Thursday 30 June 2016

Re: [wanabidii] MATAMSHI YA LISU: MADAKTARI WA MILEMBE WALITOA KWA LUSINDE SIRI ZA MGONJWA?

Mpejirani yako atakwambia ninacholenga! Si kosa kutokiona maana kama hakiko wazi kiko ndani.
--------------------------------------------
On Thu, 6/30/16, Atu Mwangomale <acanemwango@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] MATAMSHI YA LISU: MADAKTARI WA MILEMBE WALITOA KWA LUSINDE SIRI ZA MGONJWA?
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, June 30, 2016, 11:38 AM

"Hoja na haja yangu ndogo
ni kujadili kama Madaktari wa Hospitali ya Milembe wametoa
siri za mgonjwa kwa Lusinde? Nini implication yake kwa
kuzingatia kuwa mgonjwa mwenyewe ni mwanasheria nguli
nchini"?
Elisa, unataka
tujadili kweli au unatania? kitu gani cha maana hapa cha
kujadili?
2016-06-30 10:39 GMT+03:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Baada ya
matamshi tata fulani ya Tundu Lissu Mbunge wa Mtera Lusinde
alitoa matamshi mengine ambayo wengi tuliyachukulia kama
mizaa ya kisiasa. Lusinde alisema Tundu Lisu ana file
Milembe. Milembe ni hospitali maalum kwa wagonjwa walio na
matatizo katika  mifumo yao ya akili. Kwa kawaida
watqnzania wanaichukulia kama hospitali ya vichaa. Kitaalamu
sio lazima mtu awe kichaa ndiyo ahudumiwe Milembe lakini
vichaa na matatizo mengine ya mifumo ya akili.

Moja kati ya njia za kutambua matatizo katika mifumo ya
akili ni matamshi. Sio mpaka kuvua nguo. Matamshi
yaliyopitiliza au yasiyoendana na mazingira ni dalili za
matatizo katika mifumo ya akili.

Kuanzia Bunge Maalaum la Katiba Tundu lisu amekuwa akitoa
matamshi yanayopitiliza. Mfano hai ni Matamshi ya Lisu
kuhusu Baba wa Taifa. Matamshi yake hayakutosha kufikiri
kuwa Lisu ana file Milembe ndiyo maana Lusinde aliposema
Lisu ni mgonjwa wa akili wengi tulimpinga na kusema ametia
chumvi katika kumtathmini Lisu. Kuanzia hapo ufuatiliaji
umekuwepo na kwa kweli matamshi ya Lisu kuhusu kiongozi wa
Taifa (Rais) majuzi, yamedhihurisha pasipo mashaka kuwa
mfumo wa ubongo wa Tundu Lisu unaweza kuwa na matatizo, kwa
hiyo si ajabu kukuta ana file katika Hospitali ya taifa ya
wagonjwa wa akili. Hoja na haja yangu ndogo ni kujadili kama
Madaktari wa Hospitali ya Milembe wametoa siri za mgonjwa
kwa Lusinde? Nini implication yake kwa kuzingatia kuwa
mgonjwa mwenyewe ni mwanasheria nguli nchini?

Elisa Muhingo

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya

 kudhibitisha ukishatuma

 Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment