Saturday, 25 June 2016

Re: [wanabidii] demokrasia kitanzini

Tunaomba kiongozi dikteta. Hili neno sijui kama hata kiswahili chake ni nini na ni kama limnyama fulani la kuogofya sijui ndo maana halisi sijui.
Tunaomba kiongozi wa kutuambia cha kufanya. Hapo napo sielewi hili ombi na lile la kwanza yana tofauti?
Huyu ni mtanzania faragani akimuomba muumba wake amteulie mtu wa kumuongoza.
Huwezi ziba demokrasia na wanyonge wakiamua kuongea haijalishi kakundi kadogo kenye kushikiria mamlaka kanasemaje tumeona UK.
Tunaandika mambo mengi kulaumiana jan to dec lakini nafikiri tunajinyima fursa muhimu ya kufanya vya msingi.
Nchi ilipofikia hata common sense inaondoka, collective responsibility hakuna. Hii ni hatari kwa afya ya taifa.

On Jun 25, 2016 05:23, "Telesphor Magobe" <tmagobe@gmail.com> wrote:
You're the one fooling Zitto. Zitto anafanya kile anachoona kinafaa na anasema pia kile anachoona anatakiwa kusema na si kwa sababu wenzake ndio wamemu'fool'. Kwani Zitto hawezi kujitambua?

2016-06-25 10:20 GMT+03:00 De kleinson kim <dekleinson@gmail.com>:
" NA KWA KUWA misingi hiyo yaweza tu kutekelezwa katika jamii  yenye
demokrasia  ambayo  serikali  yake  husimamiwa na Bunge  lenye
wajumbe  waliochaguliwa  na  linalowawakilisha wananchi, na pia yenye
Mahakama huru zinazotekeleza wajibu wa  kutoa haki  bila  woga  wala
upendeleo  wowote,"

Ni Demokrasia ipi ambayo imepingwa na Rais, na ni ipi mnayosema
inakandamizwa? Wapinzani mnaanza kusumbua watu;

* Mna Bunge
* Mna Media (Tena magazeti ndio mnayo mengi kweli kweli)
* Mna mikutano na wananchi wenu, kaeni kila mmoja kwa wakati wake na
siku yake ongeeni nao kuhusu changamoto zinazowakabili, Huku ndipo
mtapata hoja za kushindana na utawala. Sio kutetea Demokrasia ambayo
hamuijui zaidi ya kuraririshwa.

Toeni mawazo yenu yenye manufaa huko, yakikataliwa ndio mrudi kwa
wananchi mnaonewa kwa sababu mmefikisha mapendekezo haya na yale
lakini serikali haiwasikilizi!!
Kwa sasa TAIFA lipo kwenye hali mbaya, mtaji wa demokrasia (Kwa
mtazamo wa vyama vya siasa) ni watu!! Vyama vya upinzani vinajitahidi
kwa kila namna visiwapoteze, lakini mmechelewa. Tusiwatumie watanzania
kama mitaji kutokana na wengi wao kutokuwa na uelewa mpana wa mambo.
Ni viongozi wangapi wa upinzani wanakubaliana na kauli ya Rais
inayosisitiza kufanya kazi kwa bidii?? Na ni wangapi wanasimama
majukwaani kulihubiri hilo? Mnaogopa kuonekana wanyonge, hampendi
kusema ukweli au ni ujinga na wivu? Msingi wa maendeleo ni kufanya
kazi kwa bidii, kutokuihubiri kwenu kunatupa picha nyingine.

Kabla ya kusimama na kusema demokrasia inaminywa, kwanza tuangalie ni
juhudi zipi za maendeleo zinazokwamishwa? kama alivyosema Zitto
"Tunasisitiza kuwa ushahidi wa kisayansi duniani kote unaonyesha kuwa
huwezi kuua demokrasia bila kuua juhudi za maendeleo."

A PIECE OF ADVICE TO ZITTO:
Hao wenzako unaoandamana nao wameshapotea, dont let them fool you. You
are stronger and younger than them. ndoto ya kisiasa ni kushika ngazi
ya juu ya utawala kwa mwanasiasa yeyote. TUMIA UMRI NA MUDA WAKO
VIZURI.
Umeunda chama chako, kaa kisimamie, angalia utekelezaji wa ahadi zako
na mambo ya kuongea, watanzania wa 2020 sio hawa wa 2015, watakupima
kwa utendaji wako kama watakavyompima Magufuli, BY 2020, tupe jibu la
"kwa nini ACT and not CDM, CUF, CCM etc" kwa namna hii hata mimi
nisiekuamini nibadilike.

--
*"Anyone who conducts an argument by appealing to authority is not using
his intelligence; he is just using his memory." Leonardo daa Vinci
*

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment