Thursday 14 July 2016

Re: [wanabidii] Wapinzani kutoka bungeni ni mkakati wa kimakosa

Magobe.
UKAWA walikuwa sahihi kupeleka malalamiko yao kwa peaker. Na huenda walikuwa sahihi kugoma kuingia Bungeni. Kwa sababu mgomo wao haukuwa na impact walistahili kurudi bungeni siku ya pili kusubili appeal yao toka kwa Speaker. Lilikuwa kosa kubwa kuendelea kugoma na kosa hilo waliwakosea waajiri wao (wapiga kura)
Baada ya hapo ni Naibu Speaker kukalia kiti vikao v yote bila kuachia wenyeviti. Hili lina sababu kwbwa tatu:
1) Naibu Speaker hakukosea. Wenyeviti huwa wanakuja kupata uzoefu na kutoa msaada maspeaker wasichoke. Wanakuja pale kwa kupangiwa na Speaker. Sasa hakuwapangia na hakuvunja sheria.
2) Ilikuwa hivyo ili kwenda na ratiba. Tayari hija za UKAWA zilikuwa ''zinaudhi''. Kama kuendelea kukalia kiti Nasibu spika kutawaweka nje kwanini Bunge lisitumie mwanya huo.
3) Inawezekana Serikali ililiagiza bunge kufanya hivyo. agizo hilo ni batili tu kama Bunge likililalamikia. Kana hakuna nani atalalamika.
4) naongezaa ya nne ambayo kwa ushirikiano wa Bunge na Serikali wanaweza kufanya hivyo (kwa kuwa wote ni CCM) wakaamua kuandaa hoja ya kuiangusha UKAWA.

Kwa utendaji wa Serikali ya awamu ya tano naiogopa sababu ya nne kuwa inaweza kuimaliza UKAWA calories zilizobaki hivyo tukalazimika namna ya kutafuta chama mbadala.
Ohoo TANU yajenganchi! TANU heeeee! TANU yajenga nchi.
--------------------------------------------
On Wed, 7/13/16, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Wapinzani kutoka bungeni ni mkakati wa kimakosa
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, July 13, 2016, 3:43 PM

Thanks De Kleinson Kim.
Najaribu kuchangia kichwa cha habari: 'Wapinzani kutoka
bungeni ni mkakati wa kimakosa'
1. Kuna waliotolewa bungeni na kuna waliotoka bungeni.
Kwa sasa ngoja nijikite kwa waliotoka bungeni.
2. Ili kujua whether kutoka kwa Ukawa bungeni ni
mkakati wa kimakosa au la, ni lazima kujiuliza pia kama
kilichokuwa kikiendelea bungeni ni fair (kwa reasonable
person).
3. Kama kilikuwa fair, ina maana hatua waliyoichukua
Ukawa siyo fair. Kama kilikuwa unfair, ina maana hatua ya
ukawa ilikuwa fair.
4. Kisheria na kikanuni, Ukawa wana haki ya kufanya
walivyofanya na katika mazingira waliyokuwemo.
5. Tujiulize pia kama wenyeviti wa vikao vya
bunge wapo ni sababu zipi zilimfanya Naibu Spika kuongoza
vikao vyote vya bunge (non-stop) as if hawapo wakati haikuwa
hivyo kabla ya Ukawa kuazimia kupeleka malalamiko yao kwa
Spika ili hatimaye wapige kura ya kukosa imani naye? Ina
maana kwa vile Naibu Spika aliendelea kuongoza vikao vya
bunge muda wote hadi bunge kuahirishwa July 1, 2016 bila ya
wenyeviti wa bunge hawaitajiki tena? Je, tungetegemea bunge
ambalo linafuata sheria na haki kuendeshwa kama
lilivyoendeshwa? Kwa mawazo haya hebu tuchangie -
tuelimishane na kupeana mwanga.

On Wed, Jul 13, 2016
at 2:15 PM, De kleinson kim <dekleinson@gmail.com>
wrote:
Thank
God Magobe is here,

You are the Human Right Activist (TO ME). Say something on
this, seems

like this Government is messing up deadly!!  Can you take
us there?

PLEASE SIR!

Thank you.



--

*"Anyone who conducts an argument by appealing to
authority is not using

his intelligence; he is just using his memory." Leonardo
daa Vinci

*



--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com



Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma



Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.






--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment