Sunday 26 June 2016

Re: [wanabidii] Kikwete apaa kimataifa, ateuliwa balozi wa heshima

Nilifikiri wamemteua kuwa balozi kwa sababu wakati akiwa rais, Tanzania ilijitegemea kwa chakula. Kumbe wamemteua kwa sababu alisemea kilimo???

--------------------------------------------
On Sat, 6/25/16, fadhil fadhil <fadhil.fadhil96@gmail.com> wrote:

Subject: [wanabidii] Kikwete apaa kimataifa, ateuliwa balozi wa heshima
To: "'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Saturday, June 25, 2016, 8:11 PM

RAIS mstaafu wa
Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete ameteuliwa kuwa Balozi
wa Hisani wa Taasisi ya Mafunzo ya Kilimo na Ushirika
Vijijini (CTA) ya
Nchi za ushirikiano wa Umoja wa Ulaya, nchi za Afrika,
Caribbean,
Pacific (ACP-EU).
Katika taarifa yake, Mkurugenzi Mtendaji wa CTA, Michael
Hailu
alisema uteuzi huo umetokana na mchango mkubwa wa Kikwete
katika
kusisitiza kilimo wakati wa utawala wake.
"Tunashukuru kwa kukubali kwake kuwa Balozi wa Hisani
wa CTA,
atatusaidia kufanikisha kazi zetu za kuhimiza kilimo
endelevu kama
injini ya ukuaji wa uchumi na mafanikio barani Afrika,"
alisema Hailu.
Alisema ana imani kwamba Kikwete atatoa mchango mkubwa
kwenye taasisi
hiyo ya CTA, na kuiwezesha kutekeleza kazi zake za kuhimiza
kilimo
chenye tija kwa ajili ya usalama wa chakula, uwepo wa lishe
bora na
kukuza uchumi kupitia sekta ya kilimo.



--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment