Friday, 29 November 2013

Re: [wanabidii] Baregu aitahadharisha Chadema kuhusu Zitto

Ya nini kukaa na viroboto ndani ya nguo yako?

2013/11/30 Johale Magere <johale14@gmail.com>

Embugu

Ninaamini kuwa una elimu zaidi hata ya Prof Baregu ambae ameona umuhimu wa kutumia busara ktk jambo hili na kuongeza kuwa Tuhuma zinazowakabili Kitila na Wenzake zinahitaji maelezo na ushahidi zaidi ili wananchi waelewe zaidi.Hii ina maana kuwa tuhuma hizo bado zinakosa ushahidi wenye uzito kuthibitisha pasina shaka.Ila msomi kama EMBUGU anaamini kuwa kila anaechangia tofauti na fikra na upeo wake basi mtu huyo atakuwa na uelewa mdogo.Hii ndio kukosa uvumilivu na matokeo yake ni kutoa maamuzi butu yanayofuata hisia binafsi zinazoongozwa na chuki za kihafidhina bila kuangalia hali halisi.

On Nov 30, 2013 8:14 AM, "Magora Hassan" <magorah15@gmail.com> wrote:

Embegu

Inawezekana nina uwezo mdogo sana wa kuelewa mambo,ila kwa watu kama Embugu naamini wana IQ ya hali ya juu kabisa

Rgrds
Magora

On Nov 29, 2013 10:45 PM, "embegu" <embegu@hotmail.com> wrote:
Hawa akina Magora hawana tofauti na wale wanaoangalia idadi ya viongozi wa ngazi za juu wa Serikali, na kusema kwamba Serikali hii ni ya dini fulani au wanaoangalia viongozi wa juu wa Chama tawala, na kusema kwamba Chama tawala ni cha dini fulani. Wanajukwaa tutoke kwenye hoja za nama hiyo, siyo saizi yetu. Ni aibu!

Sent from Samsung tablet

-------- Original message --------
From: Peter Lwegasira
Date:30/11/2013 00:04 (GMT+07:00)
To: hmrema11@hotmail.com,wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Baregu aitahadharisha Chadema kuhusu Zitto

Mmmmh?!?

----------
Sent via Nokia Email

------Original message------
From: Herment Mrema <hmrema11@hotmail.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, November 29, 2013 4:40:56 PM GMT+0000
Subject: RE: [wanabidii] Baregu aitahadharisha Chadema kuhusu Zitto

Hili jukwa litakuwa na manufaa ikiwa litamilikiwa na watu wenye maono mapana zaidi ya wao binafsi, vyama vyao yaani kwa mapana na kwa manufaa ya taifa letu kwa faida ya kizazi hiki na kijacho.

Ndugu Magora na wengine acheni ushabiki kwani hili jukwaa nia yake ni kuelimisha umma waweze kuwa na ufahamu wa kujenga fikra na tafukuri za kuwaza na kuwazua ili kupata maendeleo ya haraka tunayostahili kutokana na rasimali lukuki tulizo nazo. Hatujali ni chama gani kitakachotawala ali mradi tunaona kwa ujumla wake kuwa tuna maendeleo ya kuridhisha na si vinginevyo.

Tanzania ya leo ina vijana wenye uchu wa maendeleo inajenga middle class na inaendelea. Tunachotaka ni kuwa na mawazo hasi ya maendeleo na sio ubabaishaji, ushabiki na uzandiki ambao hautusaidii kama taifa.

Tumpe sifa Maro ninaona siku za hivi karibuni anatoa mawazo kuntu ambayo hayana mrengo wa siasa za chama chochote. Hongera sana.

Herment A. Mrema

Date: Fri, 29 Nov 2013 16:28:25 +0000
Subject: Re: [wanabidii] Baregu aitahadharisha Chadema kuhusu Zitto
From: denis.matanda@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

Hivi aliposema hamfahamu ni kwa sababu ya kabila lake?

2013/11/29 Magora Hassan <magorah15@gmail.com>

Maro

Kumbe mzee Mtei pia ni mkabila(kwa mujibu wa maelezo yako ) kwani aliasema kuwa hawezi kumwachia chama Zitto sababu hamjui.Kumbe Mh Mbowe alipewa madaraka kwakuwa wanafahamiana na Mzee Mtei na wote ni Wachagga.halafu kwa unafiki wanapita nchi nzima kunadi sera nzuri na kudai kuwa wanasimamia demokrasia.Tulipigwa sana na hata kuumia kwa ajili ya CDM kumbe ni chama cha Mtei na ndugu yake Mbowe .Sasa kwanini watu wanatafuta sababu wakati ziko wazi.

Rgrds

Magora

On Nov 29, 2013 6:06 PM, "Yona Fares Maro" <oldmoshi@gmail.com> wrote:

Ndugu Elisa na Wengine
Naomba nichangie hii point yako unayotaka wafanye uchunguzi wa kujua nini lilikuwa lengo la huyo aliyemtuma zitto .
Chadema wamekuwa wanamchunguza Zitto Kabwe kwa kipindi kirefu toka mwaka 2008 lakini hawakuwahi kumtonya na kama kanuni za ushushushu zinavyotaka " chunguza taratibu huku umepumzisha akili yako , usimshtue , usimkasirikie endelea kumchunguza ili uweze kuzuia shambulio lake vilevile kupata wahusika wengine na kuuvunja mtandao mzima "

Kwahiyo unaona zitto kabwe alianza kuchunguzwa mwaka 2008 mwaka mmoja baadaye akajaribu kugombea uenyekiti akatolewa nje huku mzee mtei akisema hawezi kumwachia Chama mtu asiyemjua ,baada ya hapo utaona kwenye ile taarifa ya siri ndio alianza kupokea fedha na kutuma fedha kwa watu wake wengine .

Miaka 2 baadaye ndio wengine wakaingia ndani wakina ndio ile kundi inayoitwa PM7 Mwaka mmoja baadaye kitila mkumbo na Samson mwigamba wanaingia ndani hii ni baada ya PM7 kusambaratishwa hawa walikuwa wanajiandaa kufanya mapinduzi kabla ya uchaguzi wao wa mwaka 2014 haijulikani kama walishaunganishwa na madalali wengine haswa majasusi wa nje ya nchi au la .

Kwahiyo unapouliza lengo la zitto kabwe lilikuwa ni nini , jibu ni hili lengo ni uenyekiti wa CHADEMA ili labda aje kuuwa chadema na nguvu ya upinzani au atumie uenyekiti wa CHADEMA kujitenga kutokana na sera ya majimbo ya chama chake maana angeweza kuanza kutengeneza utengano huu ndani ya chama chake au angetumia uenyekiti huo kugawa nchi .

On Friday, November 29, 2013 5:55:40 PM UTC+3, Herment Mrema wrote:

Swadakta.............. Mhangwa umenena

Date: Fri, 29 Nov 2013 17:54:15 +0300
Subject: Re: [wanabidii] Baregu aitahadharisha Chadema kuhusu Zitto
From: vmha...@gmail.com

To: wana...@googlegroups.com

Mwanachama wa ukweli anaweza kuendeleza mema na mazuri hata akiwa mwanachama wa kawaida kwani lazima uwe kiongozi?
On 29 Nov 2013 07:45, "Jeremiah Kibwengo" <jerry...@gmail.com> wrote:

Baregu aitahadharisha Chadema kuhusu Zitto

SHARE BOOKMARKPRINTEMAILRATING

"Tuhuma zinazotolewa dhidi ya Zitto na wenzake kwamba wamenunuliwa na chama fulani cha siasa zinahitaji maelezo na vielelezo vya kina ili kuwaaminisha wengi. Nasema hivi kwa sababu historia yao inadhihirisha kuwa wana uchungu na chama chao. Chama kinachoongozwa kwa demokrasia na kinachotarajiwa kushika madaraka ya kuongoza nchi, lazima kionyeshe uwezo mkubwa wa kuvumiliana, kutafakari, kusamehe, kuaminiana na kujenga umoja wenye lengo la kuelekea kusudio lake." Baregu 

Na Waandishi Wetu, Mwananchi

Posted  Ijumaa,Novemba29  2013  saa 8:34 AM

KWA UFUPIAitaka itafakari madhara yanayoweza kukikumba, asema ni vigumu kuamini kama tuhuma dhidi yake na wenzake zinaweza kuyeyusha mema waliyokitendea.

SHARE THIS STORY

 0

inShare

RELATED STORIES

Waraka wa Chadema utata mtupu

Zitto ajiweka njia panda

Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chadema, Wilfred Lwakatare alisema chama hicho kipo imara na hakiwezi kuyumba kwa sababu ya uamuzi huo.

Lwakatale ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho alisema: "Mfumo wa ulinzi ndani ya chama upo imara, yakitolewa maelezo na ngazi za juu kinachofuata baada ya hapo ni utekelezaji."

Alisema kilichotokea ni kitu cha kawaida na ni mwanzo wa chama kujiimarisha.

Temeke wapinga

Baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu na Baraza Kuu la Chadema hicho Wilaya ya Temeke wamepinga hatua iliyochukuliwa na Kamati Kuu ya kuwavua nyadhifa viongozi hao.

Mwenyekiti wa Vijana Mkoa wa Temeke, ambaye pia ni Mjumbe wa Baraza Kuu na Mkutano Mkuu, Joseph Patrick aliwaambia waandishi wa habari jana kuwa mgogoro huo haulengi kujenga chama, bali unakibomoa.

"Chama chetu kimekuwa na tabia ya kuingia kwenye migogoro kila panapokaribia uchaguzi wa ndani. Hii inasababisha kuchafuana na kutukanana miongoni mwetu kiasi cha kuitana wahaini, wasaliti na wengine kuwaita wenzao wanatumika kwa lengo la kuwadhoofisha mbele ya wanachama," alisema na kuongheza:

"Tumeona mifano mingi ya namna hii. Wakati Chacha Wangwe akiwa hai alipotangaza kuwania uenyekiti, mgogoro wa namna hii ulijitokeza, aliitwa majina yote na hakuwahi kusemwa vizuri kwenye chama, hakuchafuliwa na watu walio nje ya chama, bali viongozi wenzake waliotofautiana kimsimamo."

Alisema hali hiyo ilijitokeza pia kwa Zitto alipotangaza kuwania uenyekiti kama ilivyokuwa wakati wa chaguzi za viti maalumu na mabaraza ya chama.

Alisema ni vyema viongozi wakaitisha mkutano mkuu wa dharura na kuwaeleza wanachama mambo mbalimbali ikiwamo ni kwa nini wameamua kusambaza waraka ambao alisema unakidhalilisha chama badala ya waliouandika.

Katibu Chadema ahojiwa

Katibu wa Chadema Mkoa wa Dar es Salaam, Herry Kilewo amehojiwa na Polisi kwa kile kilichodaiwa kuwa ni kutokana na madai ya Zitto kutishiwa kuuawa.

--

Send Emails to wana...@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+...@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+...@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

Wasalaam,
 
Denis Matanda,
Mine Planning Supt,
Tanzania.
 
" Low aim, not failure, is a crime"

0 comments:

Post a Comment