Friday 29 November 2013

Re: [wanabidii] Grayson M. Nyakarungu - Chadema wanataka kunimaliza

"kuondoa uharamia wa demokrais ndani ya chama kwa mbinu mpya tutakayoanza kuitekeleza tarehe 03/12/2013"

Sema kukiangamiza chama wala si demokrasia, kama demokrasia pitia kwenye vikao halali vya chama na wala si kwenye mitandao kama hii. Kama unaweza nenda kwenye chama cha waliokutuma ukalete demokrasia huko kwanza. Demokrasia gani unatueleza wakati unataka uongozi wa nchii uwe wa kifalme wawe wanaridhishana wenyewe kwa wenyewe ndani ya chama kimoja?

On Fri, Nov 29, 2013 at 10:11 PM, ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com> wrote:
Nimegundua njia nyepesi na ya haraka kunitoa kwenye vyombo vya habaqr. Ni kuzua tu.

From: Chadema Tanga <mabadilikochadema@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, November 29, 2013 5:35 PM

Subject: [wanabidii] Grayson M. Nyakarungu - Chadema wanataka kunimaliza

Nimetoa taarifa kwa jeshi la polisi katika kituo kikuu cha Mkoa Mkoani Morogoro,

Juu ya taarifa niliyopewa ya Katibu Mkuu wa chama changu chadema kumwagiza Mkurugenzi wa ulinzi na usalama Ndugu Rwakatare anishughulikie kwa mitandao wa red briged,kufuatia tamko langu na agizo la kuondoa uharamia wa demokrais ndani ya chama kwa mbinu mpya tutakayoanza kuitekeleza tarehe 03/12/2013.

Nimetoa taarifa hii ikafunguliwa file number MOR/RB/12999/13

Na. Grayson M. Nyakarungu
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment