Friday 29 July 2016

RE: [wanabidii] 01.09.2016 Kosa jingine la kimkakati la Mbowe na CHADEMA

Dekleison, nimesoma jana kwenye gazeti moja kuwa Rais Magufuli atakwenda Geita hivi karibuni kuwahutubia wananchi wa Mkoa huo na kuwashukuru kwa kumchagua.... Je, hiyo si shughuli ya kisiasa? Atasema nini ambacho wananchi wa Mkoa wa Geita au Watanzania hawakijui au hawajawahi kukisikia? Je, huo nao ni mkutano wa kikatiba...? Au wa Wabunge majimboni mwao...?

> From: dekleinson@gmail.com
> Date: Fri, 29 Jul 2016 09:47:37 +0300
> Subject: Re: [wanabidii] 01.09.2016 Kosa jingine la kimkakati la Mbowe na CHADEMA
> To: wanabidii@googlegroups.com
>
> ''vaa joho, tangulia mbele ya hayo maandamano!. Pamoja nawe awe Mbowe
> na watoto wake''
>
> ''Mikutano ya kikatiba inaruhusiwa, mikutano ya wabunge majimboni mwao
> inaruhusiwa!
> Enyi watu mnataka kafara za damu zetu za nini? Hamtosheki?''
>
> Kwa sasa CDM tupo kwenye hali ngumu kisiasa, wengi hatupendi kuona
> hivyo ila hakuna jinsi, tumejisababishia wenyewe.
> Mlibadilisha gear angani hoping to fly with higher speed, mkasahau
> kusoma mshale wa tank la mafuta, in the middle of Kalahari, now you
> are looking for Atlantic Ocean to land, worse enough you have remain
> with 2 gallons, A stupid creature like me will put on the parachute
> and gamble for my breath, a clever person will go on hoping to reach
> the safe zone.
>
> Ninachokiona ni hiki, ''Motivation ya uwajibikaji, kujituma na
> utendaji inakuwa kwa kasi ndani ya akili na mioyo ya watanzania kuliko
> kudai maendeleo kwa maneno, maandamano na mikutano''
>
> Kila ninapokutana na mtanzania awe muokota makopo, mchuuzi, mfanyakazi
> wa serikali or whatever, najitahidi kuwaonyesha wapi tunaelekea, hata
> kuwaambia ''nashukuru kwa kazi nzuri na huduma bora'' inatosha
> kuamshana (japo kuna viburi kwa wengine)
>
> Just thinking;
> CDM wanataka kutuambia nini wananchi ambacho hatukioni??
>
> NB: Ukisema nalipwa kwa kusema haya, ntafurahi as long as it hurts you
> and your Boss.
>
> --
> *"Anyone who conducts an argument by appealing to authority is not using
> his intelligence; he is just using his memory." Leonardo daa Vinci
> *
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment