Thursday 28 November 2013

[wanabidii] WENGI NI MAMLUKI WA SOKA LA TANZANIA

Kuna watu hawajui umuhimu wa wimbo wetu wa Taifa,hawajui maana ya Bendera ya Taifa wala nembo za Taifa,poleni sana.Watu wanavizia makosa tu.Alipopoteza nafasi jana Mrisho Ngasa,watu wali-uploud picha zake na Snura kumkashifu!

Zambia walipotangulia kupata goli,watu wengi waliiponda "Kill Stars" wapo waliosema "kichwa cha mwenda wazimu" na wengine walikwenda mbele zaidi na kusema "Yanga 0-1 Zambia" poleni sana!

Tuliposawazisha,mamluki wote wakapotea.Tulipocheza kandanda safi second half,hao tena wakarudi kuisifia!! Kama mmetumwa,ni bora mrudi kwenu mtuachie Kill Stars yetu.

Hata kama Kim Poulsen angeichukuwa JKT Mlale timu yote na kuwapeleka Kenya kwenye Challenge Cup,sisi watanzania tunatakiwa kusimama nyuma ya timu na kuisapoti.Maadamu wataiwakilisha nchi,sote tutaungana!

Ushauri wangu,kama Tanzania inakuboa,wasubiri Somalia wakimaliza michuano hii hapo Nchini kenya uendenao kwao.Tuachie Kill Stars na Tanzania yetu.

I'm sorry!

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment