Anyway mambo mengine hayako wazi sana. Ila kweli muungano ni jambo jema. Ndiyo maana east Africa tunataka kuungana ikiwezekana tuwe na prezida mmoja. na zanzibar iwe na presida wake???? hapo sijui itakuwaje tena. kama nakosea unisahihishe ndumambo mengine hayaeleweki sana na vion uhawakuyaweka wazi zaidi ya uyasoma tu kwenye civics.
2012/7/7 Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>
Thanks bwana Bahati kwa ufafanuzi huo..so it means nasi bara tunahiji sheria kama hiyo....infact,mie nawasii sana watz bara tukubali kukaa mezani na kureview huu muungano wetu.i am sure tusipoopopa tutajijua mizigo mingi tuliyoibeba for the past 50 years. Vipo visiwa vingi duniani na hata katika bahari ya hindi vyenye full autonomy lakin ni masikini wa kutupwa.Zanzibar rmekuwa chini ya mwarabu kwa miaka mingi,lakini hakuna kilichofanyika zaidi za kugeuza watu weusi kuwa chotara wa kiarabu.Watapata nini kama tukiwaacha wajitawale incase wakisisitiza?Kwanza kwa asilimia 100 utabiri wa Nyerere utatitimia.Na kuhusu tishio la ugaidi,as long as tunajua tayari,that is not a problem we can indavance handle that situation.Ngupula
------------------------------
On Sat, Jul 7, 2012 17:12 EEST Tony PT wrote:
>Bahati,
>
>Sheria ya uchaguzi ya Zanzibar inataka uwe mkazi na kuishi huko mfululizo kwa miaka 3. Hata kuwa mpiga kura nayo sifa hiyohiyo inatumika siku hizi! Bado una la kusema tena braza?
>Sent from my BlackBerry® Porsche-9981 smartphone Thru Tigo Network, Tanzania.
>
>-----Original Message-----
>From: richard bahati <ribahati@gmail.com>
>Sender: wanabidii@googlegroups.com
>Date: Sat, 7 Jul 2012 01:37:20
>To: <wanabidii@googlegroups.com>>> **
>Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
>Subject: Re: [wanabidii] Re: 21% ya ajira za muungano kwenda visiwani
>
>Kaka Tony kuna makatazo mengine yapo tu vichwani mwetu. Ipo siku
>tutaulizwa, ni lini ulikuja ukaniomba mkate nikakupa ng'e? au ni lini
>uliniomba samaki nikakupa jiwe? (nimebadili kidogo usije sema nimekopy
>kwenye bible bwana)
>
>2012/7/7 Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk>
>
>> Richard,>> ------------------------------
>>
>> Kwanini utake kubadili matokeo ya the Murphy's law ya fizikia? Ukikata
>> slaisi ya kwanza au mwanzo ya mkate lazima itaangukia kulia kama wewe
>> unatumia mkono wa kulia. Sasa unajaribu kuomba kilicho na katazo
>> linaloeleweka? Unakuwa uchokozi.
>> Sent from my BlackBerry® Porsche-9981 smartphone Thru Tigo Network,
>> Tanzania.
>> *From: * richard bahati <ribahati@gmail.com>
>> *Sender: * wanabidii@googlegroups.com
>> *Date: *Sat, 7 Jul 2012 00:53:09 -1200
>> *To: *<wanabidii@googlegroups.com>
>> *ReplyTo: * wanabidii@googlegroups.com
>> *Subject: *Re: [wanabidii] Re: 21% ya ajira za muungano kwenda visiwani
>>>> *From:* Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>
>> Hivi kuna Mtanganyika aliyewahi kuomba kazi Zanzibar akanyimwa? Hivi kuna
>> Mtanganyika ailiyewahi kujaribu kuchukua fomu ya Kugombea Urais kule
>> Zanzibar akanyimwa? Wazanzibar wamechukua fomu na wameshika nafasi nyeti za
>> uongozi huku Tanganyika. Sasa sisi tunaongea tuuuuuu! Tujaribu kuomba kazi,
>> kuomba nafasi za uongozi..... Si nchi moja jamani? Kuna Mtanganyika ameenda
>> kufungua shule au zahanati, au duka kule pemba akafukuzwa? Twende na sisi
>> tutafute hivo fursa maana zipo! Tusilalamike tu wakati wenyewe ajira
>> hatuna, ... wenzetu wamechangamkia nyanja zote kuanzia elimu, siasa, maduka
>> .... kwa mpemba kwa mpemba kariakoo hadi tegeta hadi mbagala hadi bagamoyo
>> hadi morogoro , ifakara, mahenge, dodoma, mwanza, shinyanga, kondoa,
>> mtwara, muzoma, kagera...... kote. Bungeni ...........
>> Wizarani.....................
>> Tuzoee kusikia pia "nafanya kazi pale kiembe madafu......., nasoma
>> sekondary ya .. pemba.... niko kwenye kikaao za la wawakilishi, niko wizara
>> ya fedhzibar, narudi dar weekend kusalimia ndugu. USILALAMIKE. Chukua fomu
>> ya urais gombea. nafasi za kazi zikitangazwa tuma maombi na ninaamini
>> utapata. USILALAMIKE TU. FURSA ZIPO SAWA KWA WOTE
>>
>> 2012/7/5 Pius Makomelelo <makomelelopius@yahoo.co.uk>
>>
>> dawa nzuri ni kuuondoa uzanzibari kama tulivyoupoteza utanganyika!!
>>
>> *To:* "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>> *Sent:* Friday, 6 July 2012, 12:33
>> *Subject:* Re: [wanabidii] Re: 21% ya ajira za muungano kwenda visiwani
>>>> *From:* Arbo <akihaule@gmail.com>
>> Hayo mengine yote uliyouliza yako hivyohivyo.Lakini,kwa kadri
>> nilivyoisikia taarifa ile inaonekama kana kwamba serikali itahakikisha kuwa
>> however mtu kumeet vigezo vingine,lakini eneo la mtu anakotoka kwa maana
>> ya mzanzibar au...litazingatiwa
>>
>> *To:* wanabidii@googlegroups.com
>> *Sent:* Friday, 6 July 2012, 11:22
>> *Subject:* [wanabidii] Re: 21% ya ajira za muungano kwenda visiwani
>>
>> Sijaelewa sawa sawa , maana ya hii asilimia 21. Je kwa sasa hivi , kuna
>> kipengele chochote kinachowazuia Wazanzibar kushindania nafasi za ajira
>> katika serikali ya Muungano? Kama hakuna ,kuna sababu ya hili kuwekwa? Je
>> sera ya ajira inasemaje katika kupata kigezo cha kumuajili mtu katika
>> utumishi wa Umma , uwezo wake au katoka sehemu ipi ya Jamhuri ya Muungano?
>>
>> On Wednesday, July 4, 2012 8:41:48 PM UTC+1, Godfrey Ngupula wrote:
>>
>>
>> Nimesikia kwenye taarifa ya habari ya saa 2.00 usiku radio one kuwa 21%
>> ya ajira zote za serikali ya muungano kupewa wanzanzibar.Nikajiuliza
>> maswali kiasi huku nikitafakari.Kama 100% ya ajira zote za serikali ya
>> visiwani ni ya wanzanzibari and ontop of that,wamehakikishiwe ajira
>> nyingine za burebure huku bara.Mnaonaje.imekaa vizuri hiyo? Ngupula
>>
>> --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

>--
>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>--
>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspo
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:
Post a Comment