mashirika yaliyoanzishwa kwa madhumuni ya kuhifadhi au kuendeleza imani au maslahi yake au maslahi mengineyo." Bila kuendelea mbele zaidi, aliyosema Rais yanapingana na Katiba, ambayo ameapa kuilinda. Na nirudie kusema, bila kuwa na upinzani kuikosoa serikali pale inaposhindwa kutekeleza majukumu yake (kuwaletea wananchi maendeleo) seriali itaenda kivyake. Kwa kawaida kama mtu hakosolewi, ataanza kuenda kivyakevyake maana hakuna wa kumwambia kitu. Siasa za "serikali kwenda kivyakevyake" umeanza kuonekana - zilianza kutoonyesha bunge live, sasa kuzuia mikutano ya vyama vya siasa... na hii haitaishia hapa...!
Hivi ni nchi gani duniani au nchi zipi ambako viongozi wake ni watu wa kukalia siasa, maandamano, mikutano nk. Ni wakati gani wawakilisha wa wananchi wanapata fursa ya kwenda kwenye majimbo yao baada ya vikao vya bunge ili kuona maeneo gani yana hitaji usimamizi wa karibu wa wahe wao. Lakini pia ni jambo la kushangaza wengi wetu huwa hatusikii mabomu ya kilinda katika miji kama moshi mjini kutokana na viongozi wa siasa. Ila ni miji ya mwanza, kahama nk ambako ndiko kunageuzwa majalala ya endless politics. Nawaza tu, sipati jibu. Why?
Sent from my Huawei Mobile
Abdallah Khamis <abdallahkhamis2009@gmail.com> wrote:--Kauli ya Rais ya Kuzuia Vyama vya Siasa Kufanya Shughuli za Siasa kwa Miaka Mitano ni Tangazo la Vita dhidi ya Demokrasia na Mfumo wa Vyama vingi Nchini
Tumepokea kwa MSHTUKO na masikitiko makubwa kauli ya Rais kwamba vyama vya siasa havipaswi kufanya siasa isipokuwa wakati wa Kampeni na kupitia bungeni. Kimsingi kauli ya Rais ni kauli yenye nia ya kuvunja Sheria ya Vyama vya siasa inayolinda uwepo wa mfumo wa vyama vingi na kuhimiza vya vya siasa kufanya shughuli za siasa katika msimu wote ili kuthibitisha uhai wao.
Tunaichukulia kauli ya Rais kama tangazo la vita dhidi ya demokrasia na uhai wa vyama vingi nchini. Chama chetu kitaitisha vikao vya dharura kujadili hali ya siasa nchini na namna ya kukabiliana na mashambulizi yanayoendelea dhidi ya demokrasia nchini mwetu.
Tunatoa wito kwa vyama vyote vya siasa vinavyoamini katika misingi ya demokrasia nchini kukutana haraka na kujadili namna ya kuunganisha nguvu pamoja katika kupigana vita mpyaya kulinda demokrasia nchini mwetu.
Aidha, tunatoa wito kwa wananchi wote na taasisi za kiraia kusimama imara katika kulinda demokrasia. Tunasisitiza kuwa ushahidi wa kisayansi duniani kote unaonyesha kuwa huwezi kuua demokrasia bila kuua juhudi za maendeleo. Tusiruhusu mtu yeyote mwenye mamlaka kuua demokrasia nchini mwetu.Hatua zozote za kuua demokrasia ni kuua Umoja, Amani na Mshikamano wa wananchi na Taifa, ambayo ndiyo misingi ya maendeleo ya nchi yetu kijamii, kisiasa na kiuchumi. Tunatoa wito kwa wananchi wote kushikamana na kusimama imara katika kipindi hiki kigumu ili kulinda demokrasia.
Kiongozi wa Chama, ACT Wazalendo
Alhamisi, 23Juni 2016.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
--

0 comments:
Post a Comment