Thursday, 28 November 2013

[wanabidii] kuna maswali hapa kwa chadema

wanabiidii siasa inamambo

1. kuna ujumbe unasambazwa kuwa Mbowe na Zitto wakifukuzwa CHADEMA NI NANI ATAGOMBEWA NA VYAMA VINGINE, KWANINI?
2.ETI MWIGAMBA ALIANDIKA WARAKA KWA MASKARI WOTE AKAKAMATWA AKAFIKISHWA MAHAKAMANI, WANAHARAKATI WAKALAANI ALIPOANDIKA WARAKA KWA VIONGOZI WA CHADEMA AMEVULIWA MADARAKA WATU WANACHEKELEA ,HAPO KUNA UHURU WA KUTOA MAONI CHADEMA AU SERIKALINI?

3.MAKADA WANAOENDELEA KUMCHAFUA ZITTO KWENYE MITANDAO WANAJENGA AU WANABOMOA.
4.ZITTO AMEVULIWA MADARAKA AU UONGOZI? MAANA NI VITU VIWILI TAFAUTI

5.CHADEMA WAMEKUBALI 'BORA TUKOSE WOTE'KULIKO KUMRUHUSU ZITTO AGOMBEE

6.CHAMA CHA UPINZANI KUWAVUA UANACHAMA VIONGOZI WAKE KWA MADAI YA UHAINI NA UHURU WA MAONI KIKIINGIA MADARAKANI KITASHINDWA KUWAVUA URAIA NA KUWANYONGA WAPINZANI WAO?

7.KUNA KIONGOZI MWINGINE ZAIDI YA ZITTO CHADEMA AMBAYE ANA MVUTO NJE NA NDANI YA CHADEMA?
8.VIONGOZI WA UPINZANI KUBADILI KATIBA ILI WAENDELEE KUTAWALA WAKIINGIA MADARAKANI HAWAWEZI KUBADILI KATIBA YA NCHI ILI WAWE KAMA MSEVEN?

9.KWANINI NAFASI YA MAKAMU MWENYEKITI INAKIMBIWA NA VIONGOZI WAKE CHADEMA

10.VIONGOZI WA CHADEMA WANAJUA MAANA YA UHAINI? JE KUANDAA TIMU YA USHINDI NI UASI......




0 comments:

Post a Comment