Thursday 30 June 2016

Re: [wanabidii] MATAMSHI YA LISU: MADAKTARI WA MILEMBE WALITOA KWA LUSINDE SIRI ZA MGONJWA?

Hivi kweli watu wazima na akili zetu kuna haja ya kujadili hoja hii?? Kweli?? Mungu apishe mbali!

   Idriss

On 1 Jul 2016 01:40, "'Lesian' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Mm nahis unaeshabikia maneno ya mh lusinde utakua kilaza kama alivyo huyo jamaa duh, huwez kumfananisha mh lissu' genoius na nguvu wa sheria na lusinde form four failure kwakua tu ni wanasiasa,wamezidiana hata ktk hoja lusinde hanaga jipya ni ku attack wenzake tu with poor logic za kuokoteza ......so kama nawe mzee elisa unashabikia hizo kashfa za kilusinde una shida kichwani

'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

>Lea mjadala independent. Tutaujadili kupitiliza kwake na tuone kama unazo habari zangu toka kwa madaktari
>--------------------------------------------
>On Thu, 6/30/16, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com> wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] MATAMSHI YA LISU: MADAKTARI WA MILEMBE WALITOA KWA LUSINDE SIRI ZA MGONJWA?
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Thursday, June 30, 2016, 12:21 PM
>
> Elisa na
> wewe uliyoyasema kuhusu Tindu Lissu yanapitiliza. Je, na
> wewe mfumo wako wa kufikiri una matatizo na pia una faili
> Milembe?
>
> 2016-06-30 12:01 GMT+03:00
> 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
> Mpejirani
> yako atakwambia ninacholenga! Si kosa kutokiona maana kama
> hakiko wazi kiko ndani.
>
> --------------------------------------------
>
> On Thu, 6/30/16, Atu Mwangomale <acanemwango@gmail.com>
> wrote:
>
>
>
>  Subject: Re: [wanabidii] MATAMSHI YA LISU: MADAKTARI WA
> MILEMBE WALITOA KWA LUSINDE SIRI ZA MGONJWA?
>
>  To: wanabidii@googlegroups.com
>
>  Date: Thursday, June 30, 2016, 11:38 AM
>
>
>
>  "Hoja na haja yangu ndogo
>
>  ni kujadili kama Madaktari wa Hospitali ya Milembe
> wametoa
>
>  siri za mgonjwa kwa Lusinde? Nini implication yake kwa
>
>  kuzingatia kuwa mgonjwa mwenyewe ni mwanasheria nguli
>
>  nchini"?
>
>  Elisa, unataka
>
>  tujadili kweli au unatania? kitu gani cha maana hapa
> cha
>
>  kujadili?
>
>  2016-06-30 10:39 GMT+03:00
>
>  'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
>
>  Baada ya
>
>  matamshi tata fulani ya Tundu Lissu Mbunge wa Mtera
> Lusinde
>
>  alitoa matamshi mengine ambayo wengi tuliyachukulia
> kama
>
>  mizaa ya kisiasa. Lusinde alisema Tundu Lisu ana file
>
>  Milembe. Milembe ni hospitali maalum kwa wagonjwa walio
> na
>
>  matatizo katika  mifumo yao ya akili. Kwa kawaida
>
>  watqnzania wanaichukulia kama hospitali ya vichaa.
> Kitaalamu
>
>  sio lazima mtu awe kichaa ndiyo ahudumiwe Milembe
> lakini
>
>  vichaa na matatizo mengine ya mifumo ya akili.
>
>
>
>  Moja kati ya njia za kutambua matatizo katika mifumo ya
>
>  akili ni matamshi. Sio mpaka kuvua nguo. Matamshi
>
>  yaliyopitiliza au yasiyoendana na mazingira ni dalili
> za
>
>  matatizo katika mifumo ya akili.
>
>
>
>
>
>
>
>  Kuanzia Bunge Maalaum la Katiba Tundu lisu amekuwa
> akitoa
>
>  matamshi yanayopitiliza. Mfano hai ni Matamshi ya Lisu
>
>  kuhusu Baba wa Taifa. Matamshi yake hayakutosha
> kufikiri
>
>  kuwa Lisu ana file Milembe ndiyo maana Lusinde
> aliposema
>
>  Lisu ni mgonjwa wa akili wengi tulimpinga na kusema
> ametia
>
>  chumvi katika kumtathmini Lisu. Kuanzia hapo
> ufuatiliaji
>
>  umekuwepo na kwa kweli matamshi ya Lisu kuhusu kiongozi
> wa
>
>  Taifa (Rais) majuzi, yamedhihurisha pasipo mashaka kuwa
>
>  mfumo wa ubongo wa Tundu Lisu unaweza kuwa na matatizo,
> kwa
>
>  hiyo si ajabu kukuta ana file katika Hospitali ya taifa
> ya
>
>  wagonjwa wa akili. Hoja na haja yangu ndogo ni kujadili
> kama
>
>  Madaktari wa Hospitali ya Milembe wametoa siri za
> mgonjwa
>
>  kwa Lusinde? Nini implication yake kwa kuzingatia kuwa
>
>  mgonjwa mwenyewe ni mwanasheria nguli nchini?
>
>
>
>  Elisa Muhingo
>
>
>
>
>
>
>
>   Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
>
>
>
>
>    
>
>
>
>
>
>
>
>   Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>
>
>
>
>
>
>   wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
>
>  Utapata Email ya
>
>
>
>   kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
>
>
>
>
>    
>
>
>
>
>
>
>
>   Disclaimer:
>
>
>
>
>
>
>
>   Everyone posting to this Forum bears the sole
>
>  responsibility
>
>
>
>   for any legal consequences of his or her postings,
> and
>
>  hence
>
>
>
>   statements and facts must be presented responsibly.
>
>  Your
>
>
>
>   continued membership signifies that you agree to this
>
>
>
>   disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>
>  Guidelines.
>
>
>
>
>
>
>
>   ---
>
>
>
>
>
>
>
>   You received this message because you are subscribed
> to
>
>  the
>
>
>
>   Google Groups "Wanabidii" group.
>
>
>
>
>
>
>
>   To unsubscribe from this group and stop receiving
>
>  emails
>
>
>
>   from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
>
>
>
>
>
>
>   For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>
>
>
>
>
>  --
>
>
>
>  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>
>
>
>
>
>
>  Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
>
>
>  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
>
>  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>
>
>
>
>
>
>  Disclaimer:
>
>
>
>  Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility
>
>  for any legal consequences of his or her postings, and
> hence
>
>  statements and facts must be presented responsibly.
> Your
>
>  continued membership signifies that you agree to this
>
>  disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>
>  Guidelines.
>
>
>
>  ---
>
>
>
>  You received this message because you are subscribed to

> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails

> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya

>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment