Elisa
Hufai hata kua kiranja wa darasa bse hunaga chembe ya busara.....unposema wapigwe wauliwe ni ukosefu wa breki ktk ulimi wako....na inaonesha hata uliko una shida, ukoloni na unataka unachokielewa nasie tulazimike tuamini kama ww....
Hao unaosema wapigwe cc wanatutetea, ningependekeza usamehewe kwa kua breki ndio zimemiss ktk ulimi wako
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>Sio wapigwe tu au wang'oewe kucha tu hata taratibu za Bunge ziue tu. Watu wasiotaka kufuata taratibu utafanyaje?Kuknda ni mtu kusema chochote. Lakini kusema chochote wakati wengine wana cha kujadili i sida tu. Dawa nikufunzana kufuata shera na taratibu
>--------------------------------------------
>On Thu, 6/23/16, 'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] MWANDISHI WA HABARI ZA WIZI WA KIFARU:
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Thursday, June 23, 2016, 10:20 AM
>
> Mwandumbya (jina gumu), Reuben (hili
> nafuu)
>
> Mimi nakerwa na vingi hata kama huonekana naongea mengi-ni
> kero nilizonazo kichwani.
>
> Wapigwe tu wanaokiuka misingi ya adabu na heshima hasa
> wanapoingilia masuala ya walinzi wa amani-JWTZ, Police ambao
> wana miongozo yao ya kijeshi. Wataacha kudandiadandia vitu
> bila ya kuuliza kwanza ili kutafuta jina/umaarufu. Mh Pinda
> hakukosea. Tuwe na adabu na kuzingatia misingi yetu ya mila
> na destruri nzuri za kiafrika zile potofu tuziache.
>
> Inanifurahisha kinachoendelea Lugalo Jeshini DSM.
> Nimeshalieleza humu kuwa barabarani pande zote mbili
> kunaheshimika. Mtanzania alipofikia anahitaji kuwekwa ktk
> nidhamu ya kijeshi na wanajeshi. Tuache siasa za kutaka
> kuonekana. Ukikosea pale Lugalo na kupeleka uswahili
> wako-mkong'oto! Unarushwa kichura unaachia vitu unajichafua
> mwenyewe. Uamue kurudi Bunju ulikotoka au kwenda shopping
> kariakoo jinsi ulivyopanga unakwenda na nzi zinakufuata
> maana umejilowesha.
>
> Mfano mwingine- fika Sangasanga ukitokea Chalinze kwenda
> Ngerengere. Unapita msitu wa eneo la jeshi (JWTZ) wenye
> kambi ya jeshi ya Anga. Pamoja na kuwepo mto Ngerengere na
> msitu mnene-huoni mifugo ya akina Lesian hapo au akina
> Mayembula. Heshima na adabu hawaiingizi pamoja na kuwepo
> fodder na maji. Lakini maliza Ngerengere town uanze kuingia
> njia ya kuelekea Mto Ruvu na Kisarawe hapo nje ya mji kuna
> Livestock management unit (LMU ya serikali) na eneo kubwa
> walitunzwalo kwa mifugo yao ya kisasa. Wafugaji kutoka
> Arusha, Mwanza, Shinyanga wanaingiza mifugo-inakamatwa
> inawekwa jela wakagomboe kwa pesa au uizwe.
>
> Anza kuingia kijiji cha Diguzi kutoka hapo LMU kwa
> wenyejisasa nenda hadi cha mwisho wa vijiji kipo cha
> Kidunda 70km. Pande zote mbili ni a fertile valley ya Kilimo
> na huko mpunga, nyanya, bamia, ufuta etc havina bei ni
> kibao! Tazama mifugo kwa maelfu kula mazao kilio kikubwa
> vijana na wazee.
>
> Walikohamisha wananchi kuwalipa fidia ili Kidunda Dam
> ijengwe kwa mkopo wa World Bank, wakapima viwanja
> wanaotakiwa kuhama waende huko baada ya kulipwa
> fidia-wamehamia na mifugo kibao hizo surveyed new plots hao
> wafugaji. Kaangalie irrigation system GVT and donor
> supported na nyingine constructed na JWTZ kwa
> tender-kwishnia zimechakachuliwa na maelfu ya mifugo. Hapa
> maana yake nini-Tumia JTK, JWTZ Piga tu kwani hakuna
> asiyefahamu umuhimu wa Maji na kilimo ba ufugaji bora
> kufanyia makusudi wengine. Jana ITV inawaonyesha wafugaji
> Longido wakilalamikia wanyamaporikufunguliwa kuachwa kuja
> kula mazao yao wakiitaka serikali ichukue hatua madhubuti!?!
> Hapa ndipo mwandishi wa habari Uchwara atakapokimbilia
> anajua politics of popularity zipo hapa. Daima hawatoandika
> ukweli kuelimisha jamii na taifa-wataandika kuhusu uonevu tu
> sio kuangalia poande 2. Kumbe inapokuwa ni JWTZ tunajua
> sheria tunaogopa, inapokuwa uraiani fanya utakavyo hata kama
> tunajua sheria. Sasa politics of the belly and popularity
> zitaisha jeshi litakapotoa kisago. Au tuwape watawale kidogo
> miaka 5 ya Magufuli halafu ndio mitanoiliyobaki bunge
> liendelee kawaida. Anyway-Kagame anakuja July 1 atatusaidia
> mikakati.
>
> Ninasisitiza-curriculum ya wanahabari ifanyiwe ukaratabi.
> Akasome vyuo vinavyotoa degree za specializationza sector
> apendayo halafu ndio aende kwenye uandishi habari au vyuo
> viunganishe na uhadishi wa habari kwa kila degree. Kama ni
> fisheries-iwemo; environment, socio-economic, chemistry,
> ecology, forestry etc iwe na specialization ya uandishi wa
> habari pia. Degree ya Habari isiwe isolated na chuo chake
> pekee uncless wanafundisha na hizo specialization. Kiwango
> cha mwisho cha kuingia kusomea habari kiwe form 6 sio std7
> au form 4.
>
> Hii culture ya kupenda kulaumu, maandamano, misifa, vurugu
> bungeni iishe. Ndio maana tuna kila kitu nchini lakini tupo
> nyuma kimaendeleo. Tuna mfumo mzuri wa LGA kuanzia balozi,
> serikali ya mtaa hadi kitaifa na vijijini mfumo safi ambao
> tungekusa serious mambo mengi ya kijinga tungeyasawazisha na
> kuyaondoa. Lakini sasa tumeingia culture ya visasi,
> kukomoana, kuviziana na kuuana. Kila siku tunarudi nyuma tu.
> Kuna nchi hazina sera, sheria, mikakati kama yetu na mila
> ipo juu. Sisi utawala huu wa demokrasia tumeujaza ubinafsi,
> politiking, misifa ya kuonekana daily ktk TV unaongea
> kulaumu tu huku mwenyewe una miliki ardhi ya mamilioni
> umeichukua wewe ya mamlaka ya serikali; demokrasia
> usipochaguliwa chama hiki-unahamahama kila kona mpaka upate
> uongozi na ukipata-kwenye vyombo vya habari uchao. Na sasa
> ndio tupo kwenye kionyesho cha wana Siasa-Mfungo wa Mwezi
> Mtukufu! Kila mmoja sasa nikujionyesha. Lisha hapa kwa
> mamilioni na lishe pale, toa zawadi hapa!? Mla mla leo kesho
> atakula nini? Mbona mihela hiyo ingetumika kuwajengea mradi
> wa kuzalisha mali, au jiko bora na mabweni mazuri na vyoo
> watoto yatima, wazee wangekuwa mbali na hata kuwa na misingi
> ya kujitegemea? sasa ni kula, kula, kula, zawadi, kula!?
> Badala ya kufanya party ya mwaka ya vilema kwa
> millions-chukua shamba pori mtumie Mchechu ajenge nyumba na
> infrastructure nzuri, weka power tillers, drip irrigation,
> wape mbegu, vifaa, weka restaurant, crop storage facilities
> na cold storage na cold storage vehicles za kusafirisha
> mazao ndani na nje ya nchi. Ondoa mijibaba mitapeli mjini
> kaifungie huko-JWTZ iwazoe hao madalali na weka eneo maalum
> ya hao wasiojiweza. Tuone tulivyo! Haya yote hatuyaone ila
> ni mamilioni ya zawadi na lishe kila sikukuu za kidini na
> kitaifa kisha-wanabaki kama jana na wajanja kuwaibia hizo
> zawadi. Jeshi la Ujenzi tunalo wa nyumba, madaraja na mifumo
> mingine mbalimbali. Wanafunzi wa ujenzi wapo for field
> practice.
>
> Waandishi wa Habari hawapo kuelimisha jamii namna hii!. Sasa
> hapa ni Kazi tu-Piga!!
> Kama Kawa
>
> --------------------------------------------
> On Thu, 23/6/16, 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] MWANDISHI WA HABARI ZA WIZI WA
> KIFARU:
> To: "wanabidii@googlegroups.com"
> <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Thursday, 23 June, 2016, 7:55
>
> Hilda;Sidhani
> kama Jeshi litaitaji fidia ya fedha katika suala hili,
> mana
> kwanza itakuwa fedhea kwa Jeshi.Hapa
> Jeshi linataka kushikisha adabu Makanjanja wa hiyo
> fani,wanaandika tu ili choo kiendelee kunuka kule
> nyumbani,haiingii kwa akili kuona mtu anazusha issue kama
> hiyo bila hata yeye kwanza kuweza kufikiri hata kidogo tu
> kwamba what next?Ni ulofa tu.
> Sasa
> hapa mtu akiwa matatani unafail kumuonea huruma, ndipo
> hapo
> Mh. Pinda alisema 'wapigwe tu'. Reuben
>
>
>
> On Thursday, June 23,
> 2016 6:10 AM, J L Kamala <jlkamala@gmail.com>
> wrote:
>
>
> Sio upuuzi kweli?
> Kama unakubaliana na watukanaji wale, niambie tendo moja
> tu
> la kibwege lililofanywa na rais wetu tudhibitishe.
> Vinginevyo unashadadia lisilokuwepo na rais wetu ni kichwa
> kizuri tu. Yalobakia na chuki zako mwenyewe
> On Jun 23, 2016 6:06 AM,
> "J L Kamala" <jlkamala@gmail.com>
> wrote:
> Unafahamu kweli maana ya neno bwege? Unajaribu
> kukubaliana na yule mtukanaji kwa kuwa rais wetu sio
> brilliant? Kinyume cha brilliant ndo bwege? Unamanisha
> watz
> tulimchagua asiye brilliant?
> Hayo maneno yakasemwe na wengine wakiwa
> kwingine na sio kusemwa na watz ndani ya ardhi ya TZ. Hugo
> Chavez alipimwita Bush shetani si aliamriwa kuondoka
> marekani??? Au unamaanisha marekani marais wanatukanika na
> kunyamaziwa????
> Mkapa kuwaita wapumbavu ilikuwa sahihi
> kabisaa na inaweza kudhibitishwa kisayansi. Yaani watu
> waliotwambia kila aina ya meneno kwamba mwana CCM Fulani
> ni
> jizi jambazi lisilofaa hata kuishi alipokatiza mpaka na
> kwenda kwao akawa mgombea na mpiga kampeini mkuu, Joshua
> wa
> kutuvusha nk huo unaweza kuufananisha na nini zaid ya
> alichokiita mkapa?
> Lile la wabunge wa ukawa kuingia bungeni kila
> siku na kutoka unaweza kulifananisha na nini? Kwanini
> wasikae tu kwao wakaja tu siku zile ambazo wasiompenda
> hayupo?
> On Jun 23, 2016 5:37
> AM, "Emmanuel Muganda" <emuganda@gmail.com>
> wrote:
> J Kamala,With ushoga umekwenda too far.
> Lakini tukiwa na rais brilliant kwa nini iwe sawa kusema
> hivyo na tukiwa na rais kilaza au bwege
> tusiseme?Hii mentality ya umungu mtu mimi si
> subscribe kabisa. Rais ni binadamu na binadamu wako wa
> aina
> zote. Kwani Mkapa alipotuita sisi wapumbavu na
> malofaalivunja sheria gani? Na tukimgeuzia kibano
> je, kwa nini iwe kufuru?em
> 2016-06-22 22:17 GMT-04:00
> J L Kamala <jlkamala@gmail.com>:
> Muganda.
> Watamchngia nini kwani umeshajua hukumu yake?
> Ushajua atashitakiwa kwa sheria ipi? Vipi kama hukumu yake
> ni jera na faini kwa pamoja nani atamchangia?
> Nchi zilizoendelea naziwe huru hivyo. Lkn
> huwe tu wazi kwamba kumwita mkuu wa nchi bwege ni zaidi ya
> kufuru na haivumiliki hata kidogo hata ingekuwa serikali
> ya
> Mwl Nyerere. Kama kwenye nchi zenu hilo ni sawa basi
> lifurahie tu ila kaa ukijua lililosahihi marekan sio
> sahihi
> Tanzania . usijekuanza kutetea aushoga na mashoga kwakuwa
> marekani sio kosa kisheria kuwa shoga. Be careful with Tz,
> we don't consume every matapish from that country.
> Ndaki. Wanaharakati wako ukawa so usitegemee
> wamtetee huyu mama wa CCM.
> On Jun 23, 2016 3:24
> AM, "Emmanuel Muganda" <emuganda@gmail.com>
> wrote:
> Elisa,Snowden alivunja sheria za
> Marekani. Na yeye anajua hilo na ndiyo sababu alikimbia.
> Lakini kilichompelekea kufanya alichofanya ni kwamba
> aliona
> maslahiya the big picture. Huyo aliyemwita
> Magufuli bwege kwa nchi za wenzetu waliobobea katika
> demokrasia hajafanya kosa lolote. Alikuwa akitoa maoni
> yake
> mwenyeweambayo anaruhusiwa kwa mujibu wa kanuni
> za haki za binadamu.em
> On Wed, Jun 22, 2016 at
> 3:06 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
> Snowden
> Mkimbizi. Kama hakuna jipya yuko urusi. Kwa nini
> amekimbia?
> katofautiana na serikali yake. Kwa nini serikali yake
> isisemwe kusababisha mtu kukimbia kama zinavyosemwa
> nyingine? Ni kwa sababu hakuna la kusema au kwa sababu ni
> Marekani? Huyu aliyemwita Magufuli Bwege alichangiwa na
> 'wasamaliamwema' ambao wanatetea uhuru wa habari
> japo hawakumuona Snowden. Nikawahimiza kuwa waqwe tayari
> kumchangia kucha na meno huyu aliyezua la jeshi kuibiwa
> kifaru maana anahitaji to undergoe a strenous interogation
> inayolingana ka aina ya uzushi
>
> --------------------------------------------
>
> On Wed, 6/22/16, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
> wrote:
>
>
>
> Subject: Re: [wanabidii] MWANDISHI WA HABARI ZA WIZI
> WA KIFARU:
>
> To: "wanabidii@googlegroups.com"
> <wanabidii@googlegroups.com>
>
> Date: Wednesday, June 22, 2016, 9:53 PM
>
>
>
> Elisa, Snowden yuko huru. Mwandishi
>
> atachangiwa na gazeti lake. Yule aliyemwita Magufuli
> bwege
>
> hakuwa na gazeti.em
>
> On Tue, Jun 21, 2016 at
>
> 11:52 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
>
> wrote:
>
>
>
>
>
> Nimesoma kuwa kuna watu wamemchangia mtu
> aliyehukumiwa
>
> kulipa fine ya milioni saba kwa kutumia mtandao
> kinyume cha
>
> sheria na kumkashifu rais. Napenda watu hao wawe
> tayari
>
> kumchangia kucha na meno mtuhumiwa aliyeandika habari
> za
>
> wizi wa kifaru. Na kama interogation haitamfikisha
> hapo (Pa
>
> kupata msaada huo) itakuwa haijakamilika. Hatuwezi
> kuvumilia
>
> watu kutetea uhuru wa kupata habari kufikia
> kuwavumilia watu
>
> kama hawa. Ninashangaa kwa nini na Snowden(?) yule
> mwandishi
>
> wa Marekani aliyetoa habari za siri hajachangiwa au
> watetezi
>
> hawa hawajaandika kumtetea.
>
>
>
> --
>
>
>
>
>
>
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>
>
>
>
>
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
>
>
>
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
>
> Disclaimer:
>
>
>
>
>
>
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole
>
> responsibility
>
>
>
> for any legal consequences of his or her
> postings, and
>
> hence
>
>
>
> statements and facts must be presented
> responsibly.
>
> Your
>
>
>
> continued membership signifies that you agree to
> this
>
>
>
> disclaimer and pledge to abide by our Rules
> and
>
>
>
> Guidelines.
>
>
>
>
>
>
>
> ---
>
>
>
>
>
>
>
> You received this message because you are
> subscribed to
>
> the
>
>
>
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
>
>
>
>
>
>
> To unsubscribe from this group and stop
> receiving
>
> emails
>
>
>
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
>
>
>
>
>
>
> For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.

> Utapata Email ya
>
>
>
> kudhibitisha ukishatuma

> for any legal consequences of his or her postings, and
> hence
>
> statements and facts must be presented responsibly.
> Your
>
> continued membership signifies that you agree to
> this
>
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>
> Guidelines.
>
>
>
> ---
>
>
>
> You received this message because you are subscribed
> to the
>
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
>
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving

> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to
> the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails

> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment