Monday, 9 July 2012

Re: [wanabidii] Re: MADAKTARI WALIOGOMA WASHITAKIWE

Yona declare interest. Hata madaktari waliogoma ni wazalendo kuliko hata wanaopiga makelele mtaani kuwalaani.

From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Saturday, 7 July 2012, 12:24
Subject: Re: [wanabidii] Re: MADAKTARI WALIOGOMA WASHITAKIWE

Hata hivyo wameshaanza kushitakiwa mmoja mmoja kwa mwajiri wao , sasa tuache tuone sheria inavyochukuwa mkondo wake ili wananchi wasio na hatia nao wapate haki zao za msingi na wale waliotenda vitendo vya sheria mkononi kumpiga yule askari pale muhimbili na vingine vinavyoashiria uvunjivu wa amani au hujuma dhidi ya mali za hospitali na wagonjwa wajue muda wao unayoyoma wajitokeze tu maana hata picha zipo na wenzao waliwaona .

2012/7/7 Mike Zunzu <mikezunzu@yahoo.co.uk>
Yona
Migomo ya watumishi wa afya hufanyika kila mahali duniani inapotokea hawaridhiki na kitu, tuseme malipo, ubosheshaji wa huduma nk. Lakini sijasikia eti viongozi wa migomo hiyo au washiriki wamefikishwa mahakamani.
Hakuna mtu anayeshabikia migomo kamna ya madaktari, baadhi yetu tunaliangalia swala hili kwa upande mmoja, kama hoja yao kubwa ni malipo hilo wengi hawatakubaliana na kiasi kikubwa kilichodai kutakiwa kulipa, kama Serikali itakuwa inaongea ukweli, lakini kuna madai ya mazingira ya kazi na vitendea kazi, hili nalo ni kosa la madaktari, watu wangapi wamepoteza maisha kwa sababu Serikali haijatimiza wajibu wake wa kuboresha mazingira ya kazi na vitendea kazi, je wao ni malaika wanaweza kufanya chochote wanacho penda na sheria isiwaguse?

From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, 6 July 2012, 8:19
Subject: [wanabidii] Re: MADAKTARI WALIOGOMA WASHITAKIWE

Kuna baadhi ya Madaktari na baadhi ya viongozi wa chama cha madaktari
wanatakiwa kupelekwa mbele ya vyombo vya sheria kwa tukio hili la
mgomo na kusababisha vifo kwa baadhi ya watu na wengine kupata madhara
mbalimbali kutokana na mgomo huo au kufanyike njia nyingine ya kuleta
maelewano lakini sio warudi kazini hivi hivi yaani wamalize mgomo hivi
hivi , hiyo hatutakubaliana nayo - Kama mnafikiri suala hili ni la
kupita endeleeni kufikiria hivyo hivyo ila tusilaumiane tu .

On Jul 6, 10:05 am, "Tony PT" <tony_u...@yahoo.co.uk> wrote:
> Lilian,
>
> Sijui kama ni tija kushitaki, lakini point yako ya nne ni sahihi. Muhimbili ina idadi kubwa ya wafanyakazi wanaohudumia mgonjwa mmoja (wauguzi/madaktari/interns/others). Wastani ambao ni mkubwa kuliko hospitali zote Afrika mashariki na huenda kwa africa nzima. Kusema wana wagonjwa wengi kuliko kawaida sio sahihi! Nitazichimba takwimu nizimwage hapa.
> Sent from my BlackBerry® Porsche-9981 smartphone Thru Tigo Network, Tanzania.
>
>
>
>
>
>
>
> -----Original Message-----
> From: lilian ruga <lilian.r...@yahoo.com>
>
> Sender: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Thu, 5 Jul 2012 23:48:39
> To: <wanabidii@googlegroups.com>
> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] MADAKTARI WALIOGOMA WASHITAKIWE
>
> Kuwashitaki madaktari waliogoma kutaboresha huduma za afya? E.gKuongeza dawa kwenye hospitali na zahanati zetu?Kupunguza vifo vya kina mama na watoto?Kuongeza vifaa na vitendea kazi?Kuwapunguzia mzigo wa kutibu wagonjwa wengi madaktari ambao hawatashtakiwa?Kuongeza morali wa madaktari kutuhudumia?Tutafakari kwa kina haya na mengine mengi kwanza...
> --- On Wed, 7/4/12, ELISA MUHINGO <elisamuhi...@yahoo.com> wrote:
>
> From: ELISA MUHINGO <elisamuhi...@yahoo.com>
> Subject: Re: [wanabidii] MADAKTARI WALIOGOMA WASHITAKIWE
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Wednesday, July 4, 2012, 6:46 AM
>
> Nafikiri serikali ni sehemu (sababu) ya mgomo. Inao wajibu wa kuhakikisha usalama wa madakrati. Sitegemei kinyume chake.
>
> --- On Wed, 7/4/12, Barnabas <drbmb...@gmail.com> wrote:
>
> From: Barnabas <drbmb...@gmail.com>
> Subject: Re: [wanabidii] MADAKTARI WALIOGOMA WASHITAKIWE
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Wednesday, July 4, 2012, 6:37 AM
>
> Elisa umeongea vema, lakini nimesikia madokta wanahofia usalama wao, wameomba wahakikishiwe kuwa wapo salama ndio warudi salama ..ama sio hivyo.
>
> Halafu HK kama bado upo Cape Town niambie mkubwa.
>
> 2012/7/4 ELISA MUHINGO <elisamuhi...@yahoo.com>
>
> Ngoja nikusahihishe kidogo ndugu Pius. Sio kuwa walimu wanataka kugoma. Wamegoma zamani. Wanafunzi walioshinda kwenda sekondari huku hawajui kusoma wala kuandika majina yao. Mtihani wenyewe ulisimamiwa na polisi na usalama wa taifa unataka mgomo unaofananaje?
>
> --- On Wed, 7/4/12, martin pius <malagil...@yahoo.co.uk> wrote:
>
> From: martin pius <malagil...@yahoo.co.uk>
>
> Subject: [wanabidii] MADAKTARI WALIOGOMA WASHITAKIWE
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Wednesday, July 4, 2012, 6:15 AM
>
> Ndugu Yona,
>
> Unadhani kuwashitaki ndo suluhisho la mgomo huo?!
>
> Ni wajibu wa nani kuhakikisha madaktari hao hawaandikii wagonjwa dawa ili wakazinunue kwenye maduka yao yalionje ya ofisi. Au unataka kuonesha udhaifu wa taasisi za umma zinazopaswa kuzuia hayo yasitokee.
>
> Mbona huongelei madai yao ya X-ray machines na Citi Scan ambayo ni sawa na TOYOTA Land Cruiser VX moja tu kati ya mamia wanazotembele viongozi wetu.
>
> Madaktari wamegoma, Waalimu wanataka kugoma, wakulima nao wanatafakari! Kila mwananchi anatafakari nini cha kufanya kwa nafasi yake na kibano cha maisha anachopata. Mahakama itabidi ziwe na kazi ya ziada kupokea mashitaka ya wote hawa.
>
> Yatupasa tutafakari kwa upana na kwa uhalisia.
>
> Martin
> --- On Wed, 4/7/12, Yona F Maro <oldmo...@gmail.com> wrote:
>
> From: Yona F Maro <oldmo...@gmail.com>
> Subject: [wanabidii] MADAKTARI WALIOGOMA WASHITAKIWE
> To: "Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Wednesday, 4 July, 2012, 15:56
>
> Kumekuwepo na mgomo wa madaktari kwa siku kadhaa sasa ambao umeitishwa
> na chama cha madaktari kuishinikiza serikali ili iweze kutekeleza
> madai yao mbalimbali ambayo walikubaliana siku zilizopita .
>
> Mgomo huu umeendelea hata baada ya serikali kusema kwamba baadhi ya
> madai ya madaktari yameanza kutekelezwa na hata baada ya mahakama kuu
> kutoa amri kwa mgomo huo kusitishwa mara moja ili wananchi waendelea
> kupata huduma katika hospitali hizo .
>
> Katika baadhi ya hospitali uongozi umeamua kusimamisha baadhi ya
> madaktari na wasaidizi wao ili wale wanaopenda kufanya kazi wafanye
> bila shinikizo lolote kutoka popote .
>
> Kwa kuendeleza mgomo huu ina maana madaktari wanaenda kinyume na viapo
> vyao walivyoapa , wanavunja mikataba yao ya kazi na wananyima wengine
> haki zao za msingi za kuishi kama zilivyotamkwa katika azimio la umoja
> wa mataifa kuhusu haki za binadamu ambalo Tanzania ni mwanachama .
>
> Kwa kuwa
>  madaktari wenyewe kupitia chama chao wameamua kuvunja
> mikataba yao wenyewe na kuvunja haki za wengine kuendelea kuishi ni
> vizuri sasa waambiwe basi inatosha , wasimamishwe kazi na washitakiwe
> kwa makosa mengine dhidi ya binadamu .
>
> Inasikitisha sana kuona daktari anagoma kwa ajili ya mshahara mdogo
> huku mtu huyo huyo jioni anaonekana hosptali binafsi akitibu wagonjwa
> wake , inasikitisha pia kuona mtu wa afya akilalamika upungufu wa
> madawa huku akimwandikia mgonjwa dawa za kwenda kununua kwenye duka
> lake nje ya hospitali .
>
> Madaktari wa aina hii , madaktari maslahi hawatakiwi kuvumiliwa hata
> wale watu haswa baadhi ya makundi ya wanaharakati , viongozi wa dini
> na wanasiasa wanaoshabikia mgomo huu wa madaktari pia wapewe karipio .
>
> Wanaharakati , viongozi , watu binafsi wanaoshabikia mgomo huu
> wanauwezo wa kwenda hata nchi za nje kwa ajili ya matibabu kwa
> kuchagua hospitali na hata wengine wapo huko huko
>  kwahiyo haiwaumi
> hata mgomo ukiwa wa maisha .
>
> --
> Karibu Jukwaa lawww.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kaziwww.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Pichawww.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer
>  and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

> Barnabas
>  "tunajua mnalindana, na kulindana huko sio bure..Mh Deo Filikunjombe, April 2012"
>
> --
> Karibu Jukwaa lawww.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kaziwww.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Pichawww.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> --
>
> Karibu Jukwaa lawww.mwanabidii.com
>
> Pata nafasi mpya za Kaziwww.kazibongo.blogspot.com
>
> Blogu ya Habari na Pichawww.patahabari.blogspot.com
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> --
> Karibu Jukwaa lawww.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kaziwww.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Pichawww.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/
Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/
Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/
Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/
Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
mailto:wanabidii%2Bunsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment