Saturday, 30 July 2016

Re: [wanabidii] HUU NI MGONGORO?? KUJICHANGANYA?? AU KWELI KUNA NAFSI YA TATU??

Mzee Muhingo,

I BET hata wakiachiwa sidhani kama watapata watu, Nimeanza kuwachukia
CDM, frankly speaking mmechangia kwa kiasi kikubwa sana ukuaji wa
demokrasia, nyie ni msingi wa mambo mengi kwenye siasa za Tanzania,
mchango wenu hauwezi kusahaulika. ila mnaelekea pabaya, sifa zenu
hazitaharibika ila mtakuwa na mwisho mbaya. Mbowe lazima aelewe kila
kitu kina timeline, if you are out of time and no expected result had
happened, then you know what to do......!!!! i hate this people.
Nimeshachoshwa na habari za CDM kwenye media, ni watu wa ku-complain
tu, they never provide a solution, POOR AFRICANS!!

somebody here said this months ago "...namwogopa sana mtu mweusi..."
wengine wakasema amejidharau. Lets think: Maandamano nchi nzima? FOR
WHAT!! DEMOCRACY? which one? ile mliyoishindwa nyie wenyewe ndani ya
chama chenu kwenye mchakato wa urais?

i think MAGU anajitahidi kuwa-handle with care, politely na kibinadamu
zaidi, kitu ambacho ni kizuri pia. Magufuli kwa sasa ni mtu mwenye
uadui karibu na kila mtu serikalini, ana uadui mpaka na viongozi
walioondoka madarakani, ana uadui mpaka na marafiki zake ambao wengine
hajawakumbuka serikalini au amewawajibisha pale ilipotakikana,
Magufuli anachukiwa kwa sababu mpaka sasa ameonyesha kujitoa kwa ajili
ya watanzania. Kuna mtu anajua thamani ya maisha yake kwa sasa?? Kuna
mtu anaelewa amehatarisha maisha yake kwa kiasi gani? kuna mtu
anaelewa mabepari wangapi wanatafuta namna ya kummaliza ili mradi tu
wainyonye nchi wanavyopenda wao? ni nani anaeelewa vikao vingapi vya
siri vinafanyika karibu kila siku kupambana nae either ki-sera,
kiutekelezaji, kinguvu, kijasusi, n.k. Tusidanganyane hapa na
operesheni UKUTA. Kina Mbowe watueleze haya mapambano wanayofanya yana
faida kwa nani? By now mtandao wote wa Lowassa upo na CDM kupambana na
Magu, ni vigumu kumwamini mtu yoyote nchi hii kwa sasa maana wapo humo
CCM na huko CDM. Mtandao wa EDO unaelekea kuwa kirusi cha maendeleo
yetu, na kama hatutaukata mapema lazima uje kutusumbua baadae. Ni
system ile ile ya mabepari tunaowajua!! hatuwachukii ila inabidi maana
nao hawatupendi!

At least i can say, these CROOKS need serious approach ya mtu kama
UNCLE BEN, he was not going to tolerate any of this! waulize wale
wahuni wachache wa Zanziberi watakwambia, na hawakurudia tena.

--
*"Anyone who conducts an argument by appealing to authority is not using
his intelligence; he is just using his memory." Leonardo daa Vinci
*

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment