Friday 29 November 2013

Re: [wanabidii] USALAMA WA TAIFA – WAJIBU WA VYOMBO VYA HABARI

Mimi sioni kama tunaijadili idara. Tunajadili usalama wa Taifa letu. Idara hiyo ina kazi zake lakini na siosi tuna wajibu wetu kama raia kulinda usalama wa taifa letu. Kwa hiyo kujadili usalama wa taifa letu si kuijadili idara labda kama katika kuijadili tumeipitia tu idara.
Nadhami kusudi la mada ni kutukumbusha wajibu wetu na kutupelekea kujiuliza tunafanya nini katika majukumu yetu ya kila siku katika kulilinda taifa

From: Jeremiah Kibwengo <jerrykibwe@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, November 29, 2013 7:59 AM
Subject: Re: [wanabidii] USALAMA WA TAIFA – WAJIBU WA VYOMBO VYA HABARI

Hivi Lengo hasa la hii mada ni nini? maana naona imekomaliwa mno. Au lengo nikuwapata wanao ichafua hii Idara? Enzi za Mwalimu ilikuwa marufuku kujadili hii maneno. sasa sijui mleta mada anatutega au vipi

2013/11/28 Yona Fares Maro <oldmoshi@gmail.com>
Ndugu zangu ,

Siku chache zilizopita tuliangalia usalama wa taifa kwa ujumla hivi sasa itabidi tujikite katika makundi mbalimbali ya kijamii na mihimili mengine ya dola .

Tuanze na wajibu wa vyombo vya habari katika kuhakikisha nchi inakuwa salama pamoja na wananchi wake .

Nikisema vyombo vya habari namaanisha radio , runinga , magazeti , mitandao ya kijamii , majukwaa ya majadiliano katika mitandao , tovuti ,kurasa za mitandao , simu  ETC

Nitarudi baadaye kwa ajili ya mchango wangu .

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment