Saturday 30 November 2013

Re: [wanabidii] Ripoti ya Siri juu ya Zito: Kosa la CHADEMA

godfrey hapana....suala la uenyekit na ukatibu kuendelea kukaliwa na hawa jamaa si suala la kupendeza banaaa, its people who decide, hz fitina za timua timua kisa nataka kugombea au nawania nafasi ni siasa chafu, ccm hakuna hz...mm nasema nao chadema sasa wana siasa za aliewahi sema rostama siasa taka...why? waachwe na ndio demokrasia....mmmh kuna tatizo hapa....tena zitto si wangemwacha tu apange na mipango yake siku ya siku tu wataamua wapiga kura ambao ni halmashaur kuu? kwanni kama si siasa chafu...mm hapo n , skubaliani nao

On Tuesday, November 26, 2013 9:27 PM, Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk> wrote:
----- Forwarded Message -----

Boxbe This message is eligible for Automatic Cleanup! (ngupula@yahoo.co.uk) Add cleanup rule | More info
Nawashauri CHADEMA watulie..anachokifanya Zitto ni jitihada binafsi za kukiua chama. Kama anaona hajatendewa haki,zipo njia za kufanya na si kuzunguka nchi nzima kuwachanganya wanachi..CCM wanatofautiana kila kukicha lakni mambo yao huyamaliza ndani ya chama...nijuacho mimi,kwa kufanya hivyo ndio anajiua kisiasa...

Ushauri wangu ni pia zikipita wiki mbili wawafukuze zitto na sarfi pia...kutoka  ndani ya chama...chadema mpaka sasa imefanya vizuri na iendelee kufanya hivyo mpaka chama kitapokomaa na kupata watu wengi zaidi...mkifanya makosa mkawakaribisha watu kama zitto,mtajikuta mmewaachia chama mamluki...uenyekiti an ukatibu wa kitaifa,inapendeza bado ukikaliwa na slaa na mbowe..Ngupula

On Tuesday, 26 November 2013, 21:05, Mike Zunzu <mikezunzu@yahoo.co.uk> wrote:
Magora,
Hongera sana kwa mtizamo wako, haya endelea na hoja zako zako mimi nimeishia hapo.

On Tuesday, 26 November 2013, 18:00, Magora Hassan <magorah15@gmail.com> wrote:
Moja ya njia walizotumia Waafrika ktk kupigania uhuru wao ilikuwa ni kutumia nyumba za ibada(churches movements) kuzungumzia mambo ya  siasa.Sababu kubwa ilikuwa ni  ukionekana au kusikika unaiponda serikali ya kikoloni ulikuwa unaitwa mhaini au gaidi.Bila shaka hata akina Kitila pia hawakuwa huru ndani kujipanga na ndio sababu walitumia njia mbadala dhidi ya ubeberu wa kisiasa unaoitawala taasisi Hii yenye jina zuri la demokrasia na Maendeleo.
Rgrds
Magora
On Nov 26, 2013 8:44 PM, "Mike Zunzu" <mikezunzu@yahoo.co.uk> wrote:
Magora,
Je umesikia au kusoma alichosema Prof Mkumbo? Amesema kuna mtu walikuwa wanamuandaa, na anakili walifanya makosa, kosa siyo kupenda mtu Fulani ashike wadhifa fula, kosa ni kwenye mbinu za kumuandaa huyo mtu, kama mbinu zinazotaja ni za kweli obvious walichemsha, kwanini muende underground?

On Tuesday, 26 November 2013, 14:46, Magora Hassan <magorah15@gmail.com> wrote:
Magiri
Nachokiona hapa ni terrible coincidence.kwani wakati ZZK anatiliwa mashaka Ndio wakati huo huo uchaguzi  wa ndani wa chadema unakaribia.hapo ndipo hasa alokuwa na lengo lake alilitimiza tenant kwa nguvu zote.kabla ya kusimamishwa kwa zitto na wenzake pia niliasoma waraka uloandikwa na Lema akimtuhumu Zitto KUWA NI Mnafiki.Nilipata picha kuwa ni vita kubwa sana dhidi ya Zitto na hata iweje hawezisalia ndani ya chadema. ktk utetezi wake zito amesema kuwa mazuri mengi amefanya na pia kama binadamu kuna pahala alitelwza kwa wenye akili wanajua nini maana yake.
Rgrds
Magora
On Nov 26, 2013 5:17 PM, "Magiri paul" <kiganyi@gmail.com> wrote:
Magora,
Kaka kwa kipimo hichohicho cha "trend" tumia kipimo hichohicho kupima "trend" ya malalamiko toka wanachama juu ya kumwona kijana wetu akibadilika na sie yule mpambanaji wetu wa Buzwagi.
Kwanini asitiliwe shaka?
Ateteaye mtuku ni tangauko la bure..
Magiri.
On Nov 26, 2013 4:39 PM, "Magora Hassan" <magorah15@gmail.com> wrote:
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment