Sunday, 8 July 2012

Re: [wanabidii] Ushauri wa mbowe juu ya msongamano wa magari

Joto ni kali hapo Dar kutumia baisikeli hamtaweza. Mtapata karaha ya jasho na suti zenu

2012/7/8 mejah mbuya <mejaah@gmail.com>
Umeona eehh..
Unajua watu wa Mbezi Beach na Kimara wanakaa siku 43 za mwaka kwenye magari yao..zaidi ya likizo ya mwaka ya siku 28...Cheki hii,

Kila siku anapoteza masaa 2 kwenda na kurudi kazini kwenye foleni ya magari.
Kwa siku ni masaa 4 mara siku 5 za wiki ni  masaa 20!
Mara majuma 52 ya mwaka ni masaa 1040! kwa mwaka.
Masaa 1040 gawanya kwa masaa 24 ya siku moja ni = siku 43!
Siku 43 tunaishi kama wafungwa kwenye magari yetu!Tunachoma mafuta na kuongeza unene na magonjwa mengine ya maisha..Haiyamkin ndiyo sababu 1% ya 7% ya wagonjwa wa kisukari wapo katika jiji la Dar....

Foleni dawa yake baisikeli tu zihamasishwe kutumiwa,ila usalama uzingatiwe kwa njia maalumu za baisikeli  kuliko kujenga madaraja ya juu ambayo yatakuwa ni machinjio yetu kwa jinsi madereva wetu walivyo wazembe kama haitakuwa sehemu ya biashara ya wamachinga..sisi si ndiyo mabingwa wa ku innovate bwana...toka lini ukaona  barabara ina lane 3...New Bagamoyo Rd...ila Bongo tu..sasa kwa nini fly over zisiwe na boutique za mitumba...jiji liongeze kipato..

Usiku  mwema..

2012/7/8 John George <georgejn2000@gmail.com>
Tukishajenga majengo marefu nje ya mji tuhakikishe kuwa hatuendelei kuwambia watu kila kitu waende posta. Mfano kufuatilia masuala ya hati ya ardhi, hati ya kusafiria au passport, mafao na huduma huduma zote zipo Posta. Nchi nzima inaambiwa kama unasuala la kufuatilia nenda wizarani.
 
Kutawanya mji kwenda kilomita 50 kila kona siyo jambo jema. Tujitahidi kupanga nyumba pale posta zipo tupu hazina wapangaji opposite na oceanroad hospital zingine tumewajengea upanga. Hilo suala la kwenda kwa miguu litawezekana kama tutafanya kazi jirani na nyumbani. Kila mtu anataka ajenge kajumba kake. Tunaishia kuamka saa tisa usiku kwenda kazini kila siku, ufanisi kazini unakuwa sifuri

2012/7/8 F kitigwa <kitigwa@gmail.com>
Shirikisho,
jia la mtu asiyeoa ni kipofu, jina la mtu mwenye ulemavu wa viungo hasa miguu ni kiwete. kusema mlemavu wa viungo hilo siyo jina bali ni sentensi au tafsiri ya jina.
Nawashangaa watu wanakwepa kuwaitwa walemavu wa gozi zeruzeru badala yake wanawaita jina hilo hilo ila kwa kiingereza yaani albino na huu nao kwangu naona ni ulimbukeni.

sidhani asiyeona kuitwa kipofu basi utu wake umeondoka, ingekuwa hivyo inabidi kubadilisha majina yote maana yanadhalilisha kama vile mwizi, jambazi, fisadi, malaya, kahaba hayo yote wanaitwa watu na yanadhalilisha.

Kila mtu aitwe jina linalostahili maana utu wa mtu hauko katika jina analoitwa bali katika matendo anayotenda.

2012/7/8 SHIRIKISHO LA VYAMA <shivyawata@yahoo.com>
Ndugu Hosea,
 
Naheshimu mawazo yako, ila napenda kukosoa matumizi ya lugha inayoondoa utu. Hii si kwako tu bali na kwa yeyote ambaye hakuwa na uelewa huu.
Wenye ulemavu nao ni watu, na kwa heshima ya utu wao hatutumii majina yasiyobeba utu kama ulilotumia la 'Kiwete' badala ya mtu mwenye ulemavu wa viungo. wengine hutumia vipofu badala ya watu wasioona au wenye ulemavu wa macho.
Naomba wote tuutumie ufahamu huu. Asante
 
Novat
From: Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Saturday, July 7, 2012 1:21 PM
Subject: [wanabidii] Ushauri wa mbowe juu ya msongamano wa magari

Nimesoma katika magazeti kuwa Mbowe katoa mapendekezo kadhaa juu ya kupunguza msongamano wa magari dar, baadhi ya point nilizoona ni;
1. Kuwekwa ada za magari kuingia mjini
 
2. Ziachwe njia za watembea kwa miguu
 
3. Yajengwe madaraja ya watembea kwa miguu.
 
Labda namie niseme;
1. Kuwekwa ada za magari kuingia mjini
Tayari ada zipo kwa jina la "parking fee" lakini haijasaidia, kuiongeza ni kumuumiza binti anaetumia usafiri wake kwenda kazini achilia ka mkopo ka benki anakokalipa kwa shida. Kwa maana nyingine anasema watu wanaendesha magari kwenda mjini kwa ufahari, la hasha adha za daladala ndo zinasukuma, wengine ni wafanyabiashara hubeba mauzo. labda angeshauri makampuni kama NSSF na PPF waache kujenga business complex katikati ya mji. maeneo ya mlimani city na mawasiliano house hayapo azikiwe mbona yanafanya biashara vizuri tu.
 
2. Ziachwe njia za watembea kwa miguu
Sidhani kama unaweza egesha gari yono watalifunga mnyororo na kuliburuza. hata hivyo hakuna mtu anaweza tembea kwa miguu kutoka mwenge hadi posta kama tukiondoa haya magari anayozungumzia bwana mkubwa. Ningeshauri sumatra waweke madaraja ya usafiri yenye nauli tofauti mfano economy coaches (nauli 300/=) business coaches (nauli 1000/=) executive coaches (nauli 5000/=) mkazi wa makongo juu anaweza kuegesha gari mlimani city then anapanda bus hadi posta.
 
3. Kujenga madaraja ya watembea kwa miguu
Bado viwete na wasukuma toroli hawataweza kuvuka barabara kwa kutumia hayo madaraja kama ya manzese, labda wakati waupanuzi wa barabara tufikirie kujenga subways ambazo hata viwete na wasukuma toroli na guta watatumia kuvuka barabara. Tuangalie uwezekano wa Tanroad kushirikiana na sekta binafsi kujenga parking yards, mfano mtu anaweza egesha gari mbezi mwisho akapanda basi hadi kariakoo au posta, jioni akalipitia kwenda nyumbani.
--
Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/
Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/
Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
0 comments:

Post a Comment