Sunday, 8 July 2012

Re: [wanabidii] SHIRIKA LA MAENDELEO BUMBULI: TAAFIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

I can see some creativity and optimism typical of a reformist...keep up the good work brother! 

2012/7/9 maggid mjengwa <mjengwamaggid@gmail.com>
Hongera January!
Kazi  njema hii.
Maggid

2012/7/8 Herment Mrema <hmrema11@hotmail.com>
Saafi sana kijana Makamba.  Haya ndio mambo yanayotakiwa. Ongeza bidii kwani hata siku moja Serikali haiwezi kuleta maendeleo kwani kazi yake ni kutengeneza sera na mazingira ya kupatikana kwa maendeleo.  Tatizo ambalo utapambana nalo kama hukuwa macho ni la ufisadi kwani  imefika mahali Watanzania wakaamini kuwa Tanzania bila ufisadi haiwezekani. Dawa ya hiyo ni kuhakikisha unakuwa na Value Chains Manager anayelipwa on a principle of pay on performance (value for money) anayejenga uwezo wa wadau wote kuweza kuwepo na transparency, accountability, credibility, trust na honesty kwenye value chains na kuhakikisha una payment system ambayo sale proceeds za mazao yote zinalipwa moja kwa moja kwa wakulima au services, inputs providers/suppliers kupitia kwenye simu zao au bank accounts zao. Viongozi walipwe gharama za kufacilitate productions, processing na marketing.

Kwa dhati ninakupa hongera sana.  Kwa maelezo zaidi kihusu value chains development and management unweza kuyapata kutoka kwenye google search engine kupitia jina langu Herment A. Mrema. Tanzania bila umaskini inawezekana na Bumbuli bila umaskini inawezekana.

Ahsante

Herment A. Mrema

> Subject: [wanabidii] SHIRIKA LA MAENDELEO BUMBULI: TAAFIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
> To: wanabidii@googlegroups.com
> From: manonga2003@gmail.com
> Date: Sun, 8 Jul 2012 15:18:41 +0000

>
> Salamu Wanabidii,
>
> Leo Mbunge wa Bumbuli, Mheshimiwa January Makamba alikutana na Waandishi wa Habari kuzungumzia utekelezaji wa ahadi yake kwa Wana Bumbuli mwaka 2010 ya kuanzisha shirika litakaloratibu shughuli za maendeleo katika jimbo. Pia alizungumzia miradi na mipango ya Shirika zilizo katika hatua mbalimbali za utekelezaji. Taarifa kamili imeambatanishwa.
>
>
> Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

"Vision is the ability to see the invisible!"
Hamisi A. Kigwangalla, MD, MPH, MBA
P.O.Box 22499,
Dar es salaam.
Tanzania.
Phone No: +255 754 636963
                +255 782 636963
website: www.peercorpstrust.org or www.hamisikigwangalla.com
Email: hamisi.kigwangalla@peercorpstrust.org or info@hamisikigwangalla.com
Skype ID: hkigwangalla
Blog: blog.hamisikigwangalla.com 

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment