Thursday, 28 November 2013

Re: [wanabidii] TAARIFA YA SAMSON MWIGAMBA KUHUSU WARAKA WA MKAKATI WA MABADILIKO 2013

Wote ni wazandiki kwa nini wasianzishe chama chao? Watu wengi waliahama CCM na kujiunga na CDM baada ya kuona CCM haifai leo kwa nini hao wanaoona CDM haiwafai wasiondoke kwenda CCM au vyama vingine? Na pengine ikibidi waanzishe vyama vyao? Kwa nini waandae mapinduzi? Kwani wao ndo waasisi wa CDM? Lazima kuna lengo jingine nyuma ya pazia wasitudanganye kijingakijinga hivyo.

Mapambano ya kisiasa si lelemama wasitafute njia nyepesi kupata umaarufu na ulaji, anzisheni chama chenu chenye katiba munayotaka siyo kuingia kwenye vyama vilivyokwishajengwa na wengine mukataka kupewa uongozi siku hiyo, kwani muliowakuta hawana sifa? Na kwa nini musigombee kupitia taratibu za chama? Shortcut ya nini kama nyie si vibaraka muliotumwa na wengine. Binafsi sina imani na nyinyi hata kidogo

On Thu, Nov 28, 2013 at 11:42 AM, flano mambo <flein47@yahoo.com> wrote:
Ha ha haaaa hiyo kali nimeipenda. Asante mkuu

On Thursday, November 28, 2013 11:33 AM, Magiri paul <kiganyi@gmail.com> wrote:
Mkuu Flano,
Hiyo ni methali ya kiswahili labda nikusaidie tafsiri ya neno kwa neno.
Kisimba; kwa kutumia nguvu au hila.
Kibweha; kijinga.
Kimbwa; kwa fedheha au kwa kuahibika.
Magiri.
On Nov 28, 2013 10:25 AM, "flano mambo" <flein47@yahoo.com> wrote:
Kaka Magir nadhani umeniacha hapo umetumia maneno ya hekima sana sasa sisi wengine tumeshindwa kudadavua hasa unachomaanisha. Can you please give a brief elaboration?

On Thursday, November 28, 2013 10:10 AM, Magiri paul <kiganyi@gmail.com> wrote:
Mwigamba bana, jazba imemjaa kweli. Hivi inakuaje unafanya kazi na mtu ukidhani mko pamoja kumbe unapangiwa mipango ya siri kung'olewa?
Bahati mbaya aliyeshika mpini ni yule anayetaka kung'olewa!
Ukiingia kisimba, utawale kibweha utatoka kimbwa!
Magiri.
On Nov 28, 2013 9:51 AM, "Abdalah Hamis" <hamisznz@gmail.com> wrote:
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment