Thursday 28 November 2013

[wanabidii] LEO NI MIAKA MITANO YA NDOA YETU


Wandugu,

Leo mimi na mke wangu Mpendwa tunaadhimisha miaka mitano ya kuishi pamoja katika ndoa takatifu kama mke na mume

Twawaomba muungane nasi katika kumshukuru Muumba kwa kutuvusha katika mawimbi yote katika kipindi hicho na azidi kutujalia baraka, amani na neema tele katika maisha yetu

kwa wale wataalamu wa internet naomba mumshauri wife katika website ya kabiashara kake aliyowapa watu wamtengenezee ambayo ni ggwananchi.co.tz

Natanguliza shukrani zangu za dhati
-- 
Godfrey Mogellah

Arusha - The Geneva of Africa
 0784670355 / 0715670614

MOTTO:  Connect to God as often as you can. 
               Reserve just one minute for God, once every hour. 
 

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment