Wednesday 29 June 2016

Re: [wanabidii] demokrasia kitanzini

Kuna neno tunalisahau kuliandika na kila tunapolisahau maana inabadilika sana. Alisema ''Siasa za ===== mpaka 2020''. Neno hilo tunapoliacha maana inakuwa nyingine na Magufuli anaonekana anakandamiza demokrasia.
Ninafikiri kwa vyovyote vile demokrasia inapaswa ''kutufikisha kwenye lengo''. Kinyume chake hiyo demokrasia hatuitaki na anayeitaka tumshughulikie.

Vyama vya upinzani viliikamia serikali kuendekeza ufisadi, rushwa na kutokusanya kodi. Hii ikaleteleza watu kuunga mkono upinzani.
Sasa tumempata rais anayashughulikia hayo. Wapinzani wanaamua kumpinga. anajitahidi kubana matumizi. Wao wanataka wende bungdni kujadili mambo yanayochelewesha tunakokwenda. Wanagoma kuingia bungeni na kufikiri watanzania tutawaunga mkono kuchelewesha kujadili mambo ya maendeleo. Kuwashughulikia eti ni kuminya demokrasia??? katrika kuimarisha dmokrasia ambayo haichangii maendeleo yetu twaweza kuivumilia kama haituzuii kusonga mbele.
Ni muhimu wanaotetea demokrasia watwambie kukosa hilo taifa limekosa nini. Mfano Bajeti ya serikali imejadiliwa na kusahihishwa kwa michango ya wabunge wa upande mmoja. Tumepungukiwa nini kwa kuipitisha bajeti hiyo? Kinyume chake watu wengine watarajie kuwa upinzani utaandaliwa kwa njia nyingine kama hii imetunyima upinzani huo
Elisa
--------------------------------------------
On Mon, 6/27/16, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] demokrasia kitanzini
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, June 27, 2016, 9:31 AM

The fact is that
democracy in Tanzania is on test. Baadhi ya watu wanadhani
maendeleo na demokrasia are incompatible. Mfano, ni nini
maana ya kusema siasa mpaka 2020 na wanaotaka kufanya
mikutano wanazuiwa? Wanazuiwa kuhoja baadhi ya mambo bungeni
na nje wanazuiwa kufanya mikutano ya hadhara wakati katiba
na sheria ya vyama vya siasa 1992 inawapa haki ya kufanya
mikutano sehemu yoyote ya Jamhuri ya Muungano.
On Sat, Jun 25, 2016
at 9:01 PM, De kleinson kim <dekleinson@gmail.com>
wrote:
By
the way, ni ushauri. anaweza kuuchukua au kuuacha, Hatuna
mamlaka

yoyote juu ya maamuzi yake



--

*"Anyone who conducts an argument by appealing to
authority is not using

his intelligence; he is just using his memory." Leonardo
daa Vinci

*



--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma



Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.






--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment