shirika zilizo katika hatua mbalimbali za utekelezaji. Taarifa kamili imeambatanishwa.


Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment