Tuesday, 7 June 2016

Re: [wanabidii] HEKO BUNGE KUWAADHIBU WABUNGE WAHUNI

kwahiyo huo mkopo ndio umeshaliwa, nani atawajibika kulipa kama mtoto aliyekopeshwa hakumaliza masomo kwa kukosa sifa?

2016-06-07 5:31 GMT+03:00 isack mchungu <isackmn1965@gmail.com>:

Watu mweusi ni ndugu zangu lakini nawaogopa sana

On Jun 6, 2016 3:57 PM, "Atu Mwangomale" <acanemwango@gmail.com> wrote:
Hivi mgomo uliandaliwa? Hivi ni haki mwanafunzi wa miaka 18 kupewa masaa 24 aondoke halafu mtu anasema ni sahihi maanda uliandaliwa? nani asiyejua mazingira ya uchumi wa mtanzania? 

Magobe nakubaliana na wewe kabisa, BRN tumeitengeneza wenyewe na katika kutekeleza wajanja wakaingiza mambo yao. na kama unavyosema wizara ya elimu inahusika 100% na sote tunajua nani alikuwa waziri wa elimu na alipigiwa kelele mara ngapi? including za wizara kukosa mtaala wa elimu ya Msingi na Sekondari. watu walivyoleta hoja pia zilionekana hazifai? 

Kumbukeni sakata la UDOM kulikuwa na watoto ambao walikuwa wamefaulu vizuri ila wazazi wao walikubali watoto wao wasiende A- level iili wasome diploma wapate ajira. kwa akili ya kawaida mzazi mwenye uwezo atataka mwanae aende A-level ndivyo tulivyozoea.  lakini kulingana na uwezo wao wakaona waende huko kwanza!

Wangewafukuza wale ambao walikuwa hawafai kusomea hiyo course na ambao walilazimisha kuingia hapo na kuchukua mkopo na wakawaacha wanaostahili. Sasa sijui wanayojadili kwa ustaarabu sasa hivi  ni yepi, wakati hili ni muhimu kwa mustakabali ya taifa letu. 

Ushabiki huu nauogopa sana!

2016-06-03 12:00 GMT+03:00 Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>:
Elisa hapo wewe hujadili kitu 'with independent judgement'. Umesikia upande mmoja na tayari umeona ndio unaosema ukweli. 1). Una uhakika gani kwamba mgomo uliandaliwa na wale wanaowatetea wanafunzi ili baadaye waje kujadili bungeni? 2). Bunge ni 'principal organ' ya serikali kwa ajili ya kutunga sheria. Inabidi hata kama hoja imeletwa "kichochezi" (kama unavyodai) ionyeshwe ni kwa namna gani ilikuwa ya kichochezi ili hata wananchi waweze kuelewa. Lakini kufanya mambo kiimla na baadaye kusema yalikuwa ya kichochezi inatia shaka. 3) Siamini kama hoja zilizoleteleza wabunge watake mjadala huo zilikuwa za kichochezi maana siku sakata hilo linaanza walikuwa wabunge wa pande zote waliotaka hilo swala lijadiliwe. 4). Wapinzani wanapopinga au kukosoa kitu si lazima kiwe cha kichochezi. Unakumbuka mjadala wa katiba mpya na jinsi gani ilivyoonekana wapinzani 'walitaka sifa'. Wananchi wakaaminishwa hivyo. Lakini baadhi ya watu walianza kutafakari kuhusu katiba inayopendekezwa na kuona kama ni katiba mpya kweli na kuona si tofauti sana na iliyopo kwani yale mambo ya msingiyaliyotakiwa yaifanye iwe katiba mpya yaliondolewa kimaslahi pia. Je, tulifika wapi na huo mchakato ukilinganisha na investment iliyokuwa imewekwa? Je, wapinzani walikuwa wrong kupinga vipengele vilivyokuwa vinaondolewa kwa kufuata wingi wa kura na siyo uzito wa hoja? 5) Kwenye mchango wangu hapo juu nimegusia the 'BRN' - ambayo ilileteleza kupanua goli (kususha maksi) ili wanafunzi wengi wapate kufaulu na pia kuweka multiple choice kwenye mitihani ya hesabu na tuliaminishwa ndiyo mfumo unaotumika duniani. Leo inaonekana vyuo vimedahili wanafunzi wasio na sifa. Lilikuwa kosa la nani: la waziri la elimu, la vyuo husika au la serikali? Kwa hiyo, tunapojadili hoja fulani tuijadili kwa kuona pros na cons huku tukiwa 'neutral' na siyo kujadili kitu tukiegemea upande mmoja. Kinachotokea bungeni kinatuathiri wote na si kama wengine wanavyodhani kuwa kinawaathiri wapinzani maana maazimio yanayotolewa bila ya kuya'critique' hayatatusaidia. Unakumbuka jinsi sheria ya manunuzi ya umma ilivyopitishwa? Wapinzani walijaribu kuonyesha upungufu wake wakashauri iboreshwe, lakini kwa kutumia wingi wa kura, hoja zao zikazimwa. Leo hii wale walioipitisha wanasema ina upungufu na hata Rais Magufuli kuna wakati alisema "ina upungufu mkubwa sana". Je, huo upungufu unatokana na nini? Kwa upande wangu, naona kuna matatizo katika uendeshaje wa bunge na kama hizo kasoro hazitarekebishwa hoja zitakazokuwa zinapitishwa hazitakuwa na maslahi mapana ya taifa - yatakuwa yanaangalia tu survival ya vyama vya siasa.

2016-06-03 10:30 GMT+03:00 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Mugobe. Ninaamini sasa kuwa umesoma neno kwa neno michango mingi ukiwamo wa kwangu. na naamini umeuelewa na ni haki kujibiwa. Ni kweli kuna kanuni nyingine ziliwekwa kukandamiza mambo fulani. Hivi ndivyo ilivyo ulimwenguni kote. Kuna mambo huwezi kuyajadili hivyo lazima utumie taratibu kandamizi. Mfano hai/mfu: Kama mgomo wa wanafunzi UDOM na UDISM uliandaliwa na wanaojionyesha kuwatetea wanafunzi. Serikali ikawatimua. Wachochezi wakaamua kusitisha shughuli za Bunge kujadili 'tatizo la wanafunzi'. Kwa nini serikali isitumie mifumo kandamizi iliyowekwa kwa makusudi mazuri kama hapo (Huu ni mfano tu kwa mawazo yangu).
Nchi na serikali haviwezi kwendeshwa kama kilabu cha mpira. Fikiria katika familia. Mtoto mmoja anaamua kuwa mlevi na kuharibu mali za familia. Halafu mtu anakuja na kusema 'Child rights'. Ni busara tukaiangalia serikali kama taasisi ya kuendesha familia yetu Tanzania. Tukajichunguza na kuchunguzana na kusomana. Tunaweza tukaelewa sababu zinazotamkwa na zisizotamkwa na serikali kwa hatua zingine inazochukua.
Hapa kilichofanyika naibu speaker aliamua kutumia kanuni kuzima mjadala wa kichichezi na kuwaambia haki zao wanaoleta hoja. Bila shaka mpaka wakati unafika kujadili mada kutakuwa hakuna haja tena. (nahisi). hiyo ndiyo 'critical thinking au independent judgement' yangu. Si lazima ifanane na yako lakini kushindwa kuihoji mtu akasema hajui watu wengine wanafikiria kwa kutumia nini inaonyesha upeo wa thinking yake.

Nilikuwa Marekani wakati wa sakata la matokeo ya uchaguzi kati ya Bush na Al Goal. Wamarekani kwa 90% waliamini Goal kashinda. Lakini bado alitangazwa na mfumo kandamizi kupitia ''mahakama huru'' kwa sababu moja kubwa. Mfumo ulikuwa umepangwa Sadam husein apigwe na Goal hakuwa tayari.
Tuwe na Critical thinking kwa mambo yanavyoenda nje na ndani.
Tunahimizwa kujenga demokrasia na kulinda haki za binadamu. lakini hizo ni 'instrument muhimu'' kw wahuni wa kimataifa kudistabilise serikali nyingi. Nakumbuka mgogoro wa Libya ulipoanza gadaffi alitoa hotuba iliyotoka mtandaoni. Nilitoa comment kwa Gadafi kuwa lazima utakwenda. Nilikuwa naona trend na ilitokea.
Ninafikiri kwa baadgi ya thinkers humu mimi ni mpuuzi kwa majibu haya. Sina uhakika kwa ''critical thinkers''.

--------------------------------------------
On Thu, 6/2/16, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com> wrote:

 Subject: Re: [wanabidii] HEKO BUNGE KUWAADHIBU WABUNGE WAHUNI
 To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
 Date: Thursday, June 2, 2016, 3:51 PM

 Ndiyo
 maana mimi nasema 'we lack critical thinking au
 independent judgement' - yaani huwa mtu fulani
 akishasema kitu tunaona ni 'gospel truth'.
 Kilichokuwa kinapiganiwa bungeni is the manner in which hao
 students were treated. Unakumbuka waliokuwa wakipigia debe
 the BRN, ambayo ni matokeo ya yale Rais alikuwa akiyaongelea
 pia? Mimi nadhani bungeni kuna madudu yanafanyika na yana
 udhi na mengine yanafanyika kwa kujificha kwenye kanuni
 ambazo pia ziko kimaslahi zaidi kuliko ya mahitaji ya
 mijadala chanya bungeni. Ndiyo maana wakati mwingine unaona
 mbunge x anasimama na badala ya kuchangia anaanza kurusha
 mabano upande wa pia na kiti kinamwachia tu hadi mwisho na
 kisha anasema "anaunga mkono hoja kwa asilimia
 100" wakati alichokuwa akiongea hakihusiani na hoja
 hata kidogo. Udhaifu huu upo tena mara nyingi. Kwa upande,
 mwingine mbunge y akiomba mwongozo kwa nia ya kutaka
 ufafanuzi au kukosoa mwenendo wa michango inavyoenda anyimwa
 hiyo fursa (bila ya sababu ya maana). Katika mazingira kama
 haya kama baadhi ya wabunge wakiona hawatendewi haki na kama
 namna wanayoweza kusema na kusikilizwa haipo wakichukua
 hatua kama hao unaosema kwa mtazamo wako "sababu za
 kipuuzi", je utawalaumu? Kwa maoni yangu, kutoka nje
 kwa hao wabunge si sababu za kipuuzi na kama ni kweli ni za
 kipuuzi basi hata uamuzi uliofanywa na ukasababisha
 uliowafanya watoke wawe na sababu za kipuuzi za kutoka nje
 ulikuwa wa kipuuzi pia.

 2016-06-02 15:25 GMT+03:00
 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
 Busara
 ilianza wakati wa uchaguzi. WaTz waliwachagua watu makini.
 Watu makini wakishaingia wingi unakuwa wa mwisho kuamua.
 Kila anayeangalia TBC 2 vipindi vichache vya bunge live
 anaona kuwa mijadara sasa inajadiliwa kwa ustaarabu. Kumbuka
 sababu za kipuuzi kama hizi zilizowatoa wabunge haziwezi
 kutoa nafasi nyimgine ya kupikiwa chai Ikulu. Lazima Wabunge
 wa upinzani watafute namna ya kurudi bungeni. Hatutawacheka.
 Waende wakaendeleze harakati zao kwa busara zaidi.

 Kwa aliyemsilikiza magufuli UDSM atahisi mgogoro huu wa UDOM
 ulichochewa na wanaojifanya wasamalia wema kwa wanachuo.
 nchi hii inahitaji katiba inayompa mabavu Rais.

 --------------------------------------------

 On Thu, 6/2/16, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>
 wrote:

  Subject: Re: [wanabidii] HEKO BUNGE KUWAADHIBU WABUNGE
 WAHUNI

  To: "wanabidii@googlegroups.com"
 <wanabidii@googlegroups.com>

  Date: Thursday, June 2, 2016, 2:27 PM

  Sheria

  gani - hizi za "ndiyo...." zinazoegemea wingi

  zaidi kuliko umakini/busara?

  On Thu, Jun 2, 2016 at 1:24

  PM, De kleinson kim <dekleinson@gmail.com>

  wrote:

  Nasubiri utetezi wa Lissu na wenzake (uzuri mmoja

  wengi kati yao ni wanasheria kitaaluma).

  Wajitetee kisheria mbele yetu,  Itatufungua zaidi. Ila

  wasianze kusema sheria za bunge ni za kurekebishwa.

  Wanasiasa wetu wajifunze na kuangalia mambo

  yanavyobadilika. Watambue tupo darajani na sio
 ng'ambo

  ile tuliyotoka.

  --

  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

  Kujiondoa Tuma Email kwenda

  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com

   Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

  Disclaimer:

  Everyone posting to this Forum bears the sole
 responsibility

  for any legal consequences of his or her postings, and
 hence

  statements and facts must be presented responsibly.
 Your

  continued membership signifies that you agree to this

  disclaimer and pledge to abide by our Rules and

  Guidelines.

  ---

  You received this message because you are subscribed to
 the

  Google Groups "Wanabidii" group.

  To unsubscribe from this group and stop receiving
 emails

  from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

  For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

  --

  Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

  Kujiondoa Tuma Email kwenda

  wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
 Utapata Email ya

  kudhibitisha ukishatuma

 Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
 for any legal consequences of his or her postings, and hence
 statements and facts must be presented responsibly. Your
 continued membership signifies that you agree to this
 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
 Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to the
 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving emails
 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

 --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

0 comments:

Post a Comment