Wednesday, 27 November 2013

Re: [wanabidii] Re: RIPOTI YA SIRI JUU YA ZITTO KABWE KWA CHADEMA

Suala la ufadhili ni more likely ila kusema ati CDM ina wenyewe amekosea sana, ukisajili chama cha siasa kinakua ni cha wanachama japo kunakua na uongozi ndo maana mtu leo anaweza  kuwa kiongozi kesho akamaliza muda wake akabaki kuwa mwanachama.

On Thursday, November 28, 2013 10:36 AM, Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com> wrote:
Magora

Inawezekana kabisa ni kweli asemayo kwasababu ni wazi Mwenyekiti ni mhisani mzuri pamoja na mzee Ndesapesa na wengineo wengi

2013/11/28 Magora Hassan <magorah15@gmail.com>
Nilikuwa nasikikiza Radio Wapo asubuhi hii,nimemsikia Mzee Renatus Makinga akiunga Mkono kufukuzwa kwa zito akiasema kuwa Zitto ni mtu mbaya toka akiwa chuo,kanakwamba haitoshi anasema kuwa CHADEMA  ina wenyewe na wametumia pesa zao nyingi kuifikisha hapo ilipo, itakuwaje yeye apewe uongozi kiurahisi tu? Huyu mzee huwa simfaham vizuri zaidi ya kumuona kwenye TV na Kumsikia kwenye radio akijitambulisha kama mwana harakati.Bila shaka anajua asemalo ila nina shaka na izo harakati anazopigania.ukisema kuwa CDM ina wenyewe inamaana kuwa watu kama akina Dr Kitila,Dr Kabour,Marehem Chacha Wangwe na Zitto hawana chao ndani ya CHADEMA na ndio maana wataondolewa kwa gharama yoyote.Jamani wanaharakati kama hawa ni hatari sana.Pia ninatilia shaka kuwa,je walikuwa pamoja wakati Zitto akiwa chuoni? vinginevyo atakuwa anaokota maneno ya mtaani (hearsay) na kujenga hoja ili kusadifu matakwa ya nafsi yake.Au na yeye ndio walewale wanaotukuza ukanda na ukabila? Nadhani huyu ni chadema muhafidhina ila anajificha nyuma ya kivuli cha mwanaharakati.
Rgrds
Magora
On Nov 27, 2013 2:00 PM, "Magora Hassan" <magorah15@gmail.com> wrote:
Ukahama sahihi Felix
Anaejidanganya kuwa hiyo ni hali ya kawaida hatumii busara.ivi unadhani waliompa kura Mh zitto awwakilishe wataelewa kuwa kuna waraka? Na isitoshe minong'ono ya ukanda,ukabila na udugu imezidi mtaani.watu wanasema mengi na kama wanadhani wapiga kura wako mtanadooni wajue wanapoteza muda.kama kweli wana nia ya kuleta demokrasia ya kweli waache ubinafsi na wasimamie haki.
Rgrds
Magora
On Nov 27, 2013 1:52 PM, "Felix Mwakyembe" <fkyembe@gmail.com> wrote:
Dada Ananilea,

Pole sana, ila huo waraka upo kwenye mitandao kitambo na hata barua iliyodaiwa ya huyo mama wa Kijerumani akilalamikia kuchafuliwa jina, ililetwa kwenye mitandao, nakumbuka niliisoma, nika comment kuwa kile Kiingereza ni cha mmbongo!!!

Wengine huwa hatupokei mambo kwa asilimia 100, tukihoji tulishambuliwa kwamba tunatumiwa na CCM mara Nape.

Pamoja na yote hayo, itabidi Chadema watumie nguvu sana kushawishi umma kuhusu ukweli wa huo waraka, bado wengi wanaamini ameonewa aidha kwa sababu ya imani yake au kwa kutokutoka Kaskazini.

Tusioamini katika ukabila na udini, huwa hatukubaliani na hoja hizo, na ni kweli hazipo, Watanzania tumeingiliana sana, lakini kwa wanasiasa ni kete zao za ushawishi.

Uamuzi wa kumuengua na wengine umechukuliwa muda usio muafaka, utakikagharimu tu, tusidanganyane na michango ya hapa jukwaani, mambo yote ni kule mitaani, ni nani anawafikia wale kirahisi, huyo ndio mwenye turufu.

Felix

2013/11/27 flano mambo <flein47@yahoo.com>
nakumbuka kwenye ishu ya majenereta, Dr Mwakyembe aliwahi kuwa na kipindi kwenye TV moja akasema "unajua namshangaa sana mh Zitto, hivi ni huyu huyu ninayemjua mimi au ni mwingine"?

On Wednesday, November 27, 2013 10:50 AM, Herment Mrema <hmrema11@hotmail.com> wrote:
Wanabidii

Ninapenda kurudia tena kuwa ni wale wale kwa mambo yale yale na haya ya Zito na Mkumbo sio ya ajabu.  Hayajaanza leo na hayataisha leo. Hizi zote ni harakati za kutetea ulichokuwa nacho au kupata ambacho huna.

Na lazima tukumbuke kuwa kila mtu ana bei yake (Every person has a price) na atakayefika bei atauziwa kama ni utu, au vinginevyo. Yaliyomkuta Zito na wenzie ni matokeo ya kupatikana badala ya kupata.

Ningemshauri akaze roho ajipange kama anataka kuwa kama Wassira, Kaburu, na wengine wengi yote heri. Maisha ya watanzania yataendelea na wakati ukifika mabadiliko yatatokea kwani hakuna lililokuwa na mwanzo na lisilo na mwishi ishu hapa ni wakati tu.

Ahsante

Herment

> Date: Tue, 26 Nov 2013 22:50:49 -0800
> From: fhkipamila@yahoo.com
> Subject: Re: [wanabidii] Re: RIPOTI YA SIRI JUU YA ZITTO KABWE KWA CHADEMA
> To: wanabidii@googlegroups.com
>
> Pole sana mama hii ndiyo Tanzania vijana wetu wako tayari kuuza nchi kwa ajili ya pesa. Zitto ni kijana aliyenivutia sana tangu aingie kwenye elingo wa siasa lakini nilianza kutilia mashaka mwenendo wake alipotumbukia kwenye mtego wa kutetea ununuzi wa majenereta mabovu ya richmond eti kwa maslahi ya nchi! Alinishangaza jinsi alivyobadili msimamo wake wa awli na kujenga hoja kwa utulivu mkubwa kwenye kipindi cha jambo Tanzania. Sishangai ninapoyasikia haya leo. Pia yupo mwingine ambaye ananitia shaka sana katika harakati hizi naye ni Yona. Kijana huyu alifanya kazi kubwa kutengeneza jukwaa hili, lakini malengo yake yalipotea siku ya uchaguzi mkuu wa 2005 usiku wa manane katikati ya kukusanya kura toka kwa wanajukwaa sehemu mbalimbali za nchi yetu akaaga kwenda kulala. Akaombwa sana na wanajukwaa asilale hadi kieleweke lakini haikusaidia. Mimi nilimuunga mkono kwani kama binadamu alihitaji kupumzika. Matokeo hayakukusanywa tena na yeye akapotea siku
> kadhaa katika jukwaa. Baada ya hapo soma anachoandika inawezekana kabisa ni miongoni mwao wanaopokea posho.
> --------------------------------------------
> On Mon, 11/25/13, lesian mollel <aramakurias@yahoo.com> wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] Re: RIPOTI YA SIRI JUU YA ZITTO KABWE KWA CHADEMA
> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Monday, November 25, 2013, 8:58 AM
>
> kama ni kweli zitto anastahili
> adhabu hiyo jamani, huu usaliti mwingine mbaya, cc out
> hatukujua haya...sasa zitto atuambie all these, ushahidi
> kama sio aende mahakamani, kama ndio mmmh kaisha maaana
> viongozi wa namna hii hata kama ni kijina binafsi sitokaa
> nimuunge mkono
> tumekwishaaaaaaaaaaa
> poleni chadema na kama ni kweli mko sahihi na mnastahili
>
>
>
> On Monday, November
> 25, 2013 7:37 PM, ananilea nkya
> <ananilea_nkya@yahoo.com> wrote:
>
>
>
>
> Mwanangu Zitto,
> Nimeisoma hii
> ripoti hapa chini. Nimetoa machozi mie mtu mzima mchana
> kweupe. Najililia mimi mwenyewe, nawalilia Watanzania
> wenzangu na naililia nchi yangu. Nalia kwa sababu kama haya
> yaliyoandikwa hapa yana chembe ya ukweli, wewe hakuna tofauti na mtu
> aliyeiuza nchi yake na watu wake utumwani! What a shame?
> Tutapitisha wapi nyuso zetu sisi tuliokuwa tunajidai kwamba
> wapo vijana makini, wenye uzalendo, wasionunulika
> wanaopigania nchi yetu ipate ukombozi wa pili? Natoka kwenda
> kulia kwanza
> uchochoroniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
>  
> Ananilea Nkya
>  E-mail:ananilea_nkya@yahoo.com

>
>
>
>
>
> From:
> "startvdsmnews@gmail.com"
> <startvdsmnews@gmail.com>
> To:
> wanabidii@googlegroups.com
> Cc:
> machaflora@yahoo.com
> Sent: Monday,
> November 25, 2013 8:47 AM
> Subject:
> [wanabidii] Re: RIPOTI YA SIRI JUU YA ZITTO KABWE KWA
> CHADEMA
>
>
> On Saturday, November 9, 2013 1:12:39 PM UTC+3, Chadema
> Tanga wrote:
> > *Nyaraka hii imechomolewa kwa siri toka Chadema makao
> makuu
> >
> >
> > RIPOTI YA SIRI JUU YA ZITTO KABWE KWA CHADEMA
> >
> >
> > UCHUNGUZI WA MWENENDO WA KISIASA WA ZITTO Z. KABWE
> NDANI NA NJE YA CHADEMA.
> >
> >
> > UTANGULIZI:
> >
> > Tangu mwaka 2008 mwenendo wa kisiasa wa Zitto Zuber
> Kabwe ulianza kutiliwa shaka na wanachama wa CHADEMA ndani
> na nje ya chama, Hili lilipelekea kuibuka maneno ya chini
> kwa chini kuwa anakisaliti chama.
> > Hilo liliilazimu timu ya kijasusi ya chama kuanza
> kufuatilia nyendo zake kwa ukaribu zaidi usiku na mchana ili
> kujiridhisha pasipo kuacha chembe ya mashaka. Ifahamike kuwa
> chama kina idara ya ulinzi na usalama wa chama na viongozi
> wake yenye uwezo wa kufuatilia nyendo za majasusi wa nje na
> viongozi na wanachama wake popote walipo kwa masaa 24.
> Baada ya
> kujiridhisha kuwa mwenendo wake ni wa mashaka, bila kusita
> timu ya ujasusi ilianza kazi rasmi ya ujasusi dhidi ya
> nyendo zote za Zitto Zuberi Kabwe
> >
> >
> > MAMBO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI DHIDI YA ZITTO KABWE.
> >
> >
> > Kumfuatilia yeye binafsi nyendo zake.
> >
> > Kufuatilia mawasiliano yake ya simu.
> >
> > Kufuatilia mawasiliano yake ya barua pepe.
> >
> > Kufuatilia pato lake nje ya kazi zake halali za
> kibunge.
> >
> >
> > SEHEMU YA KWANZA 2008
> >
> >
> > Chombo chetu cha ujasusi tulichokipandikiza kwa siri
> katika nyendo zote za Zitto Kabwe na ndani ya vikao vya
> mwanzo kabisa vya Zitto na viongozi serikalini, nahata vile
> vikao muhimu vya idara ya ujasusi ya chama cha mapinduzi
> (ccm), kinatupa fursa ya kuweka msingi wa kuimarisha chama
> cha CHADEMA na kutenda haki kidemokrasia kwa maslahi ya
> chama na Taifa kwa ujumla:
> >
> >
> > Mnamo Jumatatu ya
> tarehe 16/6/2008 saa 09:46 asubuhi, Mh Zitto Kabwe kupitia
> simu yake ya kiganjani namba +255754787550 alipokea simu
> kutoka kwa Ramadhani Ighondu mwenye namba +255717760473
> ambaye ni afisa Usalama wa Taifa anayefanya kazi ikulu hivi
> sasa. Alijitambulisha kuwa yeye ni Usalama wa Taifa ametumwa
> na mkuu wake wa kazi aje aongee na Zitto, Maelezo ya msingi
> katika simu hii ilikuwa ni bwana Ramadhani Ighondu kuomba
> miadi ya kuonana kutokana na agizo la mkuu wake wa kazi.
> >
> >
> > Siku sita baadae yaani Jumatatu ya tarehe 23/6/2008 saa
> 07:52 asubuhi, Zitto alipigiwa tena simu na Ramadhani
> Ighondu akimkumbusha maongezi yao waliyo fanya siku 6
> zilizopita na kumuomba siku hiyo jioni waonane, ingawa Zitto
> alionekana kusita kidogo lakini baadae alikubali,
> Walikubaliana wakutane Sea Cliff Hotel, ilipofika jioni ya
> siku hiyo Zitto akiwa na marafiki zake wawili Omar Lyasa na
> Abdalah Said walifika Sea Cliff Hotel wakaketi na kuagiza
> vinywaji, Baada ya
> kama dakika kumi hivi Zitto alipokea simu ikimuelekeza
> alipo bwana Ramadhani Ighondu kisha Zitto akawaambia
> marafiki zake wamsubiri kidogo, akaondoka kuelekea aliko
> elekezwa…..
> >
> >
> > Mashariki mwa lango kuu la kuingilia Sea Cliff Hotel
> mita kama tatu tu kuna mlango mdogo unaoelekea kwenye vyumba
> maalumu (VIP), chumba namba 8 ndicho Zitto alichokuwa
> anaelekezwa kwa simu kuingia, chumba hiki kina meza moja na
> sofa zilizo zunguka meza ile zenye uwezo wakukaliwa na watu
> watano hadi sita, Ndani ya chumba kile Zitto anakutana na
> watu watatu ambao ni Steven Wasira, Ramadhani Ighondu na
> Abdalla Punja (hawa wote ni TISS)
> >
> >
> > Mazungumzo yao ndani ya chumba hiki yalianza maramoja,
> akianza Mr Ighondu kueleza sababu za wao kumuita Zitto,
> kikubwa ilikuwa ni "bwana Zitto, serikali (ikulu)
> inakutaka uache kuibana na kuishurutisha hasa kwa hili suala
> la Buzwagi". Tunaomba kujua shida yako kubwa ni nini?"
> Ighondu alihoji,
> Katika majibu yake Zitto anajibu, "Mimi napigania haki za
> watanzania, nimechaguliwa na wanakigoma na watanzania
> wameniamini ni wawakilishe hivyo", Lakini mashambulizi ya
> ushawishi yalipozidi Zitto alilegeza msimamo wake.
> >
> >
> > Katika kikao hiki kilichochukua masaa mawili, Zitto
> anaonekana kusita sana na anaomba apewe muda akafikirie
> aliyoitiwa, wote wanaafiki na kukubali ombi la Zitto na
> kikao kinaahirishwa.
> >
> >
> > Siku tatu tu baada ya kikao cha Hotel ya Sea Cliff,
> yaani tarehe 27/6/2008 Zitto anakutana na Naibu Mkurugenzi
> wa TISS Ndugu Jack Zoka jijini Arusha, hiki sio kikao chao
> maalumu bali wamekutana kwa mara ya kwanza wote wakiwa
> kwenye shughuli za kitaifa, Katika mazungumzo yao
> wanaonekana ni watu wanaofahamiana japo si kwa undani, Baada
> ya maongezi ya dakika kadhaa wakiwa wamesimama, Mr Zoka
> alimuuliza "Vipi vijana wangu walikupa ujumbe, umefikia
> wapi?" Zitto aliitikia kwa kucheka na kusema "yap
> nipo tayari, lakini nihakikishieni usalama wangu" Katika
> maongezi haya, Zoka anasikika akisema "Ondoa shaka"
> Kisha Mr Zoka anamuagiza Zitto kuwa kesho kutwa yake aende
> kwa Charles Kimei (Mkurugenzi CRDB Benki) pale Makao makuu,
> atayakuta maagizo yake huko.
> >
> >
> > Tarehe 30/6/2008 majira ya saa 12:22 za alasiri, Zitto
> akiwa ameongozana na kijana mmoja aliyetambuliwa kwa jina la
> Rajabu Abdala anaingia eneo la CRDB Benki mtaa wa Azikiwe,
> na kwenda moja kwamoja kuonana na Bw Kimei, baada ya salamu
> haikuchukua muda mrefu, Zitto akapelekwa katika moja ya
> vyumba maalumu vya bank hiyo kwenye jengo hilohilo la
> Azikiwe, baada ya kufika katika chumba hicho Zitto alihamaki
> kuwakuta watu wawili katika chumba hicho, mmoja alikuwa ni
> mfanyakazi wa bank hiyo aliyetambuliwa kwa jina laMaselina
> K. Kombe na mwingine hakuwa mgeni machoni mwa Zitto,
> alikuwa ni Ramadhani Ighondu yule wa
> TISS waliyekuwa naye kwenye kikao cha awali kule
> Sea Cliff Hotel wiki chache zilizopita, Zitto alikabidhiwa
> Briefcase nyekundu iliyokuwa imesheheni pesa halali za
> kitanzania kiasi cha Shilingi milioni 250.
> >
> >
> > Wakati hayo yakitendeka yule kijana aliyekuja na Zitto
> alikuwa kwenye gari aina ya Toyota Mark 11 No T 134 AAB
> yenye rangi nyeupe na vioo vyeusi (Tinted). Baada ya
> makabidhiano yaliyochukua kama dakika 10 tu, Mr Ighondu
> alimwambia Zitto, "tunataka utulivu, mengi mazuri yanakuja
> utafurahia kijana," Na kisha Zitto akatoka na begi lake
> (Briefcase) na kuingia nalo katiga gari ile na kutokomea.
> >
> >
> > Uchunguzi umeonyesha kuwa pesa ile aliyokabidhiwa
> ndugu Zitto, ilitoka katika akaunti Namba 0J56708968923
> yenye jina la Shani Maya, ambapo inaonyesha kuwa akaunti hii
> ilifunguliwa CRDB tawi la azikiwe tarehe 25/6/2008 saa 10:14
> asubuhi, kisha tarehe 27/6/2008 iliingizwa kiasi cha pesa za
> kitanzania milioni 400. Na tarehe 30/6/2008 pesa hizo
> zilitolewa zote na akaunti hii ilifungwa. Madhumuni ya pesa
> hii kutoka CRDB kwenda kwa Zitto yanathibitishwa na kikao
> cha 23/6/2008 pale Hotel ya Sea Cliff kuwa ni kupunguza kasi
> ya Zitto kuibana serikali hasa anapo kuwa bungeni. Na kweli
> kasi yake iliyozoeleka kwenye kuibana serikali akiwa bungeni
> ikapungua na kuweka msingi wa ujenzi wa mashaka juu ya
> mwenendo wake wa kibunge.
> >
> >
> > SEHEMU YA PILI 2009
> >
> >
> > Mnamo Jumatatu ya tarehe 30/11/2009 saa 04:30 asuhuhi
> wakati wa maandalizi ya uchaguzi wa mkuu wa 2010, idara ya
> ujasusi ya ccm ilikutana kwa siri pale Moven Pick/SERENA
> Hotel, ndani ya idara hii wakiwamo Jack Zoka, Wilson Mkama,
> Kingunge Ngombale Mwiru, Jakaya Kikwete, Nape Nnauye, Fred
> Kimati, Steven Wasira, Ramadhani Ighondu, Martin Palakyo,
> Mwigulu Nchemba, Ahamed Msangi na Abdalla Punja. Katika
> kikao hiki yalijadiliwa mengi sana, lakini kubwa lilikuwa
> nikukabiliana na vyama vya upinzani hususani CHADEMA,
> zilipangwa mbinu nyingi sana juu ya Chadema, Mbinu hizo ni
> kama ifuatavyo:
> >
> >
> > Kuwanunua wagombea ubunge na Udiwani (Mtakumbuka
> wagombea wetu kadhaa walikuja kununuliwa na chama kina
> ushahidi kwenye hili).
> >
> >
> > Kuwanunua VIONGOZI wajuu wa CHADEMA.
> >
> > Kutumia TISS kutisha wagombea na wanachama wa Chadema
> (Hii ilikuwa ni kuwakamata au kuvuruga mikutano).
> >
> > Kuwaua baadhi ya wafuasi wa Chadema, viongozi wa
> Chadema na wabunge.
> >
> >
> > Lakini walitilia mkazo zaidi njia ya kwanza ,ya pili na
> ya tatu ambapo kikao kilijiridhisha kuwa mmoja wa VIONGOZI
> wa Chadema ambae ni Zitto Kabwe ni mtu wao ambaye wamesha
> anza kumtumia, kikubwa liandaliwe fungu tu kwa ajili
> yakuanza mikakati yao, Waliafikiana mambo mengi kwaajili ya
> uchaguzi wa mwaka ambao ungefuata, na wakakubaliana mambo
> kadhaa ambayo walimuagiza Mr Zoka akamwambie Zitto nini cha
> kufanya ili kupunguza nguvu ya
> upinzani.
> >
> >
> > Kwa upande wake Zoka alikiambia kikao kuwa Zitto
> amemthibitishia kuwa yeye anawafuasi wakutosha ndani ya
> chama ambapo watamuunga mkono kwa lolote hivyo kikubwa ni
> pesa tu. Lakini kwanza kikao hicho kilimtaka Mr Zoka
> amwambie Zitto kuwa taarifa zote zinazoihusu Chadema na za
> kila vikao vya ndani vya chama zinatakiwa pia ziifikie timu
> hiyo ya kijasusi ya ccm, pili walitaka Zitto apunguze
> ushiriki katika majukwaa ya chama na shughuli nyingine za
> chama. Baada ya kikao sasa ulikuwa ni utekelezwaji wa
> maadhimio yao.
> >
> >
> > Zoezi la kikao cha tarehe 30/11/2009 linaonyesha kuzaa
> matunda hasa baada ya kubainika mawasiliano ya karibu sana
> kati ya Zitto na Jack Zoka, Kwamfano: Jumamosi ya tarehe
> 6/12/2009 saa 03:43 asubuhi Zoka kupitia namba yake ya simu
> +255756809535 alimpigia simu Zitto kupitia simu yake ya
> kiganjani ambayo ni +255754787550, wakati wa mawasiliano yao
> haya ya simu Zitto alikuwa Tabata na
> maongezi yao yalihusu kikao cha 30/11/2009 na kile
> walichoamua timu ya kijasusi ya chama (ccm) na matakwa yao
> kwa Zitto. Ndani ya maongezi yao yaliyochukua dakika 68,
> Zitto anasema, "Mr kazi hii ni nzito, vipi mmeongeza hela?
> Isije kuwa kama ile ya mwaka jana." Anajibiwa na Zoka kuwa
> "ondoa shaka una dili na Jamhuri, hela sio tatizo"
> >
> >
> > Lakini zaidi Zitto anamshauri bwana Zoka kuwa utaratibu
> wa uchukuaji wa pesa ubadilike, "Mr Jack ile staili ya
> uchukuaji pesa kule CRDB mwaka jana ilinitisha kidogo halafu
> hii isije ikabumburuka vyombo vya habari vipo makini kweli
> sasa hivi" Anajibiwa na Bwana Zoka kuwa "Tunazo njia
> nyingi sana ambazo si TAKUKURU wala polisi wanaoweza
> kubaini, tusikilize sisi, tutakacho kuambia ujue ni salama,
> Haya Mr (Zitto) wewe unayajua mazingira vizuri katika nchi
> moja ya Ulaya?, au unaweza kutafuta mtu unae mwamini huko
> ili atumiwe yeye hiyo pesa na awe wa kuaminika ili tumtumie
> kwa vipindi hivi
> vyote, kisha uifuate huko au uangalie mwenyewe njia sahihi
> ya kuichukua huko" Suala la kumpata mtu Ulaya lilionekana
> kama zito kidogo kwa Zitto, kwani aliomba wawasiliane kesho
> yake ili awe na jibu la uhakika.
> >
> >
> > Tarehe hiyo hiyo 6/12/2009 ya Jumamosi saaa 23:05
> usiku, Zitto kupitia simu yake ya mkononi namba
> +255754787550, alipiga namba +4915739444853, kimaongezi
> walionekana ni watu wanafahamiana sana, alikuwa anaongea na
> mwanamke ,waliongea mengi lakini kubwa lilikuwa ni Zitto
> kuomba kupitisha hela yake kwenye akaunti ya huyu mtu.
> Mwanamke huyu alihoji kama pesa hiyo ni nyingi na haina
> madhara? Lakini alijbiwa sio nyingi na haina madhara kwakuwa
> inatoka serikalini na chama tawala, Mwanamke huyo alizidi
> kuhoji zaidi, "sasa vyombo vya dola vya hapa Berlin
> vikinihoji nitasema nimepata wapi?" Anajibiwa kuwa
> "Darling huniamini? Nimesoma na wewe na nimefanya kazi na
> wewe, lakini huniamini? Utasema umelipwa nchini Tanzania kwa
> kazi yako", kisha katika maongezi ya hapa na pale dada
> akakubali na baada ya dakika kumi akamtumia akaunti namba
> 033B 33093101 Berliner Bank German.
> >
> >
> > Baada ya kuipata akaunti hii Zitto hakuchelewa,
> akaipeleka kwa Mr Zoka kwa njia ya ujumbe wa maandishi
> (sms), baada ya dakika 5, Zoka akampigia simu Zitto kupitia
> namba +255756809535 nae Zitto akapokea kupitia namba
> +255754787550, na mazungumzo yao yaliyochukua dakika 6
> yakaendelea, Zoka aliuliza swali kuwa "Mwenye akaunti hiyo
> huko Ujerumani unamwamini na unamjua vema?" Majibu ya
> Zitto yalikuwa "Ondoa shaka Mr Jack nafanya kazi ya hatari
> na wewe , siwezi kukuangusha au kujiangamiza, huyu mtu
> nimesoma nae na ninamfahamu in and out" Zoka akajibu
> "ok".
> >
> >
> > Jumatano ya tarehe 16/12/2009 majira ya saa 13:12 za
> mchana kwa Ujerumani akaunti namba 033B 33093101 Berliner
> Bank, ziliingizwa dola za kimarekani 266,000 pesa hizi
> katika uchunguzi zimebainika
> kuwa zilitoka Tanzania katika Benki ya NMB tawi la NMB
> House jiji Dar katika akaunti namba 2231604658 yenye jina la
> TSA, hii ni moja ya akaunti za siri za TISS, ambapo wao ndio
> huzisimamia akaunti zao zote kwa kutumia mawakala (TISS)
> walio ndani ya benki hiyo.
> >
> >
> > Kujiridhisha kuwa pesa hiyo ilifika Ujerumani,
> kunabainishwa na mawasiliano ya barua pepe kati ya Zitto
> Kabwe na yule mwanamke wa kijerumani aliyemtumia akaunti ya
> benki, anafahamika kwa jina la Andrea Cordes, mawasiliano
> yaliyofanywa tarehe 17 alhamisi saa 20:34 usiku ambapo
> Andrea kupitia barua pepe yake aco...@gmail.com anamwandikia Zitto
> kupitia barua pepe ya Zitto iitwayozitto...@gmail.com , Andea
> anasema "Hey sweet, mzigo yako imefika, can we talk?"
> Ujumbe huu unajibiwa na Zitto saa 21:03 usiku huo kwakusema,
> "I'm so sorry my darling,
> nimechelewa kukujibu, I will call you soon"
> >
> >
> >
> >
> > Saa 23:23 Zitto Kabwe kupitia simu yake ya kiganjani
> namba +255754787550, alimpiga Andrea Codes kupitia namba
> +4915739444853, akimweleza kuwa anashukuru kwa mzigo
> kumfikia, lakini anataka kumpa utaratibu wa kuichukua hiyo
> pesa, ambapo alimweleza kuwa atakuwa anaichukua kidogo
> kidogo kila mwezi kwa njia ya Western Union kuanzia dola
> 20,000 hadi dola 50,000, wakati huo Andea Codes atakula
> kamisheni ya dola 25,000.
> >
> >
> > Uchunguzi wa ndani umebaini pesa hiyo ilitumwa kwa
> Zitto ndani ya miezi 8 kwa vipindi tofauti kupitia Western
> Union kama alivyoomba, na alikuwa anachukulia maeneo tofauti
> tofauti hapa jijini Dar, vilevile uchunguzi umebaini kuwa
> mwanamke huyu ni Mjerumani aliyewahi kuishi Tanzania na
> amezaa mtoto mmoja hapa Tanzania, Mwanamke huyu anaitwa
> Andrea Cordes, anaishi Mechernich Ujerumani, mtaa namba 134,
> nyumba namba 141, anafanya kazi
> UN Women Nationales Komitee Deutschland e.V. Shirika ambalo
> shughuli zake huendeshea pia Tanzania. Katika uchunguzi
> zaidi imebainika kuwa akaunti aliyomtumia Zitto ni ya kwake
> binafsi, katika ushahidi tuliobaini kupitia benki iitwayo
> Berliner Bank yenye Code No Hardenbergstraße 32, 10623
> iliyopo mjini Berlin nchini Ujerumani.
> >
> >
> >
> >
> > SEHEMU YA TATU 2010
> >
> > Uhusiano usio wa kawaida na wa karibu wa Zitto na
> viongozi wa ccm, serikali na wale wa Usalama wa Taifa
> uliendelea kushamiri hasa kipindi cha kampeni na kipindi cha
> uchaguzi mkuu wa 2010, Mfano tarehe 7/9/2010 siku ya jumanne
> saa 11:21 asubuhi, Ahmed Msangi kupitia namba yake ya simu
> ya kiganjani +255784277884, alimpigia Zitto kupitia simu ya
> kiganjani namba +255754787550 waliongea mambo mengi japo kwa
> muda mfupi, na jambo kubwa lilikuwa ni "vipi kuna kipya
> ndani ya Chadema?" Zitto alijibu "yapo mengi lakini
> hayana impact kwa ccm" Msangi
> anajibu "Ok mr nikutakie siku njema"
> >
> >
> > Lakini mawasiliano ya simu yaliyochukua mda mrefu zaidi
> yalikuwa kati ya Zitto na Zoka yaliyofanywa tarehe 10/9/2010
> siku ya ijumaa saa 07:04 jioni na mazungumzo yao yalichukua
> dakika 71, Mazungumzo haya yalifanywa wakati huo Zitto akiwa
> katika hoteli ya Blue Pearl Ubungo, Mr Zoka alitaka kujua
> mambo kadhaa kuelekea Uchaguzi mkuu, kwanza alimuuliza "Mr
> Zitto umejiandaaje, una timu ya kazi?" Zitto akajibu
> "nipo fiti kiakili na kimwili na nina timu ya kutosha,
> ondoa shaka juu yangu, kama ipo hiyo hela tumeni tu
> Ujerumani kwenye ile akaunti, na ningeomba kukutana na
> mwenyeti wenu (rais JK)" Zoka lijibu "hilo halina tabu
> nitalifikisha sehemu husika bwana Zitto",
> >
> >
> >
> >
> >
> > Uchunguzi umebainisha kuwa akaunti namba 033B 33093101
> Berliner Bank ya German iliendelea kuingizwa pesa kwa
> nyakati tofauti kutoka Tanzania kupitia NMB akaunti namba
> 2231604658 yenye jina la TSA ambayo ni moja ya akaunti za
> siri za TISS.
> >
> >
> > Mfano: tarehe 29/9/2010 siku ya juma tano, kiasi cha
> dola 250,000 kiliingizwa kwenye akaunti hii 033B 33093101 ya
> Ujerumani, kutoka akaunti namba 2231604658 NMB Tanzania,
> >
> >
> > Tarehe 06/01/2011 siku ya alhamisi, kiasi cha dola
> 240,000 kiliingizwa kwenye akaunti hii 033B 33093101 ya
> Ujerumani, kutoka akaunti namba 2231604658 NMB Tanzania,
> >
> >
> > Tarehe 21/6/2011 siku ya jumanne, kiasi cha dola
> 240,000 kiliingizwa kwenye akaunti hii 033B 33093101 ya
> Ujerumani, kutoka akaunti namba 2231604658 NMB Tanzania,
> >
> >
> > Tarehe 09/12/2011 siku ya ijumaa, kiasi cha dola
> 255,000 kiliingizwa kwenye akaunti hii 033B 33093101 ya
> Ujerumani, kutoka akaunti namba 2231604658 NMB Tanzania,
> >
> >
> > Tarehe 02/02/2012 siku ya alhamisi, kiasi cha dola
> 260,000 kiliingizwa kwenye akaunti hii 033B 33093101 ya
> Ujerumani, kutoka akaunti namba 2231604658 NMB Tanzania,
> >
> >
> > Tarehe 14/05/2012 siku ya jumatatu, kiasi cha dola
> 250,000 kiliingizwa kwenye akati hii 033B 33093101 ya
> Ujerumani, kutoka akaunti namba 2231604658 NMB Tanzania,
> >
> >
> > Tarehe 13/12/2012 siku ya alhamisi, kiasi cha dola
> 255,000 kiliingizwa kwenye akati hii 033B 33093101 ya
> Ujerumani, kutoka akaunti namba 2231604658 NMB Tanzania,
> >
> >
> > Uchunguzi umebainisha kuwa pesa zote zilimfikia Zitto
> kwa njia ya Western Union akitumiwa dola 50,000 mpaka dola
> 20,000 kati ya wiki mbili mpaka mwezi mmoja.
> >
> >
> >
> >
> > SEHEMU NNE: MATUMIZI YA PESA HIYO
> >
> >
> > Uchunguzi umezidi kubaini kuwa kuanzia mwanzoni mwa
> mwaka 2011, kutoka kuugwa mkono na wanachadema kama
> mwanasiasa makini, Zitto aliamua kuunda kundi la uasi ndani
> ya chama. Baadhi ya waliounda kundi hili ni:
> >
> >
> > Zitto Z.
> Kabwe +255754787550/756809535/713730256
> >
> > Juliana Shonza +255714669850/756359073
> >
> > Habib Mchange +255762178678
> >
> > Mtela Mwampamba +255718037358/755178927
> >
> > Gwakisa Burton +255713316790
> >
> > Eddo Makata +255757149043/655148758
> >
> > Greyson Nyakarungu +255755023503
> >
> > Adams Chagulani +255767137831
> >
> > Deogratius Kisandu +255655025609
> >
> > John M. Shibuda +255754465597
> >
> > Kitila Mkumbo +255754301908
> >
> > Exaud Mamuya +255767160685
> >
> > Ben Saanane +255768078523
> >
> >
> > Timu ya upelelezi imebaini kuwa kundi hili lilikuwa
> linapokea fedha kutoka kwa Zitto kwa njia ya M-Pesa,
> Uchunguzi umebaini kuwa kuanzia 2011 kundi hili lilianza
> kutumiwa pesa na Zitto kwa njia ya M-Pesa kila mwezi, ambapo
> kila mwanakundi alikuwa akipokea kati ya 150,000/= mpaka
> 200,000/= , na ilipofika mwishoni mwa
> mwaka 2012 kundi hili sasa likawa linalipwa karibu kwa
> wiki,
> >
> >
> > Takwimu za malipo ya wafuasi wa kundi hili kutoka kwa
> Zitto kwa mwaka 2012 zinaonyesha walilipwa kwa njia ya
> M-PESA No+255756809535 hii ni namba mojawapo ya Zitto Zuberi
> Kabwe:
> >
> >
> > Tarehe 25/2/2012 saa 10:09 asubuhi, Zitto Kabwe kupitia
> +255756809535 aliwatumia shilingi 150,000/= wafuasi wa kundi
> lake, Juliana Shonza +255756359073, Habib Mchange
> +255762178678, Mtela Mwampamba +255755178927, Gwakisa Burton
> +255713316790, Eddo Makata +255757149043, Greyson Nyakarungu
> +255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609, Adams
> Chagulani +255767137831, Exaud Mamuya +255767160685, Ben
> Saanane +255768078523,
> >
> >
> > Baada ya hapo saa 10:32 asubuhi hiyohiyo Zitto Kabwe
> kupitia namba yake ya simu +255756809535 aliwatumia shilingi
> 200,000/= Mkumbo Kitila +255754301908 na John Shibuda
> +255754465597
> >
> >
> > Tarehe 26/3/2012
> saa 11:12 asubuhi, Zitto Kabwe kupitia namba yake ya simu
> +255756809535 aliwatumia shilingi 150,000/= wafuasi wa kundi
> lake, Juliana Shonza +255756359073, Habib Mchange
> +255762178678, Mtela Mwampamba +255755178927, Gwakisa Burton
> +255713316790, Eddo Makata +255757149043, Greyson Nyakarungu
> +255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609, Adams
> Chagulani +255767137831, Exaud Mamuya +255767160685, Ben
> Saanane +255768078523, Baada ya hapo saa 11:43 asubuhi
> hiyohiyo Zitto Kabwe kupitia namba yake ya simu
> +255756809535 aliwatumia shilingi 200,000/= Mkumbo Kitila
> +255754301908 na John Shibuda +255754465597
> >
> >
> > Tarehe 20/4/2012 saa 09:11 asubuhi, Zitto Kabwe kupitia
> namba yake ya simu +255756809535 aliwatumia shilingi
> 150,000/= wafuasi wa kundi lake, Juliana Shonza
> +255756359073, Habib Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba
> +255755178927, Gwakisa Burton +255713316790, Eddo Makata
> +255757149043, Greyson Nyakarungu +255755023503, Deogratius
> Kisandu +255655025609, Adams Chagulani +255767137831, Exaud
> Mamuya +255767160685, Ben Saanane +255768078523, Baada ya
> hapo saa 10:30 asubuhi hiyohiyo Zitto Kabwe kupitia namba
> yake ya simu +255756809535 aliwatumia shilingi 200,000/=
> Mkumbo Kitila +255754301908 na John Shibuda +255754465597
> >
> >
> > Tarehe 22/5/2012 saa 10:15 asubuhi, Zitto Kabwe kupitia
> namba yake ya simu +255756809535 aliwatumia shilingi
> 150,000/= wafuasi wa kundi lake, Juliana Shonza
> +255756359073, Habib Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba
> +255755178927, Gwakisa Burton +255713316790, Eddo Makata
> +255757149043, Greyson Nyakarungu +255755023503, Deogratius
> Kisandu +255655025609, Adams Chagulani +255767137831, Exaud
> Mamuya +255767160685, Ben Saanane +255768078523, Baada ya
> hapo saa 11:02 asubuhi hiyohiyo Zitto Kabwe kupitia namba
> yake ya simu +255756809535 aliwatumia shilingi 200,000/=
> Mkumbo Kitila +255754301908 na John Shibuda +255754465597
> >
> >
> >
> Tarehe 28/6/2012 saa 13:51 mchana, John M. Shibuda kupitia
> namba yake ya simu +255754465597 aliwatumia shilingi
> 150,000/= wafuasi wenzake, Habib Mchange +255762178678,
> Mtela Mwampamba +255755178927, Gwakisa Burton +255713316790,
> Eddo Makata +255757149043, Deogratius Kisandu +255655025609,
> Adams Chagulani +255767137831, Exaud Mamuya +255767160685,
> Ben Saanane +255768078523, Greyson Nyakarungu +255755023503,
> Juliana Shonza +255756359073,
> >
> >
> > Baada ya Shibuda kuwalipa 28/6/2012 saa 13:51 mchana,
> sasa Zitto alibadili mfumo wa malipo ukawa wa TIGO PESA
> +255713730256 lakini viwango vilevile na mtiririko ulele.
> >
> >
> > Tarehe 22/7/2012 saa 08:17 asubuhi, Zitto Kabwe kupitia
> namba yake ya simu +255713730256 aliwatumia shilingi
> 150,000/= wafuasi wa kundi lake, Ben Saanane +255768078523,
> Adams Chagulani +255767137831, Juliana Shonza +255756359073,
> Habib Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba +255755178927,
> Gwakisa Burton
> +255713316790, Eddo Makata +255757149043, Greyson
> Nyakarungu +255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609,
> Exaud Mamuya +255767160685, Kisha saa 09:38 asubuhi hiyohiyo
> Zitto Kabwe kupitia namba yake ya simu +255713730256
> aliwatumia shilingi 200,000/= Mkumbo Kitila +255754301908 na
> John Shibuda +255754465597
> >
> >
> > Tarehe 24/8/2012 saa 09:06 asubuhi, Zitto Kabwe kupitia
> ++255713730256 aliwatumia shilingi 150,000/= wafuasi wa
> kundi lake, Ben Saanane +255768078523, Adams Chagulani
> +255767137831,Juliana Shonza +255756359073, Habib Mchange
> +255762178678, Mtela Mwampamba +255755178927, Gwakisa Burton
> +255713316790, Eddo Makata +255757149043, Greyson Nyakarungu
> +255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609, Exaud
> Mamuya +255767160685, Kisha saa 09:23 asubuhi hiyohiyo Zitto
> Kabwe kupitia namba yake ya simu +255756809535 aliwatumia
> shilingi 200,000/= Mkumbo Kitila +255754301908 na John
> Shibuda +255754465597
> >
> >
> >
> Tarehe 02/09/2012 saa 09:52 asubuhi, Zitto Kabwe kupitia
> +255713730256 aliwatumia shilingi 150,000/= wafuasi wa kundi
> lake, Ben Saanane +255768078523, Adams Chagulani
> +255767137831, Juliana Shonza +255756359073, Habib Mchange
> +255762178678, Mtela Mwampamba +255755178927, Gwakisa Burton
> +255713316790, Eddo Makata +255757149043, Greyson Nyakarungu
> +255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609, Exaud
> Mamuya +255767160685, Kisha saa 10:43 asubuhi hiyohiyo Zitto
> Kabwe kupitia namba yake ya simu +255713730256 aliwatumia
> shilingi 200,000/= Mkumbo Kitila +255754301908 na John
> Shibuda +255754465597
> >
> >
> > Tarehe 20/09/2012 saa 10:19 asubuhi, Zitto Kabwe
> kupitia +255713730256 aliwatumia shilingi 150,000/= wafuasi
> wa kundi lake, Ben Saanane +255768078523, Adams Chagulani
> +255767137831, Juliana Shonza +255756359073, Habib Mchange
> +255762178678, Mtela Mwampamba +255755178927, Gwakisa Burton
> +255713316790, Eddo Makata +255757149043, Greyson
> Nyakarungu +255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609,
> Exaud Mamuya +255767160685, Baada ya hapo saa 10:53 asubuhi
> hiyohiyo Zitto Kabwe kupitia namba yake ya simu
> +255713730256 aliwatumia shilingi 200,000/= Mkumbo Kitila
> +255754301908 na John Shibuda +255754465597
> >
> >
> > Tarehe 24/10/2012 saa 11:18 asubuhi, Zitto Kabwe
> kupitia +255713730256 aliwatumia shilingi 150,000/= wafuasi
> wa kundi lake, Ben Saanane +255768078523, Adams Chagulani
> +255767137831, Juliana Shonza +255756359073, Habib Mchange
> +255762178678, Mtela Mwampamba +255755178927, Gwakisa Burton
> +255713316790, Eddo Makata +255757149043, Greyson Nyakarungu
> +255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609, Exaud
> Mamuya +255767160685, Kisha saa 11:52 asubuhi hiyohiyo Zitto
> Kabwe kupitia namba yake ya simu +255713730256 aliwatumia
> shilingi 200,000/= Mkumbo Kitila +255754301908 na John
> Shibuda +255754465597
> >
> >
> > Tarehe 25/11/2012 saa 10:34 asubuhi, Zitto
> Kabwe kupitia +255713730256 aliwatumia shilingi 150,000/=
> wafuasi wa kundi lake, Juliana Shonza +255756359073, Habib
> Mchange +255762178678, Mtela Mwampamba +255755178927,
> Gwakisa Burton +255713316790, Eddo Makata +255757149043,
> Greyson Nyakarungu +255755023503, Deogratius Kisandu
> +255655025609, Adams Chagulani +255767137831, Exaud Mamuya
> +255767160685, Baada ya hapo saa 10:56 asubuhi hiyohiyo
> Zitto Kabwe kupitia namba yake ya simu +255713730256
> aliwatumia shilingi 200,000/= Mkumbo Kitila +255754301908 na
> John Shibuda +255754465597
> >
> >
> > Tarehe 29/11/2012 saa 12:12 mchana, Zitto Kabwe kupitia
> +255713730256 aliwatumia shilingi 150,000/= wafuasi wa kundi
> lake, Juliana Shonza +255756359073, Habib Mchange
> +255762178678, Mtela Mwampamba +255755178927, Gwakisa Burton
> +255713316790, Eddo Makata +255757149043, Greyson Nyakarungu
> +255755023503, Deogratius Kisandu +255655025609, Adams
> Chagulani +255767137831, Exaud Mamuya +255767160685, Baada
> ya hapo saa 12:32 mchana huohuo Zitto Kabwe kupitia namba
> yake ya simu +255713730256 aliwatumia shilingi 200,000/=
> Mkumbo Kitila +255754301908 na John Shibuda +255754465597
> >
> >
> > Kundi hili lilikuwa na mipango mingi sana, lakini
> lengo/shabaha/dhamira ilikuwa ni moja tu nayo ni
> kukidhohofisha Chadema kwa manufaa ya ccm. Uthibitisho wa
> lengo la kundi hili unabainishwa katika mawasiliano ya simu
> kati ya Zitto na wanakikundi hicho, katika ujumbe wa
> maandishi (sms) aliousambaza kwa wanakikundi hiki Zitto
> anasisitiza umakini ili wasije kujulikana na Chama, vilevile
> anawasisitiza kukisajili kikundi hiki ikiwa ni pamoja na
> kufungua akaunti ya benki ya kikundi hiki,
> >
> >
> > Ujumbe mwingine aliousambaza tarehe 30/11/2012 saa
> 08:21 kwa wafuasi wa kundi hili kupitia namba +255713730256,
> unasema, "Ni lazima tukidhibiti hiki kibabu vile vile
> lazima tumng'oe Mbowe, Tunadanganyana tu kuwa chadema
> itaingia ikulu, kwanza
> simamieni harakati za kushinikiza kadi ya kibabu irudishwe
> ccm".
> >
> >
> > Timu ya kijasusi imejiridhidha kuwa Ben Saanane alikuwa
> kwenye kundi hilo kwa kazi maalumu na ameisaidia sana timu
> hii ya ujasusi kupata habari muhimu za ndani za kundi hilo
> la uasi lililokuwa limejipanga kwa ustadi likitumia mbinu za
> kuwagombanisha viongozi wa juu wa chama hasa likilenga
> Mwenyekiti na Katibu mkuu, huku juhudi za kumkwamisha
> mwenyekiti wa BAVICHA nazo zikipamba moto na kusukwa kwa
> ustadi mkubwa, Kikundi hiki hakikuishia hapo tu kwani
> kilianzisha mradi wa kuwatukana viongozi wa Chadema na
> familia zao, kuanzisha tuhuma za uongo na kuzisambaza kwenye
> mitandao ya kijamii. Lilianzisha mradi wa kuhubiri udini,
> ukanda na ukabila ndani ya chama kwa kutumia vyombo vya
> habari na mitandao ya kijamii. Likaanzisha tena harakati za
> kumpindua mwenyekiti kupitia kifupi cha jina PM7 (Pindua
> Mbowe 7) nk.
> >
> >
> > MAPENDEKEZO YA HATUA ZA
> KUCHUKUA
> >
> > Baada ya kujiridhisha kuwa Zitto Zuber Kabwe Mbunge wa
> Chadema na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, ameasi Chama na
> ameunda kundi ndani ya chama linaloendesha vuguvugu la
> mapinduzi kwa viongozi halali wa chama kwa ufadhiri wa chama
> tawala ccm, ikiwa ni kinyume cha katiba na itifaki za chama,
> Timu ya ujasusi inapendekeza yafuatayo:
> >
> >
> > Chama kijiridhishe bila ya kuacha chembe ya mashaka
> kutoka kwa wahusika wa kikundi hiki ambao ni Zitto na
> wenzake, Ikiwa watakiri kuhusika, Chama kiwaamuru wawaombe
> radhi wanachama.
> >
> >
> > Naibu Katibu mkuu ndugu Zitto Kabwe na Makamu
> Mwenyekiti wa BAVICHA ndugu Julina Shonza wapime wenyewe
> kama wanastahili kuendelea na nafasi zao za uongozi ndani ya
> Chama.
> >
> >
> > Ikiwa Chama kitaamua kuunda tume ya uchunguzi wa haya,
> wahusika wote hasa wenye vyeo kama Zitto Kabwe na Juliana
> Shonza wawekwe pembeni na shughuli za Chama ili kupisha
> uchunguzi
> huru.
> >
> >
> > Chama kiwavue uanachama Zitto Kabwe na kundi lake lote
> bila kusita, hii inatokana na mikakati ya kukiangamiza chama
> inayoendelea ndani ya CCM kwa ushirikiano wa Zitto Kabwe na
> viongozi waandamizi wa ccm.
> >
> >
> > Kuelekea 2015, Idara ya ujasusi ya chama iongezewe
> nguvu na mafunzo, ikiwezekana kiundwe kikosi maalumu nje ya
> timu ya kijasusi iliyopo sasa na kipewe mafunzo na vitendea
> kazi vya kutosha kwaajili ya ulinzi wa chama na viongozi
> wake.
> >
> >
> > Chama kianzishe utaratibu wa semina au mafunzo ya
> kipindi kifupi na kati kwa makada wake jinsi ya utumiaji wa
> mitandao ya kijamii.
> >
> >
> > Kiundwe kitengo cha propaganda za kisiasa chenye watu
> weledi wa mambo na masuala mbalimbali na kipewe uwezo ili
> kukabiliana na propanda za chama tawala na vyama vingine.
> >
> >
> > Chama kizidi kuchukuahatua stahiki za kimaamuzi dhidi
> ya viongozi au wanachama wanao
> dhoofisha harakati za mabadiliko kuelekea 2015 na baada ya
> 2015
> >
> >
> >
> >
> > Mwisho tunawashukuru baadhi ya maafisa wa kijasusi wa
> mjini Berlin Ujerumani waliosaidia kupata baadhi ya taarifa
> muhimu kutoka Ujerumani.
> >
> >
> >
> Source: halihalisi255.wordpress.com/2013/11/04/r...-juu-ya-zitto-kabwe/
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit
> https://groups.google.com/groups/opt_out.
>
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>  
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>  
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and hence
> statements and facts must be presented responsibly. Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Bariki G. Mwasaga,
P.O. Box 3021,
Dar es Salaam, Tanzania
+255 754 812 387

0 comments:

Post a Comment