Bwana Mkubwa Godfrey Ngupula,
Maneno usemayo hayalingani na daraja yako ya usomi, mtandaoni humu.
Chuki, zarau na udhaifu wa hoja, si dawa ya kutoa TUHUMA na LAWAMA, baina
yetu, wananchi/maraia, pale tu tunapoona Serikali inabeduka katika wajibati zake.
UBAGUZI (uwe wa WEUPE kwa WEUSI, au kwa UDINI na UKABILA, baina yetu) ni USHENZI!
------
Hoja zinazoletwa hapa, mtandaoni, zinahitaji hoja, za KUHALALISHA, yanaosemwa, au
KUYAHARAMISHA.
Si kutemea watu mate, au kuwatupia mawe.
------
Tanzania imepangika kwa nyenzo za Wakoloni na Wakombozi waliokuja na UHURU na JAMHURI YA
MUUNGANO.
Kabla ya UKOLONI hapajakua TAIFA la Tanganyika.
Kabla ya Wangereza, palikua na DOLA ya Zenjibar.
-------
Leo, ndani ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar/TANZANIA, kuna "kero" nyingi, zinazohitaji kujadiliwa
katika "mchakato wa kubadili Katiba".
Moja ya kero hizo ni UDINI, ikiwa si UKABILA.
Vipi tutaweza kwenda mbele na NDOA, ikiwa hatuambiani ya kweli kwanza?
-------
Hoja, za tuhuma na lawama, hutolewa kwa hoja, za UKWELI na USHAHIDI!
-------
Kusema kuwa masibabu yaliomfika Sheikh Mhamed ni ya "mistaken identity" tu, yanatufanya tuulize:
Kwa nini, tokea mwaka ule (2006), huyo "somo" yake, anaeuza MIHADARATI, hakutiwa mbaroni hata
leo?
Na kwa nini, Sheikh Mhamed kabaki katika madaftari ya kompyuta ya kimataifa, kwa sababu ya uhadhiri
wake mikutanoni, kuhusu masuala ya Wakristo na Waisilamu Tanzania?
Mbona Wahubiri na Wahadhiri wa dini nyengine hawajatuambia kua wanafikwa na masibabu kama hayo
yanaotendewa Sheikh Mhamed?
Ikiwa hapana ushahidi wa kinyume na haya tunaoambiwa na Sheikh Mhamed, lazim tuyakubali kuwa ni
kweli, ndipo tutapoweza kuhitimisha midahalo ya suala hili, na kuja na mengine, yatakao kuja na tija, mtandaoni.
Au vipi?
-------
Wenu,
Msikizi,
Bwanatosha
+33-6-33071051.

> Date: Sun, 8 Jul 2012 18:20:28 +0100
> From: ngupula@yahoo.co.uk
>
> Ni afadhali kulala bila net kitandani au kulea mama mjamzito mwenye mimba iliyokuja vibaya kuliko kuishii na hawa jamaa zetu waislam.Ni kichomi kwelikweli.kweli mtoto wa kambo ni wa kambo tu,hata atendewaje,atalalamika tu. Just be like waisrael and USA,dont argue with them,deal with them accordingly and let them complain...Ngupula.
>
>
>
> ------------------------------
> On Sun, Jul 8, 2012 14:12 EEST gm26may@gmail.com wrote:
>
> >
> >Hata Dr Steven Ulimboka angekuwa Mwislam wangeweza kurelate. Case yake na Udini
> >
> >Mungu Tusaidie tuondakane na tongotongo hizi za Udin
> >Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
> >
> >-----Original Message-----
> >From: denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>
> >Sender: wanabidii@googlegroups.com
> >Date: Sun, 8 Jul 2012 13:43:40
> >To: <wanabidii@googlegroups.com>
> >Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
> >Subject: Re: [wanabidii] RE: UDHALILISHWAJI WA WAISLAM NA VYOMBO VYA DOLA VYA TANZANIA/2
> >
> >Tumesoma humo kwenye maelezo lakini siamini kwenye conclusion kuwa hiyo
> >issue ilimtokea yeye kwa kuwa ni muislamu. Kama walitaka kumbambikia nini
> >sasa walishindwa? Kwangu mimi hiyo ni genuine case ya mistaken identity.
> >
> >Wale wafanyabiashara wa madini mungu awalaze pema peponi; hivi kutakuwa na
> >hoja akitokea mtu akasema eti janga lile liliwakumba kwa kuwa walikuwa
> >wakristu?
> >
> >Tuacheni kuingiza udini kwenye kila kitu!
> >On 8 Jul 2012 13:27, "Salim Himidi" <bwanatosha@hotmail.com> wrote:
> >
> >> *Ahsenteni, kwa maelezo ya mtu aliyeona madhila, kwa nafsi yake, na
> >> kuamua kutueleza.
> >> Uzuri wa huriya ya maoni na fikira ni kusaidiana tujenge muelewano bora na
> >> kutambua
> >> ya KWELI na ya UZUSHI.
> >> Kuzuia mazungumzo sio dawa ya kutoa UTATA.
> >> KIZA huondoshwa na MWENGE!
> >> Bwanatosha*
> >>
> >> > Date: Sun, 8 Jul 2012 02:33:07 -0700
> >> > From: hamisznz@gmail.com
> >>
> >> >
> >> > Utangulizi
> >> >
> >> > Sheikh wa kwanza kudhalilishwa na serikali ya Tanzania alikuwa Mufti
> >> > wa Tanzania kwa wakati ule Sheikh Hassan bin Amir ambae kwa amri
> >> > iliyotolewa na Julius Nyerere alikamatwa nyumbani kwake usiku wa
> >> > manane akiwa kavaa khanga tu na akachukuliwa hivyo hivyo hadi uwanja
> >> > wa ndege na kurejeshwa "kwao" Zanzibar. Kisa cha yeye kufukuzwa Bara
> >> > ni kirefu na kwa sasa hapa si mahali pake kueleza. Nimekiweka kisa cha
> >> > Sheikh Hassan bin Amir mwanzo kwa kuwa kina nafasi ya pekee katika
> >> > historia ya Waislam na mapambano yao na serikali toka uhuru upatikane
> >> > mwaka 1961. Lakini mwaka wa 1964 masheikh wengi waliwekwa kizuizini
> >> > kwa amri ya Nyerere hiki nacho ni kisa kingine kinachohitaji wakati
> >> > maalum kuhadithiwa. Baada ya haya ndipo kwa mara ya kwanza moto wa
> >> > makumbi ukajitokeza juu na Waislam wakapambana na serikali katika
> >> > mitaa ya Dar es Salaam mwaka 1993 na mabomu ya machozi na risasi
> >> > zikapigwa. Haya ndiyo yalikuwa maandamano ya kwanza kufanywa na
> >> > Waislam baada ya uhuru. Hili lilikuwa sakata la kuvunjwa mabucha ya
> >> > nguruwe. Damu ya Waislam ilimwagika. Masheikh kumi na moja wa Wilaya
> >> > ya Kinondoni walikamatwa pasi na adabu usiku wa manane majumbani mwao,
> >> > wakapigwa pingu na kutupwa katika malendrova ya polisi kama majambazi.
> >> > Lakini haya yote si kitu tokeo lililotokea siku ya Jumatano tarehe 4
> >> > Julai lilifurtu ada. Sheikh Nurdin Kishki akiwa na ugeni wa masheikh
> >> > wenzake kutoka Yemen ndani yao akiwapo Mufti wa Yemen walivamiwa na
> >> > askari waliokuwa wamevalia mavazi ya kiraia wakiwa njiani wakitokea
> >> > Tanga na wakagaragazwa chini huku wakionyeshwa mitutu ya bunduki. Hii
> >> > ilikuwa habari kubwa lakini vyombo vyote vya habari kama ilivyo ada
> >> > kwa mambo yanayowahusu Waislam vyombo vyote muhimu vilipuuza stori
> >> > hii.
> >> >
> >> > Baada ya utangulizi huu naeleza kisa kilichonifika mikononi mwa vyombo
> >> > vya dola miaka sita iliyopita:
> >> >
> >> > Mkasa Wangu wa Kukamatwa Uwanja wa Ndege wa Mwl. Nyerere, Dar es
> >> > Salaam Mwaka 2006
> >> >
> >> > Mohamed Said
> >> >
> >> > "Mwaka 2006 Radio Tehran walipendekeza jina langu rehekwa Wizara ya
> >> > Mambo ya Nje Iran wanialike katika hawli ya Imam Khomeni. Sababu ya ya
> >> > mie kualikwa ni kuwa mara kwa mara nilikuwa nikifanya mahojiano na
> >> > Radio Tehran Idhaa ya Kiswahili kuhusu siasa za Tanzania hususan
> >> > wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka 1995 na ikatokea kuwa yale mahojiano
> >> > yangu yakawa yanapendwa na wasikizaji wa Afrika ya Mashariki na Kati
> >> > na sehemu za Emirati. Nilkwenda Iran na waalikwa walikuwa kutoka dunia
> >> > nzima na wa kila aina, waandishi, wahadhiri wa vyuo vikuu, wasomi wa
> >> > kawaida, mawaziri wa serikali kutoka nchi tofauti na watu wengine
> >> > wengi. Msafara wetu wa wageni kwenda mahali ulikuwa ni msururu wa
> >> > mabasi zaidi ya kumi yakisindikizwa na kimulimuli cha polisi. Kutoka
> >> > Tanzania nilikuwapo mimi pamoja na waandishi kutoka Daily News na
> >> > Kituo Cha TV cha Channel Ten. Nikiwa Tehran niliingia studio za Radio
> >> > Tehran Idhaa ya Kiswahili na tukafanya mahojiano na mtangazaji wao
> >> > mashuuri Abdulfataa Mussa na wenzake na vilevile kurekodi vipindi
> >> > vingi kuhusu hali ya Waislam Tanzania.
> >> >
> >> > Mambo yalianza wakati sasa narudi Dar es Salaam na ndege ya Emirates
> >> > iliyokuwa inatua usiku. Inaelekea maofisa wa pasi pale uwanjani
> >> > walikuwa na taarifa zangu mapema na walikuwa wakinisubiri kwa hamu
> >> > kubwa kwani nilipotoa pasi yangu kwa afisa wa pasi hapo ndipo shughuli
> >> > za kunishughulikia zilipoaanza. Mimi sikuwa na hili wala lile. Nikawa
> >> > namuona yule dada aliyekuwa kwenye kile kizimba akikukurika na pasi
> >> > yangu akiitia katika mashine na kuitoa mara kadhaa. Fikra iliyonijia
> >> > kwa haraka ilikuwa mashine ni mbovu na harakati zile zilikuwa ni
> >> > kurekebisha mitambo. Kumbe sivyo wahusika nadhani walikuwa
> >> > wanahakikisha kuwa mimi ndiyo huyo waliokuwa wakimwinda na kumsubiri
> >> > na sasa kapatikana, kaingia mwenyewe kwenye mtego na kanasa. Yule
> >> > afisa wa pasi akanambia nikae pembeni natakiwa kwa mahojiano na watu
> >> > wa usalama. Hofu haikuwa imeniingia kwa kuwa nilikuwa natambua kuwa
> >> > harakati dhidi ya ugaidi zilikuwa zimepamba moto na labda nilitakiwa
> >> > kwa mahojiano mafupi kutaka kujua nyendo zangu. Sikujua wala kutarajia
> >> > kuwa mshtuko mkubwa ulikuwa unanisubiri.
> >> >
> >> > Nilichukuliwa hadi kwenye chumba kimoja na hapo niliwakuta maofisa wa
> >> > usalama watatu wakanikaribisha kwa taadhima kisha wakanambia kuwa niko
> >> > chini ya ulinzi kwa kuwa zimewafikia taarifa zangu kuwa mimi
> >> > nasafirisha mihadarati. Mpaka hapa sikuwa na hofu bado ilinijia picha
> >> > kuwa yawezekana wamefananisha majina. Niliwaambia huenda Mohamed Said
> >> > muuza madawa ya kulevya siyo mimi niliye mbele yao. Wakaniambia kwa
> >> > kujiamini kabisa kuwa taarifa zao ni madhubuti muuza unga ni mimi na
> >> > wamekuwa wakinifuatilia siku nyingi. Hapo ndipo walipotoa pasi yangu
> >> > na kuniomba niitambue kama hiyo pasi ni yangu au la. Niliwajibu kuwa
> >> > hakika hiyo ndiyo pasi yangu khasa. Wakaniamuru sasa tutoke twende
> >> > nikachukue mizigo yangu ili wafanye upekuzi wa mihadarati katika
> >> > mizigo niliyotokanayo Tehran. Hapo ndipo nilipojuwa kuwa niko katika
> >> > lindi kubwa la matatizo na ubongo wangu ukaanza kufanya kazi kwa
> >> > haraka huku nikosoma dua kumuomba Allah ulinzi wake kwani kwa hakika
> >> > nilijua kama ni njama zimekamilika na leo imefika siku yangu.
> >> > Nikajiuliza itakuwaje watakapotoa madawa kwenye mizigo yangu. Nikaanza
> >> > kufikiri vichwa vya habari vya magazeti yatakavyopambwa na habari
> >> > zangu. Ikanijia yakini kuwa watu wa usalama wameniwekea madawa ya
> >> > kulevya katika mizigo yangu ili waniangamize na maadui zangu wapumzike
> >> > na shari yangu.
> >> >
> >> > Nilimgeukia yule ofisa mkuu aliyekuwa ananihoji nikamwambia kuwa
> >> > sitokubali kugusa mizigo yangu bila kuwapo mashahidi isijekuwa mizigo
> >> > yangu ishawekewa hayo madawa ya kulevya kwani nilikotoka mizigo
> >> > ilikuwa imekaguliwa na ilikuwa salama. Hoja yangu kubwa kwao ilikuwa
> >> > kupata uhakika kutoka kwao kuwa wananijua vizuri kiasi cha
> >> > kuthibitisha kuwa kweli mie ni msafirishaji wa madawa ya kulevya. Jibu
> >> > nililopewa ni kuwa wao wanafanya kazi kutokana na taarifa
> >> > zilizowafikia. Wakasema, "Sisi tunazo taarifa zako kamili kuwa wewe ni
> >> > msafirisha madawa ya kulevya." Nikawauiza, "Baada ya kupata taarifa
> >> > hizo zangu nyie mmechunguza kutafuta ukweli?" Wakasema, "Ndiyo maana
> >> > leo tumekukamata." Nikawaambia, "Si kweli kama kwa sababu mie
> >> > nafahamika Dar es Salaam takriban kwingi maana ndio nilikozaliwa na
> >> > kukulia. Hapo Kariakoo ukiwaambia watu kuwa Mohamed
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:
Post a Comment