Saturday, 30 November 2013

[wanabidii] Re: [Wanazuoni] Tony Blair asked me to 'help invade Zimbabwe', says Thabo Mbeki

Kuna series ya uingereza inaitwa Strike Back Season 2 ,  nilipoangalia kisa hicho mwaka huu mwanzoni nilijiuliza mara kumi kumi nilijua wanazungumzia kisa cha ukweli haiwezekani .

Kama hujaangalia , inaonyesha jamaa mmoja raia wa zimbabwe aliyekuwa anaishi uingereza alitumwa kwenda zimbabwe kumuuwa robert mugabe .

Kilichotokea ni kwamba katika kutokeza walimtanguliza mugabe feki kwahiyo huyu jamaa akamuuwa huyo kumbe kwenyewe hakuwa amefika eneo husika .




On Sat, Nov 30, 2013 at 4:31 AM, Nipael Mrutu <n_mrutu@hotmail.com> wrote:
 

Mmmh! Mazito na tena makubwa.  It seems behind every turmoil in Africa, be it political, economical and  perhaps even social there is a white man.  Do our votes really matter!? Makes me wonder whether we are the ones who choose those whom we want to lead us.  Hii article inaonyesha how complex our lives are,hata kwenye jambo la kuchagua viongozi, jambo ambalo kwa mtazamo wa haraka haraka linaonekana kutatuliwa kwa kura, nalo pia lina gharimu zaidi ya kura, siyo tu wananchi wanataka nini? bali pia na "kina fulani" nao wanataka nini, na sababu zingine zinazo ambatana na hizo. Halafu wa" kina fulani" wako so much interested na mambo yaliyo nje ya mipaka yao mpaka inashangaza, well labda haishangazi, yamkini ni mbinu ya kujijenga kiuchumi, au labda inaweza ikawa ni mapenzi ya dhati waliyo nayo juu yetu!!?

Tunakushukuru Mbeki kwa kufunguka, umetupatia changamoto ya kufikiri zaidi, hasa huku kwetu Tanzania ambako kuna upepo fulani wa siasa unavuma hatuelewi elewi, bado tunatafuta majibu.


"Silence in the face of evil is itself evil: God will not hold us guiltless. Not to speak is to speak. Not to act is to act." Dietrich Bonhoeffer 


To: wanazuoni@yahoogroups.com
From: chambi78@yahoo.com
Date: Fri, 29 Nov 2013 02:51:09 -0800
Subject: [Wanazuoni] Mbeki Afunguka

 

__._,_.___
Reply via web post Reply to sender Reply to group Start a New Topic Messages in this topic (2)
Recent Activity:
.

__,_._,___



--
Find Jobs in Africa Jobs in Africa
International Job Opportunities International Job Opportunities
Jobs in Kenya Jobs in Kenya

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment