Thursday, 28 November 2013

Re: [wanabidii] KUHUSU MAANDAMANO YA WAFUASI WA ZITTO KABWE KESHO

Maandamano ya kushinikiza CDM yana uhusiano gani na swala ya Ijumaa? Hili linanichanganya maana CDM hawana sala kila Ijumaa ila waumini wa dini. So what is the connection between Zitto and Ijumaa? Kuna viinimacho mengi hapa Tz! Kama ni maandamano ya siasa kwani yahusishwe na ibada ya dini? Au ndio kusema siasa na dini ni kitu kimoja hapa Tazania tangu afe Nyerere?


On Thursday, 28 November 2013, 15:11, Yona Maro <oldmoshi@gmail.com> wrote:
KUHUSU MAANDAMANO YA WAFUASI WA ZITTO KESHO

Ndugu zangu ,

Kuna habari zinasambaa kwamba kutakuwa na maandamano ya wafuasi wa Zitto Kabwe kesho huko mkoani Kigoma maandamano yenye lengo la kushinikiza uongozi wa CHADEMA Kumrudishia Zitto Vyeo vyake , Maandamano yatafanyika baada ya sala ya ijumaa .

Napenda kuwajulisha kwamba taarifa hizi ni za uwongo kwa maana wale wote waliotajwa katika maandalizi au kushiriki kwenye maandamano hayo wako dare s salaam mpaka saa hizi na hawana taarifa kuhusu suala hilo .

Pia inaweza kuwa kweli maandamano yatafanyika baada ya swala ya ijumaa lakini inaandaliwa na kuongozwa na watu wengine kwa lengo na nia ile ile ila wanajaribu kudivert tu wahusika .

Lakini ukweli ni kwamba hili suala ni Zitto kidogo kwa sababu kuna makosa yamefanyika sehemu sasa watu wanajaribu kutumia fursa hiyo kuhalalisha mengine ambayo si sahihi kwa wakati huu .


--
Find Jobs in Africa Jobs in Africa
International Job Opportunities International Job Opportunities
Jobs in Kenya Jobs in Kenya

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.


0 comments:

Post a Comment