Saturday 30 November 2013

Re: [wanabidii] Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Monduli asimamishwa

CHAMBUENI KAMA KARANGA ILI TUPATE MAWAZI WATAKAO SAINI MIKATABA MIZURI 2015

On 30/11/2013, Vincent Mhangwa <vmhangwa@gmail.com> wrote:
> CHADEMA, toeni taka ili mchele ubaki pekee tayari kwa mapishi 2015. Ni
> afadhali mfike 2 wa ukweli.
>
>
> 2013/11/30 Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>
>
>> Heko Golugwa
>> On Nov 30, 2013 6:50 PM, "Magiri paul" <kiganyi@gmail.com> wrote:
>>
>>> Amani haitarudi ila kwa makali ya upanga.
>>>
>>> Magiri.
>>>
>>> Dau dogo huambaa mwambao, kubwa huenda kwenye kilindi.
>>> On Nov 30, 2013 6:44 PM, "MABADILIKO CHADEMA" <
>>> mabadilikochadema@gmail.com> wrote:
>>>
>>>> TAARIFA KWA UMMA
>>>>
>>>> Kwa niaba ya baraza la uongozi la mkoa wa Arusha, napenda kuujulisha
>>>> umma wote kwa ujumla kuwa mwenyekiti wa wilaya ya monduli Mchungaji
>>>> Amani
>>>> Silanga Mollel amekoma/amesimamishwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya
>>>> ya
>>>> monduli kuanzia tarehe 29 Novemba 2013 kufuatia tuhuma nzito za uvunjifu
>>>> wa
>>>> kanuni za maadili ya chama.
>>>>
>>>> Hatua hii imefikiwa baada ya kuthibitika na yeyé mwenyewe kukiri mbele
>>>> ya kikao cha kamati tendaji ya wilaya ya monduli kilichoketi tarehe 29
>>>> Novemba 2913 saa NNE asubuhi kuwa alitoa tamko batili akitumia wadhifa
>>>> wa
>>>> mwenyekiti wa wilaya bila ridhaa ya kamati tendaji na huku akidanganya
>>>> kuwa
>>>> ni tamko kwa niaba ya wilaya ya monduli.
>>>>
>>>> Katika tamko lake ametoa tuhuma dhidi ya wajumbe wa kamati kuu na
>>>> viongozi wakuu wa kitaifa kwa maamuzi halali ya kikao cha kamati kuu
>>>> huku
>>>> akijua kuwa anavunja kanuni za chama kwa mujibu wa katiba ya chama toleo
>>>> la
>>>> mwaka 2006 ya Kanuni za uendeshaji kazi za chama, sura ya KUMI, ibara ya
>>>> 10
>>>> (X) "Kiongozi asitoe tuhuma zozote juu ya viongozi wenzake pasipo
>>>> kupitia
>>>> vikao halali na kuzingatia taratibu na ngazi zilizoelezwa kwenye kanuni
>>>> za
>>>> chama".
>>>>
>>>> Sambamba na hilo, Mchungaji Amani Silanga ametoa tuhuma za uzushi,
>>>> uongo
>>>> na upotoshaji na kutaka kuaminisha jamii kuwa chadema ina makundi ya
>>>> CHADEMA Asili na CHADEMA Family kitu ambacho ni upotoshaji mkubwa na wa
>>>> hatari kwa ustawi na umoja wa chama na kinyume na kanuni za uendeshaji
>>>> kazi
>>>> za chama, sura ya KUMI, ibara ya 10 (VII), "Kiongozi anatakiwa kuwa
>>>> mkweli
>>>> na muwazi wakati wote hususani katika vikao halali na aachane na
>>>> vikundi
>>>> vya majungu, wadanganyifu (Rumour Mongers).
>>>>
>>>> Ni mwiko kwa kiongozi kujihusisha na upotoshaji wa maamuzi wa vikao
>>>> halali". Kamati tendaji ya wilaya ilipomtaka aonyeshe CHADEMA asili ni
>>>> kina
>>>> nani na CHADEMA family ni kina nani alishindwa kutoa maelezo yoyote ya
>>>> maana na kufikia hatua ya kutaka kuvuruga kikao kwa kuleta vijana
>>>> wahuni
>>>> wapatao 17 ndani ya kikao ambao wengi walijulikana kuwa sio
>>>> WANACHADEMA.
>>>>
>>>> Katika utambulisho wake wa majigambo Mchungaji Amani SIlanga kwa
>>>> kiburi
>>>> na kejeli amejitambulisha na kukiri kuwa yeye yupo kambi ya Zito Kabwe
>>>> na
>>>> hakuna wa kumfanya kitu maana ni mjumbe wa baraza kuu la chama. Maneno
>>>> yake
>>>> yalidhihirisha kuwa Mchungaji Amani Silanga anashiriki mpango wa kuunda
>>>> makundi yasiyo na tija ndani ya chama na hivyo kuwa kinyume na sura
>>>> hiyo
>>>> hiyo ya kumi ya kanuni za uendeshaji kazi za chama ibara ya 10 (IX),
>>>> "Kiongozi asijihusishe au kushiriki na vikundi au vitendo vya
>>>> kuchonganisha
>>>> au kuzua migogoro ndani ya uongozi wa chama au wanachama wake".
>>>>
>>>> AZIMIO LA BARAZA LA UONGOZI LA MKOA WA ARUSHA:
>>>>
>>>> Baraza la uongozi la mkoa lililoketi tarehe 29 Novemba 2013, limepokea
>>>> mapendekezo ya kamati tendaji ya wilaya na kuzingatia hofu kubwa
>>>> iliyoainishwa na kamati tendaji kufuatia matendo mengi yanayotia shaka
>>>> ya
>>>> uadilifu na uwezo wa kiuongozi wa Mchungaji Amani Silanga na hivyo
>>>> baraza
>>>> la uongozi la mkoa limeridhia kuwa amevunja kanuni za maadili ya chama
>>>> sura
>>>> ya KUMI ibara ya (VII) hadi (XII) na hivyo kupelekea ukomo wa yeye kuwa
>>>> Mwenyekiti wa wilaya kuanzia tarehe 29 Novemba 2013. Baraza la mkoa
>>>> likiwa
>>>> mamlaka ya nidhamu kwa mujibu wa katiba ibara ya 6.3.6 (a) (iv)
>>>> limemjulisha tuhuma zake na hatua hii stahiki iliyochukuliwa.
>>>>
>>>> Kwa vile Mchungaji Amani Silanga alikiri kosa hili mbele ya kamati
>>>> tendaji ya wilaya bila kulijutia au kuomba msamaha, baraza la mkoa
>>>> limechukua hatua hii stahiki kwa maslahi ya chama na kuwa uchunguzi
>>>> zaidi
>>>> utafanyika ili kufikia maamuzi makubwa zaidi ya tuhuma nyingi kwa mujibu
>>>> wa
>>>> kanuni za hatua za kinidhamu.
>>>>
>>>> Baraza la uongozi la mkoa wa Arusha, linatoa onyo kwa wote ambao wapo
>>>> katika mtandao huu mchafu, ama watoke wenyewe mapema maana
>>>> hawatavumiliwa
>>>> kamwe. Baraza la uongozi wa mkoa liliona kuwa Mchungaji Silanga
>>>> amepotoka
>>>> na hivyo yeyé kuendelea kuwepo ndani ya chama wakati wa uchunguzi wa
>>>> tuhuma
>>>> hizi nzito dhidi yake ni hatari zaidi kwa ustawi wa chama na hivyo
>>>> baraza
>>>> likaridhia kwa kuzingatia tafsiri ya katiba ya chama ibara ya 6.3.4 (c)
>>>> wa
>>>> yeyé kukoma uongozi na hivyo akae nje kwa muda na waliopotoka wenzake.
>>>>
>>>>
>>>> Amani Golugwa
>>>> Katibu wa CHADEMA – Mkoa wa Arusha.
>>>> (Kwa niaba ya Baraza la Uongozi la Mkoa wa Arusha)
>>>> Tarehe 30 Novemba 2013
>>>>
>>>> --
>>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>>
>>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>>> ukishatuma
>>>>
>>>> Disclaimer:
>>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>>> facts
>>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>>> you
>>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>>> Guidelines.
>>>> ---
>>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>>> Groups "Wanabidii" group.
>>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>>> an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>>
>>> --
>>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>> facts
>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>> you
>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>> Guidelines.
>>> ---
>>> You received this message because you are subscribed to the Google
>>> Groups
>>> "Wanabidii" group.
>>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
>>> an
>>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>>
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>>
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
>

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment