Shida ni kwamba wengi wetu 'lack critical thinking' na ndiyo maana mtu mwenye authority akisema kitu tu tunamuunga mkono hata bila kujiridhisha kama yuko sahihi. Waliojiunga UDOM hawaakujiunga kwa vile walikuwa vihiyo, bali mfumo wa utawala uliopita uliwabeba. Kama mnakumbuka hata ilifika mahali tukaaminishwa na natibu waziri wa elimu wa wakati huo kwamba 'hakuna anayefeli' bali wanafunzi wanafaulu kwa viwango tofauti - wengine kiwango cha juu, wengine cha kati na wengine cha chini. Lao haya yote yamesahaulika na hakuna anayeona kasoro kwa wale walioleta huo mfumo, bali kwa watoto waliokidhi vigezo vyao vilivyokuwa vimewekwa wakati huo. Inasikitisha kuona tunavyosahau haraka!
2016-06-07 5:31 GMT+03:00 isack mchungu <isackmn1965@gmail.com>:
Watu mweusi ni ndugu zangu lakini nawaogopa sana
On Jun 6, 2016 3:57 PM, "Atu Mwangomale" <acanemwango@gmail.com> wrote:--Hivi mgomo uliandaliwa? Hivi ni haki mwanafunzi wa miaka 18 kupewa masaa 24 aondoke halafu mtu anasema ni sahihi maanda uliandaliwa? nani asiyejua mazingira ya uchumi wa mtanzania?Magobe nakubaliana na wewe kabisa, BRN tumeitengeneza wenyewe na katika kutekeleza wajanja wakaingiza mambo yao. na kama unavyosema wizara ya elimu inahusika 100% na sote tunajua nani alikuwa waziri wa elimu na alipigiwa kelele mara ngapi? including za wizara kukosa mtaala wa elimu ya Msingi na Sekondari. watu walivyoleta hoja pia zilionekana hazifai?Kumbukeni sakata la UDOM kulikuwa na watoto ambao walikuwa wamefaulu vizuri ila wazazi wao walikubali watoto wao wasiende A- level iili wasome diploma wapate ajira. kwa akili ya kawaida mzazi mwenye uwezo atataka mwanae aende A-level ndivyo tulivyozoea. lakini kulingana na uwezo wao wakaona waende huko kwanza!Wangewafukuza wale ambao walikuwa hawafai kusomea hiyo course na ambao walilazimisha kuingia hapo na kuchukua mkopo na wakawaacha wanaostahili. Sasa sijui wanayojadili kwa ustaarabu sasa hivi ni yepi, wakati hili ni muhimu kwa mustakabali ya taifa letu.Ushabiki huu nauogopa sana!--2016-06-03 12:00 GMT+03:00 Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>:Elisa hapo wewe hujadili kitu 'with independent judgement'. Umesikia upande mmoja na tayari umeona ndio unaosema ukweli. 1). Una uhakika gani kwamba mgomo uliandaliwa na wale wanaowatetea wanafunzi ili baadaye waje kujadili bungeni? 2). Bunge ni 'principal organ' ya serikali kwa ajili ya kutunga sheria. Inabidi hata kama hoja imeletwa "kichochezi" (kama unavyodai) ionyeshwe ni kwa namna gani ilikuwa ya kichochezi ili hata wananchi waweze kuelewa. Lakini kufanya mambo kiimla na baadaye kusema yalikuwa ya kichochezi inatia shaka. 3) Siamini kama hoja zilizoleteleza wabunge watake mjadala huo zilikuwa za kichochezi maana siku sakata hilo linaanza walikuwa wabunge wa pande zote waliotaka hilo swala lijadiliwe. 4). Wapinzani wanapopinga au kukosoa kitu si lazima kiwe cha kichochezi. Unakumbuka mjadala wa katiba mpya na jinsi gani ilivyoonekana wapinzani 'walitaka sifa'. Wananchi wakaaminishwa hivyo. Lakini baadhi ya watu walianza kutafakari kuhusu katiba inayopendekezwa na kuona kama ni katiba mpya kweli na kuona si tofauti sana na iliyopo kwani yale mambo ya msingiyaliyotakiwa yaifanye iwe katiba mpya yaliondolewa kimaslahi pia. Je, tulifika wapi na huo mchakato ukilinganisha na investment iliyokuwa imewekwa? Je, wapinzani walikuwa wrong kupinga vipengele vilivyokuwa vinaondolewa kwa kufuata wingi wa kura na siyo uzito wa hoja? 5) Kwenye mchango wangu hapo juu nimegusia the 'BRN' - ambayo ilileteleza kupanua goli (kususha maksi) ili wanafunzi wengi wapate kufaulu na pia kuweka multiple choice kwenye mitihani ya hesabu na tuliaminishwa ndiyo mfumo unaotumika duniani. Leo inaonekana vyuo vimedahili wanafunzi wasio na sifa. Lilikuwa kosa la nani: la waziri la elimu, la vyuo husika au la serikali? Kwa hiyo, tunapojadili hoja fulani tuijadili kwa kuona pros na cons huku tukiwa 'neutral' na siyo kujadili kitu tukiegemea upande mmoja. Kinachotokea bungeni kinatuathiri wote na si kama wengine wanavyodhani kuwa kinawaathiri wapinzani maana maazimio yanayotolewa bila ya kuya'critique' hayatatusaidia. Unakumbuka jinsi sheria ya manunuzi ya umma ilivyopitishwa? Wapinzani walijaribu kuonyesha upungufu wake wakashauri iboreshwe, lakini kwa kutumia wingi wa kura, hoja zao zikazimwa. Leo hii wale walioipitisha wanasema ina upungufu na hata Rais Magufuli kuna wakati alisema "ina upungufu mkubwa sana". Je, huo upungufu unatokana na nini? Kwa upande wangu, naona kuna matatizo katika uendeshaje wa bunge na kama hizo kasoro hazitarekebishwa hoja zitakazokuwa zinapitishwa hazitakuwa na maslahi mapana ya taifa - yatakuwa yanaangalia tu survival ya vyama vya siasa.--2016-06-03 10:30 GMT+03:00 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:Mugobe. Ninaamini sasa kuwa umesoma neno kwa neno michango mingi ukiwamo wa kwangu. na naamini umeuelewa na ni haki kujibiwa. Ni kweli kuna kanuni nyingine ziliwekwa kukandamiza mambo fulani. Hivi ndivyo ilivyo ulimwenguni kote. Kuna mambo huwezi kuyajadili hivyo lazima utumie taratibu kandamizi. Mfano hai/mfu: Kama mgomo wa wanafunzi UDOM na UDISM uliandaliwa na wanaojionyesha kuwatetea wanafunzi. Serikali ikawatimua. Wachochezi wakaamua kusitisha shughuli za Bunge kujadili 'tatizo la wanafunzi'. Kwa nini serikali isitumie mifumo kandamizi iliyowekwa kwa makusudi mazuri kama hapo (Huu ni mfano tu kwa mawazo yangu).
Nchi na serikali haviwezi kwendeshwa kama kilabu cha mpira. Fikiria katika familia. Mtoto mmoja anaamua kuwa mlevi na kuharibu mali za familia. Halafu mtu anakuja na kusema 'Child rights'. Ni busara tukaiangalia serikali kama taasisi ya kuendesha familia yetu Tanzania. Tukajichunguza na kuchunguzana na kusomana. Tunaweza tukaelewa sababu zinazotamkwa na zisizotamkwa na serikali kwa hatua zingine inazochukua.
Hapa kilichofanyika naibu speaker aliamua kutumia kanuni kuzima mjadala wa kichichezi na kuwaambia haki zao wanaoleta hoja. Bila shaka mpaka wakati unafika kujadili mada kutakuwa hakuna haja tena. (nahisi). hiyo ndiyo 'critical thinking au independent judgement' yangu. Si lazima ifanane na yako lakini kushindwa kuihoji mtu akasema hajui watu wengine wanafikiria kwa kutumia nini inaonyesha upeo wa thinking yake.
Nilikuwa Marekani wakati wa sakata la matokeo ya uchaguzi kati ya Bush na Al Goal. Wamarekani kwa 90% waliamini Goal kashinda. Lakini bado alitangazwa na mfumo kandamizi kupitia ''mahakama huru'' kwa sababu moja kubwa. Mfumo ulikuwa umepangwa Sadam husein apigwe na Goal hakuwa tayari.
Tuwe na Critical thinking kwa mambo yanavyoenda nje na ndani.
Tunahimizwa kujenga demokrasia na kulinda haki za binadamu. lakini hizo ni 'instrument muhimu'' kw wahuni wa kimataifa kudistabilise serikali nyingi. Nakumbuka mgogoro wa Libya ulipoanza gadaffi alitoa hotuba iliyotoka mtandaoni. Nilitoa comment kwa Gadafi kuwa lazima utakwenda. Nilikuwa naona trend na ilitokea.
Ninafikiri kwa baadgi ya thinkers humu mimi ni mpuuzi kwa majibu haya. Sina uhakika kwa ''critical thinkers''.
--------------------------------------------
On Thu, 6/2/16, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] HEKO BUNGE KUWAADHIBU WABUNGE WAHUNI
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, June 2, 2016, 3:51 PM
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Ndiyo
maana mimi nasema 'we lack critical thinking au
independent judgement' - yaani huwa mtu fulani
akishasema kitu tunaona ni 'gospel truth'.
Kilichokuwa kinapiganiwa bungeni is the manner in which hao
students were treated. Unakumbuka waliokuwa wakipigia debe
the BRN, ambayo ni matokeo ya yale Rais alikuwa akiyaongelea
pia? Mimi nadhani bungeni kuna madudu yanafanyika na yana
udhi na mengine yanafanyika kwa kujificha kwenye kanuni
ambazo pia ziko kimaslahi zaidi kuliko ya mahitaji ya
mijadala chanya bungeni. Ndiyo maana wakati mwingine unaona
mbunge x anasimama na badala ya kuchangia anaanza kurusha
mabano upande wa pia na kiti kinamwachia tu hadi mwisho na
kisha anasema "anaunga mkono hoja kwa asilimia
100" wakati alichokuwa akiongea hakihusiani na hoja
hata kidogo. Udhaifu huu upo tena mara nyingi. Kwa upande,
mwingine mbunge y akiomba mwongozo kwa nia ya kutaka
ufafanuzi au kukosoa mwenendo wa michango inavyoenda anyimwa
hiyo fursa (bila ya sababu ya maana). Katika mazingira kama
haya kama baadhi ya wabunge wakiona hawatendewi haki na kama
namna wanayoweza kusema na kusikilizwa haipo wakichukua
hatua kama hao unaosema kwa mtazamo wako "sababu za
kipuuzi", je utawalaumu? Kwa maoni yangu, kutoka nje
kwa hao wabunge si sababu za kipuuzi na kama ni kweli ni za
kipuuzi basi hata uamuzi uliofanywa na ukasababisha
uliowafanya watoke wawe na sababu za kipuuzi za kutoka nje
ulikuwa wa kipuuzi pia.
2016-06-02 15:25 GMT+03:00
Busara
ilianza wakati wa uchaguzi. WaTz waliwachagua watu makini.
Watu makini wakishaingia wingi unakuwa wa mwisho kuamua.
Kila anayeangalia TBC 2 vipindi vichache vya bunge live
anaona kuwa mijadara sasa inajadiliwa kwa ustaarabu. Kumbuka
sababu za kipuuzi kama hizi zilizowatoa wabunge haziwezi
kutoa nafasi nyimgine ya kupikiwa chai Ikulu. Lazima Wabunge
wa upinzani watafute namna ya kurudi bungeni. Hatutawacheka.
Waende wakaendeleze harakati zao kwa busara zaidi.
Kwa aliyemsilikiza magufuli UDSM atahisi mgogoro huu wa UDOM
ulichochewa na wanaojifanya wasamalia wema kwa wanachuo.
nchi hii inahitaji katiba inayompa mabavu Rais.
--------------------------------------------
On Thu, 6/2/16, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>
wrote:
Subject: Re: [wanabidii] HEKO BUNGE KUWAADHIBU WABUNGE
WAHUNI
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, June 2, 2016, 2:27 PM
Sheria
gani - hizi za "ndiyo...." zinazoegemea wingi
zaidi kuliko umakini/busara?
On Thu, Jun 2, 2016 at 1:24
PM, De kleinson kim <dekleinson@gmail.com>
wrote:
Nasubiri utetezi wa Lissu na wenzake (uzuri mmoja
wengi kati yao ni wanasheria kitaaluma).
Wajitetee kisheria mbele yetu, Itatufungua zaidi. Ila
wasianze kusema sheria za bunge ni za kurekebishwa.
Wanasiasa wetu wajifunze na kuangalia mambo
yanavyobadilika. Watambue tupo darajani na sio
ng'ambo
ile tuliyotoka.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and
hence
statements and facts must be presented responsibly.
Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:
Post a Comment