Saturday, 7 July 2012

Re: [wanabidii] Re: 21% ya ajira za muungano kwenda visiwani

Bwana Richard sina uhakika sana na hili uliloliwazia kwa mazingira ya zanzibari na wazanzinzari we kwenda kule na ukajifanya mzanzibara si rahisi kihivyo. Ile jamii ni ndogo nakila mtu ni binamu wa fulani si kama bara kwa ufupi ni kugumu kidogo. Waulize dada zetu waliooolewa kule watakuambia

2012/7/7 richard bahati <ribahati@gmail.com>
Hivi kuna Mtanganyika aliyewahi kuomba kazi Zanzibar akanyimwa? Hivi kuna Mtanganyika ailiyewahi kujaribu kuchukua fomu ya Kugombea Urais kule Zanzibar akanyimwa? Wazanzibar wamechukua fomu na wameshika nafasi nyeti za uongozi huku Tanganyika. Sasa sisi tunaongea tuuuuuu! Tujaribu kuomba kazi, kuomba nafasi za uongozi..... Si nchi moja jamani? Kuna Mtanganyika ameenda kufungua shule au zahanati, au duka kule pemba akafukuzwa? Twende na sisi tutafute hivo fursa maana zipo! Tusilalamike tu wakati wenyewe ajira hatuna, ... wenzetu wamechangamkia nyanja zote kuanzia elimu, siasa, maduka .... kwa mpemba kwa mpemba kariakoo hadi tegeta hadi mbagala hadi bagamoyo hadi morogoro , ifakara, mahenge, dodoma, mwanza, shinyanga, kondoa, mtwara, muzoma,  kagera...... kote. Bungeni ........... Wizarani.....................
Tuzoee kusikia pia "nafanya kazi pale kiembe madafu......., nasoma sekondary ya .. pemba.... niko kwenye kikaao za la wawakilishi, niko wizara ya fedhzibar, narudi dar weekend kusalimia ndugu.  USILALAMIKE. Chukua fomu ya urais gombea. nafasi za kazi zikitangazwa tuma maombi na ninaamini utapata. USILALAMIKE TU. FURSA ZIPO SAWA KWA WOTE

2012/7/5 Pius Makomelelo <makomelelopius@yahoo.co.uk>
dawa nzuri ni kuuondoa uzanzibari kama tulivyoupoteza utanganyika!!

From: Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, 6 July 2012, 12:33
Subject: Re: [wanabidii] Re: 21% ya ajira za muungano kwenda visiwani

Hayo mengine yote uliyouliza yako hivyohivyo.Lakini,kwa kadri nilivyoisikia taarifa ile inaonekama kana kwamba serikali itahakikisha kuwa however mtu kumeet  vigezo vingine,lakini eneo la mtu anakotoka kwa maana ya mzanzibar au...litazingatiwa

From: Arbo <akihaule@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, 6 July 2012, 11:22
Subject: [wanabidii] Re: 21% ya ajira za muungano kwenda visiwani

Sijaelewa sawa sawa , maana ya hii asilimia 21.   Je kwa sasa hivi , kuna kipengele chochote kinachowazuia Wazanzibar kushindania nafasi za ajira katika serikali ya Muungano?  Kama hakuna ,kuna sababu ya hili kuwekwa?  Je sera ya ajira inasemaje katika kupata kigezo cha kumuajili mtu katika utumishi wa Umma , uwezo wake au katoka sehemu ipi ya Jamhuri ya Muungano?

On Wednesday, July 4, 2012 8:41:48 PM UTC+1, Godfrey Ngupula wrote:

Nimesikia kwenye taarifa ya habari ya saa 2.00 usiku radio one kuwa 21% ya ajira zote za serikali ya muungano kupewa wanzanzibar.Nikajiuliza maswali kiasi huku nikitafakari.Kama 100% ya ajira zote za serikali ya visiwani ni ya wanzanzibari and ontop of that,wamehakikishiwe ajira nyingine za burebure huku bara.Mnaonaje.imekaa vizuri hiyo? Ngupula
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment