Saturday 30 November 2013

Re: [wanabidii] TAARIFA YA KUJIUZURU KWA MWENYEKITI WA CHADEMA MKOA WA LINDI

Thibitisha Magesa.hayo ni maneno tu kila mtu anaweza akasema.inawezekana wewe ukawa hufai kabisa bora hao waliojitoa

Rgrds
Magora

On Nov 30, 2013 2:46 PM, "Boniface Magessa" <magessabm@gmail.com> wrote:

Bariki,
Mimi ni zaidi ya hata huyo mwenyekiti wa mkoa...huyo katibu wa mkoa ...huyo naibu katibu mkuu alofukuzwa...huyo mjumbe wa CC...miye ni zaidi ya unavyodhani. Natumikia chama kuliko unavyofikiria...mimi ni mwanachama wa kawaida,lakini output ni kubwa sana. Nenda makao makuu uliza jina magessa halafu rudi unipe jibu.nenda musoma vijijini halafu rudi unipe jibu...
Miye sio msaliti....miye ni msafi.miye situmiwi kama ww...miye sina shida ya kutumiwa naridhika na ninachokipata cha jasho halali.....sihitaji uongozi...nahitaji kukitumikia chama nje ya uongozi
Bariki...humjui zitto and his coys...i know him...ana mitandao toka hukooo mpk kaileta chadema...
Watu husema bata hutembea bata...bata hatembei kuku!

On 30 Nov 2013 14:30, "Bariki Mwasaga" <bmwasaga@gmail.com> wrote:

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment