Saturday, 7 July 2012

Re: [wanabidii] Nyongeza ya Ada ya Kuingiza Gari JNIA, Dar es Salaam

Duh Tony, umewaza nini leo? Bravooooo comrade.
Moses

Sent from my iPhone

On Jul 7, 2012, at 12:25 PM, "Tony PT" <tony_uk45@yahoo.co.uk> wrote:

Dk HK,

Hii ni nchi iliyojaa watu wa ajabu sana; selfish, liars, lacking trust and cowards, in short hawana ustaarabu wa binadamu aliyeendelea. Mipango yote inayoanzishwa ni kwa ajili ya watu au kikundi fulani kufaidika; na kila kukicha hili linafanyika. Programu kibao, zote hazileti matunda yanayosimulika lakini mipango haifikii mwisho.

Tatizo hili limelelewa na haliwezi kututoka mapema hata kama tubadilishe vyama vya utawala mara tano; maana wote ni zao la hulka na mfumo huu mbovu! Tunakoelekea ni kubaya zaidi, maisha yanayoshuhudiwa nchi kama Colombia na zingine Amerika kati, na pia Sicilia iliyopo Italia ya kusini.
Tutafikia mfumo wa kunyazishana na ukijiweka kimbelembele kwenye kuharibia watu chao, unanyamazishwa once and for all.

Ndiyo nchi yetu hii, na tunahitaji dikteta kwa miaka 10 kurudisha tuliyoyapoteza kwenye miaka 40 iliyopita. Marehemu Sokoine alijaribu na hakuendelea kwa kukatishwa maisha yake na ajali. Hata mtu kama Dk Ulimboka ni mhanga wa mfumo tunaoelekea kwa spidi tena kali.

Mungu ibariki Tz.
Sent from my BlackBerry® Porsche-9981 smartphone Thru Tigo Network, Tanzania.

From: "Dr. Hamisi A. Kigwangalla" <hkigwangalla@gmail.com>
Date: Fri, 6 Jul 2012 21:34:26 +0300
Subject: Re: [wanabidii] Nyongeza ya Ada ya Kuingiza Gari JNIA, Dar es Salaam

Tony,

Kuna wakati huwa sielewi mambo yanavyoenda,

Ama nchi hii ina watu ambao mipango hii inaundwa kwa ajili yao?

Maana kila mtu anapanga bei anavyotaka, lakini wengine wakipanga aah, wanaambiwa maadili kwanza, sijui huko wakienda kupaki magari wanakuwa na WITO CARD ama?! Vile vile hata wengine wakijipangia bei yao wanaambiwa walafi...sasa inakuwaje haya mambo?

Hebu nisaidie Kaka Tony...

HK.

2012/7/6 Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk>
Bariki,

Ingawa ongezeko la 100pct halielezeki, naona ni wizi mtupu, hakuna kipya kilichoongezeka kwenye parking slots! Ni kwavile tu kampuni inayofanya hilo inayoitwa Consat (nisahihishe jina), ndiyo driver behind all this. Ndio wanaoweka mashine za getini na naona imekuwa dili na mamalaka ya viwanja vya ndege! Wamefunga mashine hizo KIA na huenda watafanya hivyo viwanja vyote! Bongoland, ulaji kila sehemu...

Na bado hata kumuona mkuu wa wilaya au mkoa tutaanza kulipia....kazi kwetu. Lakini na sisi wabongo tumezoea dezo sana! Hakuna cha bure jamani... Fanya kazi upate kulipia unachotumia na ukishindwa rudi kijijiniiiii, vya bure huko bwerereee. Ukipenda mmakonde lazima upende na ndonya yake jamani. Si mmekimbia vijijini, acha mkipate, ebooo! Wapi vya bure vinapatikana, labda aheraaaa!
Sent from my BlackBerry® Porsche-9981 smartphone Thru Tigo Network, Tanzania.

From: Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>
Date: Fri, 6 Jul 2012 16:36:05 +0300
Subject: [wanabidii] Nyongeza ya Ada ya Kuingiza Gari JNIA, Dar es Salaam

Kuanzia tarehe 01/07/2012 Mamlaka ya Viwanja vya Ndege imepandisha Ada ya kuingiza magari kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere kutoka sh. 500 hadi 1,000. Binafsi ninajiuliza ni vigezo gani vimetumika kupandisha tozo hii na ni kwa faida gani? Kuna mtu anaweza kutoa msaada kujua kulikoni?

--
Bariki G. Mwasaga,
P.O. Box 3021,
Dar es Salaam, Tanzania
+255 754 812 387

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

"Vision is the ability to see the invisible!"
Hamisi A. Kigwangalla, MD, MPH, MBA
P.O.Box 22499,
Dar es salaam.
Tanzania.
Phone No: +255 754 636963
                +255 782 636963
website: www.peercorpstrust.org or www.hamisikigwangalla.com
Email: hamisi.kigwangalla@peercorpstrust.org or info@hamisikigwangalla.com
Skype ID: hkigwangalla
Blog: blog.hamisikigwangalla.com 

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment