Friday, 24 June 2016

Re: [wanabidii] MWANDISHI WA HABARI ZA WIZI WA KIFARU:

Sio wapigwe tu au wang'oewe kucha tu hata taratibu za Bunge ziue tu. Watu wasiotaka kufuata taratibu utafanyaje?Kuknda ni mtu kusema chochote. Lakini kusema chochote wakati wengine wana cha kujadili i sida tu. Dawa nikufunzana kufuata shera na taratibu
--------------------------------------------
On Thu, 6/23/16, 'Hildegarda Kiwasila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] MWANDISHI WA HABARI ZA WIZI WA KIFARU:
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, June 23, 2016, 10:20 AM

Mwandumbya (jina gumu), Reuben (hili
nafuu)

Mimi nakerwa na vingi hata kama huonekana naongea mengi-ni
kero nilizonazo kichwani.

Wapigwe tu wanaokiuka misingi ya adabu na heshima  hasa
wanapoingilia masuala ya walinzi wa amani-JWTZ, Police ambao
wana miongozo yao ya kijeshi. Wataacha kudandiadandia vitu
bila ya kuuliza kwanza ili kutafuta jina/umaarufu. Mh Pinda
hakukosea. Tuwe na adabu na kuzingatia misingi yetu ya mila
na destruri nzuri za kiafrika zile potofu tuziache.

Inanifurahisha  kinachoendelea Lugalo Jeshini DSM.
Nimeshalieleza humu kuwa barabarani pande zote mbili
kunaheshimika. Mtanzania alipofikia anahitaji kuwekwa ktk
nidhamu ya kijeshi na wanajeshi. Tuache siasa za kutaka
kuonekana. Ukikosea pale Lugalo na kupeleka uswahili
wako-mkong'oto! Unarushwa kichura unaachia vitu unajichafua
mwenyewe. Uamue kurudi Bunju ulikotoka au kwenda shopping
kariakoo jinsi ulivyopanga unakwenda na nzi zinakufuata
maana umejilowesha.

Mfano mwingine- fika Sangasanga ukitokea Chalinze kwenda
Ngerengere. Unapita msitu wa eneo la jeshi (JWTZ) wenye
kambi ya jeshi ya Anga. Pamoja na kuwepo mto Ngerengere na
msitu mnene-huoni mifugo ya akina Lesian hapo au akina
Mayembula. Heshima na adabu hawaiingizi pamoja na kuwepo
fodder na maji. Lakini maliza Ngerengere town uanze kuingia
njia ya kuelekea Mto Ruvu na Kisarawe hapo nje ya mji kuna
Livestock management unit (LMU ya serikali) na eneo kubwa
walitunzwalo kwa mifugo yao ya kisasa. Wafugaji kutoka
Arusha, Mwanza, Shinyanga wanaingiza mifugo-inakamatwa
inawekwa jela wakagomboe kwa pesa au uizwe.

Anza kuingia kijiji cha Diguzi kutoka hapo LMU kwa
wenyejisasa nenda hadi cha mwisho wa vijiji kipo  cha
Kidunda 70km. Pande zote mbili ni a fertile valley ya Kilimo
na huko mpunga, nyanya, bamia, ufuta etc havina bei ni
kibao! Tazama mifugo kwa maelfu kula mazao kilio kikubwa
vijana na wazee.

Walikohamisha wananchi kuwalipa fidia ili Kidunda Dam
ijengwe kwa mkopo wa World Bank, wakapima viwanja
wanaotakiwa kuhama waende huko baada ya kulipwa
fidia-wamehamia na mifugo kibao hizo surveyed new plots hao
wafugaji. Kaangalie irrigation system GVT and donor
supported na nyingine constructed na JWTZ kwa
tender-kwishnia zimechakachuliwa na maelfu ya mifugo. Hapa
maana yake nini-Tumia JTK, JWTZ Piga tu kwani hakuna
asiyefahamu umuhimu wa Maji na kilimo ba ufugaji bora
kufanyia makusudi wengine. Jana ITV inawaonyesha wafugaji
Longido wakilalamikia wanyamaporikufunguliwa kuachwa kuja
kula mazao yao wakiitaka serikali ichukue hatua madhubuti!?!
Hapa ndipo mwandishi wa habari Uchwara atakapokimbilia
anajua politics of popularity zipo hapa. Daima hawatoandika
ukweli kuelimisha jamii na taifa-wataandika kuhusu uonevu tu
sio kuangalia poande 2. Kumbe inapokuwa ni JWTZ tunajua
sheria tunaogopa, inapokuwa uraiani fanya utakavyo hata kama
tunajua sheria. Sasa politics of the belly and popularity
zitaisha jeshi litakapotoa kisago. Au tuwape watawale kidogo
miaka 5 ya Magufuli halafu ndio mitanoiliyobaki bunge
liendelee kawaida. Anyway-Kagame anakuja July 1 atatusaidia
mikakati.

Ninasisitiza-curriculum ya wanahabari ifanyiwe ukaratabi.
Akasome vyuo vinavyotoa degree za specializationza sector
apendayo halafu ndio aende kwenye uandishi habari au vyuo
viunganishe na uhadishi wa habari kwa kila degree. Kama ni
fisheries-iwemo; environment, socio-economic, chemistry,
ecology, forestry etc iwe na specialization ya uandishi wa
habari pia. Degree ya Habari isiwe isolated na chuo chake
pekee uncless wanafundisha na hizo specialization. Kiwango
cha mwisho cha kuingia kusomea habari kiwe form 6 sio std7
au form 4.

Hii culture ya kupenda kulaumu, maandamano, misifa, vurugu
bungeni iishe. Ndio maana tuna kila kitu nchini lakini tupo
nyuma kimaendeleo. Tuna mfumo mzuri wa LGA kuanzia balozi,
serikali ya mtaa hadi kitaifa na vijijini mfumo safi ambao
tungekusa serious mambo mengi ya kijinga tungeyasawazisha na
kuyaondoa. Lakini  sasa tumeingia culture ya visasi,
kukomoana, kuviziana na kuuana. Kila siku tunarudi nyuma tu.
Kuna nchi hazina sera, sheria, mikakati kama yetu na mila
ipo juu. Sisi utawala huu wa demokrasia tumeujaza ubinafsi,
politiking, misifa ya kuonekana daily ktk TV unaongea
kulaumu tu huku mwenyewe una miliki ardhi ya mamilioni
umeichukua wewe ya mamlaka ya serikali; demokrasia
usipochaguliwa chama hiki-unahamahama kila kona mpaka upate
uongozi na ukipata-kwenye vyombo vya habari uchao. Na sasa
ndio tupo kwenye kionyesho cha wana Siasa-Mfungo wa Mwezi
Mtukufu! Kila mmoja sasa nikujionyesha. Lisha hapa kwa
mamilioni na lishe pale, toa zawadi hapa!? Mla mla leo kesho
atakula nini? Mbona mihela hiyo ingetumika kuwajengea mradi
wa kuzalisha mali, au jiko bora na mabweni mazuri na vyoo
watoto yatima, wazee wangekuwa mbali na hata kuwa na misingi
ya kujitegemea? sasa ni kula, kula, kula, zawadi, kula!?
Badala ya kufanya party ya mwaka ya vilema kwa
millions-chukua shamba pori mtumie Mchechu ajenge nyumba na
infrastructure nzuri, weka power tillers, drip irrigation,
wape mbegu, vifaa, weka restaurant, crop storage facilities
na cold storage na cold storage vehicles za kusafirisha
mazao ndani na nje ya nchi. Ondoa mijibaba mitapeli mjini
kaifungie huko-JWTZ iwazoe hao madalali na weka eneo maalum
ya hao wasiojiweza. Tuone tulivyo! Haya yote hatuyaone ila
ni mamilioni ya zawadi na lishe kila sikukuu za kidini na
kitaifa kisha-wanabaki kama jana na wajanja kuwaibia hizo
zawadi. Jeshi la Ujenzi tunalo wa nyumba, madaraja na mifumo
mingine mbalimbali. Wanafunzi wa ujenzi wapo for field
practice.

Waandishi wa Habari hawapo kuelimisha jamii namna hii!. Sasa
hapa ni Kazi tu-Piga!!
Kama Kawa

--------------------------------------------
On Thu, 23/6/16, 'Reuben Mwandumbya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

Subject: Re: [wanabidii] MWANDISHI WA HABARI ZA WIZI WA
KIFARU:
To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, 23 June, 2016, 7:55

Hilda;Sidhani
kama Jeshi litaitaji fidia ya fedha katika suala hili,
mana
kwanza itakuwa fedhea kwa Jeshi.Hapa
Jeshi linataka kushikisha adabu Makanjanja wa hiyo
fani,wanaandika tu ili choo kiendelee kunuka kule
nyumbani,haiingii kwa akili kuona mtu anazusha issue kama
hiyo bila hata yeye kwanza kuweza kufikiri hata kidogo tu
kwamba what next?Ni ulofa tu.
Sasa
hapa mtu akiwa matatani unafail kumuonea huruma, ndipo
hapo
Mh. Pinda alisema 'wapigwe tu'.  Reuben

     On Thursday, June 23,
2016 6:10 AM, J L Kamala <jlkamala@gmail.com>
wrote:
   
  Sio upuuzi kweli?
Kama unakubaliana na watukanaji wale, niambie tendo moja
tu
la kibwege lililofanywa na rais wetu tudhibitishe.
Vinginevyo unashadadia lisilokuwepo na rais wetu ni kichwa
kizuri tu. Yalobakia na chuki zako mwenyewe
On Jun 23, 2016 6:06 AM,
"J L Kamala" <jlkamala@gmail.com>
wrote:
Unafahamu kweli maana ya neno bwege? Unajaribu
kukubaliana na yule mtukanaji kwa kuwa rais wetu sio
brilliant? Kinyume cha brilliant ndo bwege? Unamanisha
watz
tulimchagua asiye brilliant?
Hayo maneno yakasemwe na wengine wakiwa
kwingine na sio kusemwa na watz ndani ya ardhi ya TZ. Hugo
Chavez alipimwita Bush shetani si aliamriwa kuondoka
marekani??? Au unamaanisha marekani marais wanatukanika na
kunyamaziwa????
Mkapa kuwaita wapumbavu ilikuwa sahihi
kabisaa na inaweza kudhibitishwa kisayansi. Yaani watu
waliotwambia kila aina ya meneno kwamba mwana CCM Fulani
ni
jizi jambazi lisilofaa hata kuishi alipokatiza mpaka na
kwenda kwao akawa mgombea na mpiga kampeini mkuu, Joshua
wa
kutuvusha nk huo unaweza kuufananisha na nini zaid ya
alichokiita mkapa?
Lile la wabunge wa ukawa kuingia bungeni kila
siku na kutoka unaweza kulifananisha na nini? Kwanini
wasikae tu kwao wakaja tu siku zile ambazo wasiompenda
hayupo?
On Jun 23, 2016 5:37
AM, "Emmanuel Muganda" <emuganda@gmail.com>
wrote:
J Kamala,With ushoga umekwenda too far.
Lakini tukiwa na rais brilliant kwa nini iwe sawa kusema
hivyo na tukiwa na rais kilaza au bwege
tusiseme?Hii mentality ya umungu mtu mimi si
subscribe kabisa. Rais ni binadamu na binadamu wako wa
aina
zote. Kwani Mkapa alipotuita sisi wapumbavu na
malofaalivunja sheria gani? Na tukimgeuzia kibano
je, kwa nini iwe kufuru?em
2016-06-22 22:17 GMT-04:00
J L Kamala <jlkamala@gmail.com>:
Muganda.
Watamchngia nini kwani umeshajua hukumu yake?
Ushajua atashitakiwa kwa sheria ipi? Vipi kama hukumu yake
ni jera na faini kwa pamoja nani atamchangia?
Nchi zilizoendelea naziwe huru hivyo. Lkn
huwe tu wazi kwamba kumwita mkuu wa nchi bwege ni zaidi ya
kufuru na haivumiliki hata kidogo hata ingekuwa serikali
ya
Mwl Nyerere. Kama kwenye nchi zenu hilo ni sawa basi
lifurahie tu ila kaa ukijua lililosahihi marekan sio
sahihi
Tanzania . usijekuanza kutetea aushoga na mashoga kwakuwa
marekani sio kosa kisheria kuwa shoga. Be careful with Tz,
we don't consume every matapish from that country.
Ndaki. Wanaharakati wako ukawa so usitegemee
wamtetee huyu mama wa CCM.
On Jun 23, 2016 3:24
AM, "Emmanuel Muganda" <emuganda@gmail.com>
wrote:
Elisa,Snowden alivunja sheria za
Marekani. Na yeye anajua hilo na ndiyo sababu alikimbia.
Lakini kilichompelekea kufanya alichofanya ni kwamba
aliona
maslahiya the big picture. Huyo aliyemwita
Magufuli bwege kwa nchi za wenzetu waliobobea katika
demokrasia hajafanya kosa lolote. Alikuwa akitoa maoni
yake
mwenyeweambayo anaruhusiwa kwa mujibu wa kanuni
za haki za binadamu.em
On Wed, Jun 22, 2016 at
3:06 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Snowden
Mkimbizi. Kama hakuna jipya yuko urusi. Kwa nini
amekimbia?
katofautiana na serikali yake. Kwa nini serikali yake
isisemwe kusababisha mtu kukimbia kama zinavyosemwa
nyingine? Ni kwa sababu hakuna la kusema au kwa sababu ni
Marekani? Huyu aliyemwita Magufuli Bwege alichangiwa na
'wasamaliamwema' ambao wanatetea uhuru wa habari
japo hawakumuona Snowden. Nikawahimiza kuwa waqwe tayari
kumchangia kucha na meno huyu aliyezua la jeshi kuibiwa
kifaru maana anahitaji to undergoe a strenous interogation
inayolingana ka aina ya uzushi

--------------------------------------------

On Wed, 6/22/16, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] MWANDISHI WA HABARI ZA WIZI
WA KIFARU:

 To: "wanabidii@googlegroups.com"
<wanabidii@googlegroups.com>

 Date: Wednesday, June 22, 2016, 9:53 PM

 Elisa, Snowden yuko huru. Mwandishi

 atachangiwa na gazeti lake. Yule aliyemwita Magufuli
bwege

 hakuwa na gazeti.em

 On Tue, Jun 21, 2016 at

 11:52 PM, 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>

 wrote:

 Nimesoma kuwa kuna watu wamemchangia mtu
aliyehukumiwa

 kulipa fine ya milioni saba kwa kutumia mtandao
kinyume cha

 sheria na kumkashifu rais. Napenda watu hao wawe
tayari

 kumchangia kucha na meno mtuhumiwa aliyeandika habari
za

 wizi wa kifaru. Na kama interogation haitamfikisha
hapo (Pa

 kupata msaada huo) itakuwa haijakamilika. Hatuwezi
kuvumilia

 watu kutetea uhuru wa kupata habari kufikia
kuwavumilia watu

 kama hawa. Ninashangaa kwa nini na Snowden(?) yule
mwandishi

 wa Marekani aliyetoa habari za siri hajachangiwa au
watetezi

 hawa hawajaandika kumtetea.

  --

  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

  Kujiondoa Tuma Email kwenda

  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com

   Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

  Disclaimer:

  Everyone posting to this Forum bears the sole

 responsibility

  for any legal consequences of his or her
postings, and

 hence

  statements and facts must be presented
responsibly.

 Your

  continued membership signifies that you agree to
this

  disclaimer and pledge to abide by our Rules
and

  Guidelines.

  ---

  You received this message because you are
subscribed to

 the

  Google Groups "Wanabidii" group.

  To unsubscribe from this group and stop
receiving

 emails

  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

  For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

 Utapata Email ya

  kudhibitisha ukishatuma

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to
this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed
to the

 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving

statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to
the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment