Kwani wale failure sio vilaza? Siwalifeli?
Lessian
Najua wewe mapenzi yako ni kwa mtu wala siyo chama. Record zako zikohapahapa.
Kwanza ongelea namna gani kuna demokrasia huko kwenye vyama vinavyolilia demokrasia. Ole medeye kashatuonyesha. Mpendazoe kashatuonyesha.
Aidha bila hoja upinzani imekuwa ni kelele tuuuuOn 24 Jun 2016 07:26, "'Lesian' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:--Bro muganda come down ndg yangu, usiwatukane wasamehe
Hawa vijana kama kina ludo, naonaga kama ni vibaraka flan na wkt mwingine wanaandika ovyo tu kinachokuja akilin mwake, ni wengi humu utadhani vichwani mwao kuna tope......
Nashaur achana nao,endelea na mambo yako, siasa za hapa ni za kutafutiana kashfa za kuforce nandio maana hata kiongoz akikamata madaraka hata kama akifanya vitu vya ovyo ilmradi tu ni chama tawala watu wamwone poa, lazima tupinge, suala la kuua demokrasia ili kujifagilia 2020 hakuna chama hata kimoja kitakua tyr kukubali watu watakomaa nao .....siasa lazima ifanyike as long as mtu ni mwanasiasa....
Ukitaka kujua ujinga juz nikawa nashanga police wameamriwa vijna woote wa chadema wanograduate na kupewa vyeti na viongozi wao walipe
Ekewa police na mbwa ilhali kule iringa walikua wanafanya the same business vijna wa ccm wakiwaalika wazir wa uhusiano wa kimataifa na ma dc 2 pole pole na kasesera...wao wakaambiwa ruksa.....where is fairness......
Bungeni nako madudu matupu.....ccm hata wakomae vipi 2020 wataondoka
Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:Ludo,Acha uongo na upumbavu. Nipe nukuu hata moja tu hapa kwenyre jamvi ambapo umeona nashabikia mambo ya mashoga. Pumbavu sana wewe.em--2016-06-23 15:53 GMT-04:00 Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com>:Muganda anapenda sana mambo ya mashoga. Ndiyo demokrasia. Yule ndugu yake kwenye kasaccos haoni udikteta anaofanya. CHADEMA wakiulizwa sababu ya udikteta wao watakwambia usipofanya hivyo CCM wataingiza mamluki. Kwa CHADEMA udikteta sawa, kwa wengine nongwa. Huyu anazeeka vibaya
On 23 Jun 2016 19:55, "'salhabakari' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:--Wee Kamala si bendera tu fata upepo. Inaonekana unamind sana ushoga. Wapi Muganda ameongelea ushoga? .
SBOn Jun 23, 2016 7:05 PM, J L Kamala <jlkamala@gmail.com> wrote:Mwisho wa siku magufuri ndio rais wa Tanzania tena mwenye nia njema. Tukaneni muwezavyo will change nothing than kusonga mbele. Hao walimu wenu wa demokrasia ya haki za mashoga waambie wakaenazo huku ni heshima kwa wakuu wetu. Kusema kuwa rais hajiheshimu kwa kuwaagiza polisi kunyofoa matairi ya wavunja sheria shauri zako. Sheria zivunjwe kisa wavunjaji wanalipa Faini sasa wakomeshwe. Au hujui presidential decree ninini? Nasisitiza lazima tuburuzwe kwanza ndo tutatia akili. Marekani unakokusifia huwakuanzaga hivyo. Ni stage
On Jun 23, 2016 6:57 PM, "Emmanuel Muganda" <emuganda@gmail.com> wrote:Unadhani interpol hawana kazi? Hawawezi kunifuata sijavunja sheria ya kimataifa na wala sijavunja sheria ya Marekani. Kama ni kumwita bwege mbona ameshaitwa?You want me to re-invent the wheel? Kule kwetu kama mtu mzima hajiheshimu ni ruksa kumtusi tu. Kama rais anatoa ushauri wa kibwege kuwa polisi waondoe matairi kwenye magari yanayovunja sheria huyo hana jina jengine linalomfaa. Na Tanzania nitakuja tu ni nyumbani kwetu. Hamuwezi kunifungia akili zangu na mtazamo wangu. Actually si ubwege tu kuna element pia ya u con artist.em2016-06-23 11:50 GMT-04:00 J L Kamala <jlkamala@gmail.com>:Tamka basi kuwa ni bwege harafu ufie hukohuko au ufuatwe na Interpol. Sio political brilliant kwahiyo ni political nini sasa? Tamka ukomeshwe. Udikteta unashida gani kwa Tanzania ya sasa? Mbona Nyerere alikuwa na chembe za udikteta lkn alifanya vizuri tu? Magufuri anapaswa kuwa dikteta zaidi ya hapo ili twende.
Hawezi kuendeleza nchi hii wakt muganda anataka tumwone sio brilliant kama Obama. Soma historia ya mataifa yako hayo ya marekani uingereza ujerman uchina nk uone yalivyopitia udikteta wa hatari ili yaweze kupiga hatua zilizopigwa. Demokrasia inakuja baada ya maendeleo yanayotokana na udikteta wa kutisha ambao magufuri hawezi kuufikia kiurahisi
Angalia hata chadema inavyoendeshwa kidikteta kwa kutawaliwa na mtu mmoja wanaombishia akina zito slaa nk wanatimuliwa. Hiyo ndio demokrasia yetu. Unayoitaka wewe ipo hukohuko uliko kaanayo haitufai ya kufungisha mashoga ndoa hadharani na kuwatukana viongozi wenu
Kama umesahau ulikotoka shauri zako au unataka kuniambia kule kwenu mtoto anaweza kumtusi mtu mzima kama marekani kisa demokrasia. So demokrasia ya kigeni changanya ya kiafrika. Nchi gani imeendelezwa na manenomaneno?
Tuheshimiane kwanza
On Jun 23, 2016 6:26 PM, "Emmanuel Muganda" <emuganda@gmail.com> wrote:Kamala,Chavez alimwita Bush shetani ndani ya ukumbi wa Umoja wa mataifa. Hakuamriwa kuondoka Marekani. Hata Ahmedininajad wa Iran aliwaita Wamarekani na Wayahudi majina ya ajabu ajabu alipokuwa New York lakini hakuamriwa kuondoka Marekani. Kuna kitu tunaita freedom of speech na freedom of perception. Inaheshimika katika nchi zote zakidemokrasia na zenye kulinda haki za binadamu. Unaona shwari Mkapa akituita wapumbavu lakini inakuuma tunapomwita rais wako bwege. Ni kweli politically Magufuli sibrilliant. Sikiliza tu matamshi yake hadharani utabaini ana chembe za udikteta. Huyu ameshawaamuru polisi wavunje sheria eti wakikuta gari kwenye njia za mwendo kasi wang'oematairi yake na aambiwe gari lilikuja hivyo. Ameingilia utendaji wa mahakama. Yeye ni kila kitu kama village chief vile anaamulia kila mtu. Lakini rangi zake halisi zimedhihirika alipomwambia Kikwete asihofu madhambi yote aliyoyafanya serikali yake itamfichia. Huyo ndiye rais unayetaka kutuaminisha kuwa ni brilliant?em2016-06-22 23:06 GMT-04:00 J L Kamala <jlkamala@gmail.com>:--Unafahamu kweli maana ya neno bwege? Unajaribu kukubaliana na yule mtukanaji kwa kuwa rais wetu sio brilliant? Kinyume cha brilliant ndo bwege? Unamanisha watz tulimchagua asiye brilliant? <
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--

0 comments:
Post a Comment