Wednesday 27 July 2016

Re: [wanabidii] 01.09.2016 Kosa jingine la kimkakati la Mbowe na CHADEMA

Malika.
Kuna kazi kubwa ya kuielewa CHADEMA:
Natamani wanavyuo wanaosoma Political Science wakafanya study kuhusu myenendo ya vyama fulani na mfano ukachukuliw wa CHADEMA.
nataka kutoa Hypothesisi ya kufanyia kazi: mwelekeo wa chadema hutegemea na mfadhili anayetoa fedha:
Na mimi niliwahi kukiamini chama hicho kama chama cha kutumiwa na watanzania kuiondoa CCM madarakani. Ni kipindi ilipoacha reli na kuanza kutembelea vichakani.
Nilifikiri ninaielewa vizuri CHADEMA wakati wa mgogoro wake na Zitto. Huenda nilikuwa mkosaji.
Nikaanza kuielewa ilipomtelekeza Dr. Slaa na kumkaribisha Lowasa. Alipoingia CHADEMA ikatelekeza na serayake ya kutetea wanyonge na kumkumbatia Lowasa na ikaendesha kampeni za uchaguzi bila sera au mwelekeo unaoeleweka.
Funga kazi ni ''buyanga buyanga'' inayoendelea sasa. Vitiko vya wabunge wake,mpaka kupewa adhabu kila leo. Kususia bunge bila sababu na mpango wa maana na kiujumla kujifanya chama cha wanaharakati ni vigumu kujua kama sasa CHADEMA haitekjelezi mkakati wa ''mfsdhili''anayelenga kuhqkikisha tanzania inavuruga amani yake.
Ukiwauliza wanachama wa CHADEMA kupambana na Polisi mnatekeleza kipengele gani cha ilani yenu? Hawawezi kuwa na jibu. nani anakiburuza chama.
Ninafikiri kuwa kama kweli CHADEMA ina wanachama wanaokipenda basi waanze kuandamana kumkataa Mbowe maana huenda analipwa kukihujumu na kulihujumu taifa, kwa kujua au bila kujua. Wakichelewea watakuja kugundua wakati chama kimekufa
--------------------------------------------
On Wed, 7/27/16, 'mpombe mtalika' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: [wanabidii] 01.09.2016 Kosa jingine la kimkakati la Mbowe na CHADEMA
To: "ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, July 27, 2016, 4:34 PM

Nilifikiri
nakutarajia kuwa kuwa Mbowe atatangaza kuwa kuanzia tarehe
01-09-2016 ni siku ya kwenda katika kila kona ya majimbo ya
Chadema yote
na kata na mitaa walizoshinda katika uchaguzi mkuu uliopita
kushiriki
na wananchi masuala ya maendeleo ikiwemo kuendeleza na
kukusanya nguvu
ya pamoja katika kuboresha na kujenga miundombinu mipya ya
kuchochea
maendeleo.



Ikiwa ni pamoja kupiga vita umasikini kwa kuhakikisha
wanafunzi wanapata
vyumba vya madarasa, vyoo safi, vifaa vya mashuleni ili
waweze kusoma
na kuelewa vizuri katika kuleta maendeleo na demokrasia
zaidi ndani ya
chama ambayo bado ipo chini sana katika chadema ili
kukifanya chama kije
kuwa na wanamainduzi na viongozi wazuri wa baadaye.



Badala yake Mbowe anataka kuendelea kupambana na polisi na
serikali ya
Rais Magufuli jambo amabalo litakipotezea muda mwingi
chadema na mwisho
wa siku hakuna jipya ndani ya chama na kubakia kuitwa chama
cha vurugu
na maandamano nyasiyo na tija kwa wananchi.



Mwisho niwahusie Mbowe na chadema, wanachotaka kufanya ni
kosa la pili
la kimkakati badala ya kosa la awali walilolifanya la
kukimbia bungeni
amabalo halina tija kwa wananchi wala waoi wenyewe.



Mbowe na chadema badala ya kuendelea kufanya makosa ya
kimkakati zaidi
amabayo hayana tija kwa wananchi waliowachagua na badala
yake wanataka
kuendelea na maigizo wanayotarajia kuyafanya, Chadema
haiwezi kufanikiwa
kwa kutunishiana misuri na jeshi la polisi pamoja na
serikali,
watafanikiwa kwa kuleta mabadiliko katika majimbo na kata
wanazoziongoza
ili mradi tu kuonekanane tofauti ya kiuongozi baina yaoi na
ccm tu.



Katika hili wanalotarajia kutaka kufanya, hakika sasa pengo
la Dr. Slaa
limeanza kuonekana live ndani ya chadema na ni bora Lowassa
akatafuta
njia ya kutoka humo kwa kuwa hawezi kuizuia chadema na siasa
za
uhanaharakati na hilo litamletea heshima zaidi kuliko kubaki
ndani ya
chama ambacho hawataki kubadilika.
 



--

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

 

Kujiondoa Tuma Email kwenda

wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya
kudhibitisha ukishatuma

 

Disclaimer:

Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

---

You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.

To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment