Wanyonge wanajua waliowanyonga. Kupitia Richmond na kwingine. Wanajua waliowanyonga kupitia safari za nje. Wanyonge wanajua Magufuli anachokifanya. Kuwasemea wakati mwingine ni kujisumbua
--------------------------------------------
On Thu, 6/23/16, 'Dominick Rukokelwa' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Subject: Re: [wanabidii] JINSI DR MAKUFURI ANAVYOWAKANDAMIZA WANYONGE
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, June 23, 2016, 3:48 PM
Sisi
wanyonge tuna hakika Dr Magufuli ni mtetezi
wetu.
On Thursday, June 23,
2016 12:24 PM, 'Mike Zunzu' via Wanabidii
<wanabidii@googlegroups.com> wrote:
On Wednesday, 22 June
2016, 22:44, Lemburis Kivuyo <lembu.kivuyo@gmail.com>
wrote:
Suala
la wafanyakazi hewa!! naguna
Wewe unawekewa miaka yote pesa ukijua si
yako ni lazima urudishe tena na interest
Tusipinge tu kila kitu
Mkapa alipoingia 95
ilituchukua miaka mitano ya UKAPA lakini baadaye uchumi
ukatengemaa kabla haijayumba tena wakati wa JK
Safari ya mabadiliko bado ni pevu kuliko
tunavyofikiri
- LP Kivuyo
Business and IT Consultant
+255755646470,
www.kivuyo.com
2016-06-22 20:57 GMT+03:00
'ipyana75' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Rioba;
Binafsi ninachoweza kusema kutokana na andiko
lako ni kwamba umewahi mno kutoa comments hizi.
Suala la uchumi sio la siku au mwaka mmoja.
Kuwa mvumilivu tutaona tu,uongozi wa JK
unaozungumzia hapa ni wa miaka 10 na JPM hajamaliza hata
mwaka.
So which parameters are concerned in
your comparison if time is not considered?
Reuben
Sent from my Huawei Mobile
'Gikaro Ryoba' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:
Mnaodhani
kuwa Dr Makufuri ni mtetezi wa wanyonge (kama anvyojinukuuu
mara kwa mara)
mnapaswa kutafakari upya. Tangu Dr Makufuri alipoingia
madarakani amefanikiwa
kukanyaga haki mbalimbali za raia pamoja na kufanya maisha
ya mamilioni ya
watanzania wa kawaida yawe magumu zaidi kuliko ilivyokuwa
katika utawala wa Dr
JK. Kuna baadhi ya maamuzi ya kikandamizaji ninayoweza
kuyakumbuka ambayo madhara
yake yamewaumiza wananchi huku wanafiki na wachochezi
wachache wakichekelea
wakati wanajua haki za msingi za wananchi
zimekanyagwa:*KUINGILIA MFUMO
WA BIASHARA HURIANi
dhahiri mfumo wa uchumi wa sasa ni wa BIASHARA HURIA –
kwamba upatikanaji wa
bidhaa (supply) na na mahitaji (demand) ndio huamua bei
(price). Kazi ya
serikali sio kufanya biashara ila kazi yake ni kurahisisha
mazingira ya
biashara na kukusanya kodi. Lakini tumeshuhudia Dr Makufuri
akizuia uagizaji wa
sukari (intentional supply disruption) na kusababisha
upungufu mkubwa wa sukari
ambayo sasa huuzwa kati ya Tsh 6000 kwa kilo badala ya bei
ya Tsh 1200 ya
awali. Kwa lugha nyepesi naweza kusema uamuzi huu umekuza
ugumu wa maisha ya wanyonge
kwa 400% . Tazama sasa jinsi maamuzi ya mtu mmoja
yanavyoweza kuathiri maisha
ya mamilioni ya watanzania.*KODI YA MITUMBA,
NYUMBA ZA KUPANGA, ATM NA MIAMALA YA
SIMUKodi
hizi zimelenga kuwaumiza wanyonge moja kwa moja. Viwanda vya
nguo vya hapa
ndani havijatosheleza mahitaji ya nguo kwa watanzania wote.
Aidha, viwanda hivi
bado havijawa na uwezo wa kutengeneza aina mbalimbali za
nguo na imara kama za
mitumba. Wananchi sio wajinga hadi wang'ang'anie kuvaa
chupi na sidiria za
mitumba. Ni kwa sababu hakuna nguo mbadala zilizo maridadi
na imara kama
mitumba ndio maana wanaona ni afadhali waendelee kuvaa chupi
na sidiria za
mitumba. Viatu vya mitumba vimekuwa ni mkombozi wa wanyonge
kwa muda mrefu. Sasa
inabidi wananchi tujiandae kuvaa YEBOYEBO nyeupe na njano
zinazotengenezwa na
makanjibai wa hapa nchini.*Utozaji
wa kodi kwa wenye nyumba za kupanga ni msumali mwingine wa
moto kwenye kidonda
cha wanyonge. Asilimia 99% ya watanzania wanaishi kwenye
nyumba za kupanga.
Kodi hii itawaumiza watanzania wanyonge na ambao hawana
uwezo wa kujenga nyumba
zao za kuishi kwa sababu ya ugumu wa maisha unaowakabili.
Tutarajie baba wenye
nyumba kupandisha kodi za pango maradufu.
Hivyo, wapangaji wengi watashindwa kumudu kodi za pango na
kuishi chini
ya miti huku wengine wakikimbilia mapangoni kujihifadhi.
Naona kasi ya watanzania
kuanza kuishi mapangoni kama ilivyokuwa zama za kwanza za
mawe imewadia.
Tunatolewa kwenye maisha ya utu na kurudishwa kwenye maisha
ya kinyama!*Kana
kwamba hili halitoshi, bado mwananchi huyo huyo amebebeshwa
zigo la kodi ya
kutuma na kupokea fedha kwa njia ya simu na kupitia ATM.
Makampuni ya simu yote
nchini Tanzania yameongeza gharama za kutuma na kupokea
fedha kwa njia ya simu
na tayari marekebisho hayo yameishasambazwa kwa mawakala
wote. Nimebahatika
kuona nakala hiyo ila nilishindwa kuipiga picha na kuiattach
humu kwa sababu
simu yangu feki imefungiwa na TCRA. Naomba mdau yeyote
atakayeipata nakala hiyo
aipige picha na kuitupia humu ili kila mtanzania aangalie
maumvivu atakayopata.
Na bado.....mabenki nayo yataongeza gharama za kuchukua
fedha na kuangalia
salio very soon....stay tuned.....tuko pamoja katika maumivu
haya hadi mwisho
wa dahari! Tutarajie ukabaji na uporaji wa fedha majumbani
kuongezeka kwa kuwa
sasa wananchi wataamua kutunzia fedha zao kwenye michago na
vibubu nyumbani
badala ya kuzihifahi benki au kwenye
simu.*KUVUNJA SHERIA YA
KAZIKwa
kisingizio cha kusaka wafanyakazi hewa, serikali ya Dr
Makufuri imesema
haitaongeza mishahara ya watumishi, imezuia upandaji wa vyeo
na uhamisho wa
watumishi kutoka kitengo kimoja hadi kingine
(recategorization) au kutoka mwajili
mmoja hadi mwajiri mwingine ambao atalipwa mshahara mkubwa
kuliko ule wa sasa.
Aidha, serikali imezuia ulipaji wa nauli kwa watumishi
wanaoenda likizo au
wanaostaafu. Kwa maana hiyo ni kwamba serikali imeaumua
kuendesha nchi bila
kuzingatia sheria za ajira. Hii ni hali ya hatari
sana.*WAFANYAKAZI
HEWASerikali
imeanza kuwakamata baadhi ya watumishi wanaosadikiwa kuwa
"wafanyakazi hewa" na
kuwalazimisha kulipa fedha zilizongizwa (na mafisadi) kwenye
akaunti zao.
Inakuwaje mtumishi amestaafu lakini bado SERIKALI inaingiza
fedha kwenye
akaunti yake halafu leo serikali hiyo hiyo inakuja kumkamata
na kumfungulia
mashtaka? Na kibaya zaidi kuna baadhi ya watumishi ambao
fedha zimeingizwa
kwenye akaunti zao na kuchukuliwa na mafisadi walioziingiza
pasipo mwenye
akaunti kujua. Kwanini hao mafisadi waliongiza fedha kwenye
akaunti hizo wasichuliwe
hatua badala yake wananchi wanyonge wasiokuwa na hatia ndio
wananyanyaswa? Na
je, mbona hatujasikia wale mabingwa wa kuchomekea
wafanyakazi hewa wakikamatwa
mpaka leo hii wakati wameitia serikali hasara ya mabilioni
ya shilingi? Kwanini
wahusika wanaachwa lakini wasiohusika wanaandamwa kila
kukicha?*UKOSEFU WA FEDHA
MTAANI
Kufuatia
"ubanaji wa matumizi" unaofanywa na serikali ya
Makufuri, mzunguko wa fedha
umepungua sana hapa mtaani na kupelekea mfumuko mkubwa wa
bei za bidhaa muhimu
kwa wananchi. Ukosefu huu wa fedha umeongeza ughali wa
maisha kwa wanyonge,
hivyo kushindwa kumudu gharama za maisha. Wananchi wamekata
tama kabisa ya
maisha na wanajuta kuzaliwa katika nchi hii ya
Tanganyika.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 comments:
Post a Comment