Thursday, 14 July 2016

Re: [wanabidii]

Natamani Lesian aelewe hilo maana tumetoka naye mbali na nilifikiri degree aliyoipata kutokana na process ya uchaguzi wa October 2015 angekuwa amejifunza kusoma between the lines ya mambo haya.
--------------------------------------------
On Wed, 7/13/16, Atu Mwangomale <acanemwango@gmail.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii]
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wednesday, July 13, 2016, 10:41 AM

Ni kweli
kabisa Elisa,
Ukiangalia
ilani ya chama cha mapinduzi ni nzuri imeandikwa vizuri na
ina mambo mengi sana mazuri. shida ilikuwa kwenye
utekelezaji ambao ulikuwa haufuati sera cha chama. Upinzani
ulipoingia waliona gap katika utekelezaji wa ilani za chama
tawala. watu wakaona kuwa huo ndio mbadala wa katika
kuelekea kwenye maboresho. 
Ku-copy na ku-paste sio dhambi ili
mradi manufaa yawe kwa watu wote!
2016-07-13 10:21 GMT+03:00
'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Hatari
kukujibu. Hatari kutokujibu.

Nachagua moja. Tunaposema hawana sera ni baada ya
kuitelekeza sera hiyo unayosema imeporwa kuanzia walipopokea
wahamiaji toka CCM. Kwamba CCM inacopy na kupaste sera za
CDM hakuna dhambi japo ukiwa mkweli sera za vyama vingi
ziliznzia CCM. Cha msingi ni kuwa kadri watanzania
wanavyoachana na kuvutiwa na T shirts na sahani ya Pilau
ndivyo vyama vinavyostahili kuangalia viongozi wake
wanatamka nini. Nimekutana na watu wanaohoji kama kweli CDO
walikusudia kuisaidia Police kuzuia mkutano wa CCM. Wakasema
kama kweli viongozi wa CDM walikusudia kufanya hivyo basi
hakuna chama hapo. Walikuwa wanasema kwa sababu ya matamshi
ya mwenyekiti wa chama ngazi ya taifa kusema wameamua
kusitisha msaada wao kwa polisi.

--------------------------------------------

On Wed, 7/13/16, 'Lesian' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote: Subject: Re: [wanabidii]

 To: wanabidii@googlegroups.com

 Date: Wednesday, July 13, 2016, 2:59 AM Sera za cdm ndio anazozifanyia kaz

 Rais hv sasa wee mzee vp,ccm hawakua na sera za kupambana
na

 ufisadi, wala watumishi lege lege zote zinazotekelzwa
hv

 sasa ni copy and paste though modality imekosewa ndio
maana

 makelele ni mengi,'watu hawana pesa, wala sukari,wala
watoto

 w chuon kutolipwa on time...wanakosea,'wawaone cdm
wenye

 sera yao

 Dira navyooona mm kiukweli ccm ndio imezimishwa haswaaa,
its

 like died maana hata wanaotumbuliwa wote ni wa ccm na
ndio

 maaana makelele yote kimyaa,cjaona tumbua ikiikuta cdm
saana

 naona wanaogopwa wakikutana sehem tyr wanapelekewa
police

 kutishiwa eti wanafanya siasa....this is un

 imaginable......its real terrible

 Kua chama cha siasa maana yake nn, kwa kua ccm imepora
sera

 za cdm na kuanza kutekeleza, hv sasa cdm imejipanga

 kivingine....ila hawatak kuwapa nafas maana kilichopo
hapa

 ni kupumbazwa tu watu ccm ni ile ile, ya mizuka
......dodoma

 wapo na police wote wanalindwa nn maana yake... 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>

 wrote: >yama hivyo vinavyopokea kukosa dira na kukosa
misimamo.

 Ni kweli kama CDM sio kuwa ilipokea makada wa CCM na

 kubadili mifumo yao ya kuchagua wagombea bali hata sera

 zilibadilika na hadi sasa haijulikani inapigania nini.

 >Umesahau CUF ilivyompoteza James Mapalala. Ipo haja
ya

 katika katiba kuweka taratibu zitakazo hakikisha vyama

 vinapingana kwa sera na si makelele

 >--------------------------------------------

 >On Tue, 7/12/16, 'mpombe mtalika' via
Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>

 wrote:

 >

 > Subject: [wanabidii]

 > To: "wanabidii@googlegroups.com"

 <wanabidii@googlegroups.com>

 > Date: Tuesday, July 12, 2016, 7:57 PM

 >

 > 1.

 > Kwanini kada yeyote wa CCM, anayejiona maarufu

 kisiasa,

 > anapoamua

 > kuhamia upinzani, anawadharau viongozi wote wa
vyama

 vya

 > upinzani?

 >

 >

 >

 > 2.  Kwanini katika dharau hiyo, kada wahuyo wa
CCM

 anapoamua

 > kuhamia

 > upinzani, yeye ndiye hujiona pekee alfa na omega,
kwa

 kutoa

 > masharti

 > ambayo kila kiongozi wa upinzani lazima ayatii na

 > kuyatekeleza?

 >

 >

 >

 > 3.  Kwanini makada hao wa CCM, wakishajiunga na

 upinzani,

 > hawataki

 > kusikia tena wala kuheshimu  dhana nzima ya

 demokrasia, bali

 > demokrasia

 > inapaswa kufata mawazo yao?

 >

 >

 >

 > 4.  Kwanini kila kada wa CCM  anayejiona ni

 maarufu wa

 > kisiasa, kila

 > anapoamua kuhamia upinzani, basi anataka
ajimilikishe

 yeye

 > miaka yote

 > nafasi ya urais hadi kifo?

 >

 >

 >

 > 5.  Kwanini kila kada wa CCM, anayejiona maarufu

 akihamia

 > upinzani

 > anadai kwamba huko aliotoka CCM amekimbia kwa kuwa

 hakuna

 > demokrasia,

 > lakini akikaribishwa na kupewa fursa kanuni na
misingi

 ya

 > demokrasia

 > inakuwa kazi ngumu kwake, hivyo hutaka yeye kuwa
alfa

 na

 > omega?

 >

 >

 >

 > 6.  Kwanini vyama vyote vikubwa vya upinzani hapa

 nchini,

 > vilivyokubali

 > kuwapokea makada maarufu wa CCM na kuwafanya kuwa

 wagombea

 > wao wa urais

 > mfano vyama vya NCCR Mageuzi, TLP vya mlema, hatma
ya

 vyama

 > hivyo

 > inakuwa kupotea katika ramani siasa nchini kama

 inavyoelekea

 > kuwa hivyo

 > kwa Chadema muda mchache ujao baada ya kumpokea

 Lowassa?

 >

 >

 >

 > Wadau ili kujua ninachomaanisha angalia ujio wa
Mrema

 > alipojiunga na

 > NCCR Mageuzi 1995 na Mafuriko yake yanavyofanana
na

 Ujio

 > Lowassa

 > alipojiunga Chadema 2015 na mafuriko yake hali ya
kuwa

 wote

 > wawili ni

 > zao la CCM, Walilelewa na kujengwa kisiasa na CCM
na

 wote

 > wawili

 > waliingiwa na mdudu wa tamaa , anayetamani kweli
kweli

 > nafasi ya urais.

 >        

              

 >

 >

 >

 > --

 >

 > Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 >

 >  

 >

 > Kujiondoa Tuma Email kwenda

 >

 > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

 Utapata Email ya

 > kudhibitisha ukishatuma

 >

 >  

 >

 > Disclaimer:

 >

 > Everyone posting to this Forum bears the sole

 responsibility

 > for any legal consequences of his or her postings,
and

 hence

 > statements and facts must be presented
responsibly.

 Your

 > continued membership signifies that you agree to
this

 > disclaimer and pledge to abide by our Rules and

 Guidelines.

 >

 > ---

 >

 > You received this message because you are subscribed
to

 the

 > Google Groups "Wanabidii" group.

 >

 > To unsubscribe from this group and stop receiving

 emails

 > from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 >

 > For more options, visit

 https://groups.google.com/d/optout.

 >

 >--

 >Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 >

 >Kujiondoa Tuma Email kwenda

 >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

 >

 >Disclaimer:

 >Everyone posting to this Forum bears the sole

 responsibility for any legal consequences of his or her

 postings, and hence statements and facts must be
presented

 responsibly. Your continued membership signifies that
you

 agree to this disclaimer and pledge to abide by our
Rules

 and Guidelines.

 >---

 >You received this message because you are subscribed
to

 the Google Groups "Wanabidii" group.

 >To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 >For more options, visit

 https://groups.google.com/d/optout. --

 Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda

 wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 

 Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer:

 Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility

 for any legal consequences of his or her postings, and
hence

 statements and facts must be presented responsibly.
Your

 continued membership signifies that you agree to this

 disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

 ---

 You received this message because you are subscribed to
the

 Google Groups "Wanabidii" group.

 To unsubscribe from this group and stop receiving
emails

 from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

 For more options, visit

 https://groups.google.com/d/optout.--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.comKujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatumaDisclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment